Search results

  1. X

    Boda boda namba D inauzwa. TVS

    Bei Tsh 1,000,000/- Documents: Full Eneo: Pugu kajungeni Dar es salaam Kipengere:No kipengere Maongezi: yapo Mawasiliano 0685-060755
  2. X

    Kifaa cha kuratibu mfumo wa kumwagilia maji (Irigation Controller)

    Kifaa hiki kinawafaa wale ambao wana bustani au mashamba na wangependa kuratibu muda wa kumwagilia bustani au mashamba Kipo vizuri sana hakina tatizo lolote. Kipo complete na koki yake
  3. X

    Wazee wa project za eletronics Module SIM800C pc 2

    Module za SIM800C Mbili zinauzwa bei Tsh 30,000 per Pc zipo pc 2 Kama unahitaji nicheki pm
  4. X

    Mita ya umeme kwa ajili ya wapangaji inaingiza Units na kukata umeme pale units zikiisha,pia inakopesha units

    -Inatumia line (mtandao wowote),line kwa ajili ya kuwasiliana na system,kutuma na kupokea taarifa. -Mpangaji atanunua umeme kama kawaida na kujaza mita kubwa ya tanesco,akisha jaza..system zetu zitaditect na zitaijaza mita yake ndogo UNIT zile zile alizo nunua,kwenye mita kubwa,unit za mita...
  5. X

    Solar panel watt 200 volt 24 mbili zinauzwa na inverter yake

    Panel 24v watt 200 zipo mbili kila moja tsh 200,000/= Inveter watt 1000 puresine wave watt 1000 volt 24 bei Tsh 150,000/ Location Mtoni kwa Azizi Alli Dar es Salaam Simu 0717698515
  6. X

    Digital poultry kutoa mafunzo ya kuunda mashine ya kutotoa mayai bure.

    Mafunzo haya yamekua yakitolewa kwa gharama kubwa ,Lakini Digital Poultry itatoa mafunzo haya kwa watuwote ambao wangependa kujifunza namna ya kuunda mashine za kutotoa mayai ya kuku lakini hawana uwezo,hivyo watu wote wanakaribishwa katika mafunzo kwa vitendo yatakayo husisha uunganishaji wa...
  7. X

    Kama una ukurasa wa facebook,tweeter,Instagram sasa utakua unalipwa hapa hapa TZ.

    Kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi na matumizi makubwa ya internet hasa mitandao ya kijamii,Nijuze inayo furaha kutambulisha mfumo ambao utaleta manufaa ya kiuchumi kwa watumiaji wa internet ambao wanamiliki kurasa zenye watu wengi katika mitandao ya kijamii na blogs...
  8. X

    Wanao miliki kurasa za mitandao ya kijamii zenye kupokea likes/comments zaidi ya 50 kwa siku kulipwa

    Kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi na matumizi makubwa ya internet hasa mitandao ya kijamii,Nijuze inayo furaha kutambulisha mfumo ambao utaleta manufaa ya kiuchumi kwa watumiaji wa internet ambao wanamiliki kurasa zenye watu wengi katika mitandao ya kijamii na blogs...
  9. X

    Mawakala wa mtandao wa matangazo wa Nijuze wanahitajika

    UTANGULIZI. Kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi na matumizi makubwa ya internet hasa mitandao ya kijamii,Nijuze inayo furaha kutambulisha mfumo ambao utaleta manufaa ya kiuchumi kwa watumiaji wa internet ambao wanamiliki kurasa zenye watu wengi katika mitandao ya kijamii...
  10. X

    Unamiliki account ya mtandao wa kijamii wenye followers wengi?SOMA HAPA

    Nijuze.co.tz is website owned by Tanzania Youth Entrepreneurship and empowerment organization (TYEEO) under TIIE department .Nijuze.co.tz is digital market which has responded to the business demands through multi-channel marketing programs that build business across the customer...
  11. X

    Walimu semina za BRN

    Jamani,nimesikia kuna semina za BRN za walimu wa sekondari zinaendelea kuna walimu wamechaguliwa kuhudhuria semia hizo,mfano moja ya semina inafanyika mkoa wa Tabora,naomba kujuzwa hili.
  12. X

    Walimu semina za BRN

    Jamani,nimesikia kuna semina za BRN za walimu wa sekondari zinaendelea kuna walimu wamechaguliwa kuhudhuria semia hizo,mfano moja ya semina inafanyika mkoa wa Tabora,naomba kujuzwa hili.
  13. X

    Tangaza show/events zako bure hapa

    B2Bstar is a great site which brought together different markets and entertinments business within one roof; Therefore it act as a junction of all markets and business sectors in Tanzania. Read the instruction and send your adverts NOW! Click here
  14. X

    Nyimbo ya "mdogomdogo" ya Diamond ni advanced version ya "Aye" ya Davido!

    Japo nyimbo hizi mbili zina maana tofauti, lakini zote zimepgwa kwa maadhi ya kiasili pia idea ya matukio na story ya video hizi mbili ni ile ile! Sema mkali Diamond katika sehemu ya familia ya mfalme ametupia wazungu, lakini mwisho wa siku wote waliopoa mabinti wa kifalme na kuwachezesha...
  15. X

    Circuit ya amplifire kubwa hii hapa, it is so simple to build

    Circuit hii sijai-design mimi niliipata kwenye mtandao,nikaisuka! Imeandikwa watt 600 lakini Kama utaweka power transistor 10x2 utapata the realy 1000wattage of it! Nimeisuka ipo powa sana,the sound is great. It may blow out the roof of your room if you can dare to touch the maximum of its...
  16. X

    Unganisha laptop yako kwenye tv screen

    Tunauza cable zitakazo kuwezesha kuunganisha laptop yako kwenye tv ili uweze kutizama muvi kwenye screen kubwa,tv inayoweza kuunganishwa ni yoyote iwe ya chogo au flat,ipo cable maalumu itakayohamisha picha ya kwenye laptop yako kwenda kwenye tv.kumbuka tv ni aina yoyote haijalishi ni flat au...
  17. X

    Solution ya vlc kuji-deactivate equalizer after every new song hii hapa!

    Player ya VLC ina kawaida ya kuji-deactivate equlizer kila new activity inavyo anza hivyo hulazimu mtu kuactivate tena mannually!kama maisha hayo yana kuboa dawa hii hapa FUATA HATUA ZIFUATAZO. 1.Fungua VLC player yako halafu extend menu ya tools;Halafu nenda kwenye sehemu iliyo andikwa...
  18. X

    Tuwekane sawa kuhusu pd-proxy with airtel chip!

    Nachofahamu mimi Airtel huwa inakata ku-connect ikiwa na 0.00. -Nimedownload PD-PROXY new version -Nikaifanyia setting zifuatazo (a)Katika option ya server nimeset DEMO SEVER (US) (b)Kwenye account Nimeweka user name na password nilizo pewa kwa ajiri ya trial...
  19. X

    HOME PAGE YA AIRTEL THAT YOU CAN BROWS EVEN FOR 0 Tsh

    JAMANI ANAYE IFAHAMU HOMPAGE YA AIRTEL TANZANIA AMBAYO NAWEZA KU-SURF HATA NIKIWA NA 0 Tsh ANITAJIE.
  20. X

    Is free internet a myth?!

    i have been trying my best to trick for the free internet,but it seems am going to put ma hands up!this damn business cracking ma head. i was browsing some where on the internet then i saw some forums moderators thinking of banning all threads with the title FREE...
Back
Top Bottom