Search results

  1. X

    Boda boda namba D inauzwa. TVS

    Bei Tsh 1,000,000/- Documents: Full Eneo: Pugu kajungeni Dar es salaam Kipengere:No kipengere Maongezi: yapo Mawasiliano 0685-060755
  2. X

    Kifaa cha kuratibu mfumo wa kumwagilia maji (Irigation Controller)

    Kifaa hiki kinawafaa wale ambao wana bustani au mashamba na wangependa kuratibu muda wa kumwagilia bustani au mashamba Kipo vizuri sana hakina tatizo lolote. Kipo complete na koki yake
  3. X

    Wazee wa project za eletronics Module SIM800C pc 2

    Module za SIM800C Mbili zinauzwa bei Tsh 30,000 per Pc zipo pc 2 Kama unahitaji nicheki pm
  4. X

    Mita ya umeme kwa ajili ya wapangaji inaingiza Units na kukata umeme pale units zikiisha,pia inakopesha units

    kama utahitaji toa oda yako boss,au ukitaka kuiona ilipo fungwa tutakupeleka uone...na kwangu mm hulipii chochote hadi mita itakapo fungwa,hata hivyo hiyo hapo kwnye link ya huyo mtu ipo tofauti na hii ya kwetu..
  5. X

    Mita ya umeme kwa ajili ya wapangaji inaingiza Units na kukata umeme pale units zikiisha,pia inakopesha units

    Pia kuna sababu inayowafanya Tanesco wasifunge mita nyingi zinazo jitegemea sehemu moja...si sababu za kiufundi zaidi ni sababu za kimapato,biashara ya uuzaji umeme sio kama biashara ya watu wa maji mfano dawasco. Umeme unakitu kinaitwa Tariff,hicho ndo kinaleta changamoto ya kufunga mita...
  6. X

    Mita ya umeme kwa ajili ya wapangaji inaingiza Units na kukata umeme pale units zikiisha,pia inakopesha units

    Mita hizi huwezi tumia umeme wa wengine,UNIT zako zikiisha unakatika kwako tu.
  7. X

    Mita ya umeme kwa ajili ya wapangaji inaingiza Units na kukata umeme pale units zikiisha,pia inakopesha units

    Ni sawa pia itategemeana na unataka kutatua tatizo katika njia ipi zote solution mkuu.
  8. X

    Mita ya umeme kwa ajili ya wapangaji inaingiza Units na kukata umeme pale units zikiisha,pia inakopesha units

    Jaribu boss, kwa nyumba kubwa ni rahisi mita ila, kwa vyumba viwili au kimoja ukipata niambie
  9. X

    Mita ya umeme kwa ajili ya wapangaji inaingiza Units na kukata umeme pale units zikiisha,pia inakopesha units

    Wirering inatumika ile ile kitakachoongezeka ni waya ya kushuka katika mita.
  10. X

    Mita ya umeme kwa ajili ya wapangaji inaingiza Units na kukata umeme pale units zikiisha,pia inakopesha units

    Kuondoa changamoto hiyo nimesha sema wote mnafunga....kama wengine hawana uwezo utakua umepunguza changamoto ya kulipia usicho tumia.
  11. X

    Mita ya umeme kwa ajili ya wapangaji inaingiza Units na kukata umeme pale units zikiisha,pia inakopesha units

    Mita zinatumia line (line za simu)hii ndiyo inatoa utambulisho wa mita yako, pia mita zenyewe zina amba zake (kama zilivyo tu za Tanesco, kila mteja anakuwa na data base yake ukinunua umeme mteja wa mita namba 1, umeme utaingizwa kwako wewe wa namba 1, uhakiki wa ukweli wa units na mita gani...
  12. X

    Mita ya umeme kwa ajili ya wapangaji inaingiza Units na kukata umeme pale units zikiisha,pia inakopesha units

    -Inatumia line (mtandao wowote),line kwa ajili ya kuwasiliana na system,kutuma na kupokea taarifa. -Mpangaji atanunua umeme kama kawaida na kujaza mita kubwa ya tanesco,akisha jaza..system zetu zitaditect na zitaijaza mita yake ndogo UNIT zile zile alizo nunua,kwenye mita kubwa,unit za mita...
  13. X

    Solar panel watt 200 volt 24 mbili zinauzwa na inverter yake

    Panel 24v watt 200 zipo mbili kila moja tsh 200,000/= Inveter watt 1000 puresine wave watt 1000 volt 24 bei Tsh 150,000/ Location Mtoni kwa Azizi Alli Dar es Salaam Simu 0717698515
  14. X

    Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

    Nahitaji hii line......
  15. X

    Digital poultry kutoa mafunzo ya kuunda mashine ya kutotoa mayai bure.

    Sio mara ya kwanza mafunzo kama haya kutolewa mara ya kwanza yalitolewa April mwaka jana na angazo lake lilichapishwa hapa hapa jamiiforums japo wengi walipuuzia,lakini baada ya kuona machapisho hayo ya mafunzo yalivyofanyika wengi wakaanza kuulizia ni lini tena tutatoa fursa hiyo,Kwakuwa...
  16. X

    Digital poultry kutoa mafunzo ya kuunda mashine ya kutotoa mayai bure.

    Mafunzo haya yamekua yakitolewa kwa gharama kubwa ,Lakini Digital Poultry itatoa mafunzo haya kwa watuwote ambao wangependa kujifunza namna ya kuunda mashine za kutotoa mayai ya kuku lakini hawana uwezo,hivyo watu wote wanakaribishwa katika mafunzo kwa vitendo yatakayo husisha uunganishaji wa...
  17. X

    Kama una ukurasa wa facebook,tweeter,Instagram sasa utakua unalipwa hapa hapa TZ.

    Kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi na matumizi makubwa ya internet hasa mitandao ya kijamii,Nijuze inayo furaha kutambulisha mfumo ambao utaleta manufaa ya kiuchumi kwa watumiaji wa internet ambao wanamiliki kurasa zenye watu wengi katika mitandao ya kijamii na blogs...
  18. X

    Wanao miliki kurasa za mitandao ya kijamii zenye kupokea likes/comments zaidi ya 50 kwa siku kulipwa

    Kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi na matumizi makubwa ya internet hasa mitandao ya kijamii,Nijuze inayo furaha kutambulisha mfumo ambao utaleta manufaa ya kiuchumi kwa watumiaji wa internet ambao wanamiliki kurasa zenye watu wengi katika mitandao ya kijamii na blogs...
  19. X

    Mawakala wa mtandao wa matangazo wa Nijuze wanahitajika

    UTANGULIZI. Kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi na matumizi makubwa ya internet hasa mitandao ya kijamii,Nijuze inayo furaha kutambulisha mfumo ambao utaleta manufaa ya kiuchumi kwa watumiaji wa internet ambao wanamiliki kurasa zenye watu wengi katika mitandao ya kijamii...
Back
Top Bottom