Search results

  1. Shantel

    Week end Special

    Just because you know someone doesnt mean you love them, And just because you don't know people doesn't mean you cant love them, You can still fall in love with a complete stranger in a heartbeat, kama Mungu amepanga itokee kwako So marafiki fungua moyo wako huwezi jua Mungu amepanga nini kwako...
  2. Shantel

    ......Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Eid

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza wenzetu wote waliokuwa wamefunga kwenye huu mwezi Mtukufu, marafiki zangu wa karibu sana pia nawapongeza sana na ninawatakia sikukuu njema ya Eid Mfurahie sikukuu huku mkitafakari kwa undani kabisa uzito wa mwezi huu na mlipoweza kufunga, yale mema yote...
  3. Shantel

    Wanaume wembamba wana visa...

    Habari wakuu, hivi mmenote wanaume wembamba sana wanapenda sana wanawake wanene? Yaaani utakuta kijana mwembambaaa mwanamke wake mnene kupita kiasi, hii inatokana na nini? Kuna uwiano gani kati yao? Yaani kuna kaka mmoja mwembamba kama avatar ya fidel ila anapenda mizigo mikubwa ile mbaya, na...
  4. Shantel

    Hata Shetani likizeeka linakuwa malaika

    Wakuu embu tujadili huu msemo, kuna mdada wa makamo alikuwa anasumulia jinsi alivyotoka mbali na Mumewe, na jinsi alivyoteswa na huyo mume kiasi cha kuondoka home kwa mda wa mwaka na kwenda kuishi na mwanamke mwingine Baada ya mwaka huo akarudi akaomba msamaha kwa mkewe, wakabariki na ndoa...
  5. Shantel

    Natamani abadilishe kidogooo

    Hi wapendwa wangu za jumapili, nimekuja leo naomba ushauri kwa hili linalonisibu, nina partner wangu tuko nae muda kidogo, nampenda na yeye ananipenda na kunijali sana, kuna hali imejitokeza kwangu nachoka na routine ileile anapofanya mapenzi na mimi. yaani kwa mfano kila tukianza kufanya...
  6. Shantel

    Nifungulieni Milango

    Hodihodi wanajf nipokeeni na mie nimejiunga leo baada ya kuwa guest member wa miaka mingi
Back
Top Bottom