Ni kawaida kujisikia the way u feel, just give yourself a time, utajikuta unampenda na unapenda kuendelea kuwa kwenye ndoa hiyo, I fall in and out several times but now im ok, keep going, focus like never before
Usiombe kuona aisee, mie nimezaliwa hivyo, naona wakati mwingine naamka usingizini nawakamata mkono, inasumbua, mie nasali Mungu aniondolee kama ni kipaji au mizimu inanilinda mie sijui,nasali na kulala na Bible baac nakuwa na amani
duh chuo cha ma witch doc,swagga kwako inaweza kuwa sio swagga kwa mwenzako and vice versa is true, navyoona kama vile umemchukulia mwenzako bibi ake the huyo bibie anajifanya kukwambia bwanake hana swagga
Kila kitu kikiwa too much, kina kera, sasa ukiwa na mpenzi anaependa sex sana sana kila mara nayo inaboa, sijui maumbile yetu wanawake au vipi, nachojua tukisha pata orgasm tunachoka sana na kutamani kukaa mbali na dushelele kwa muda, sasa utakuta umemaliza tu mtu anadandia tena, hapo lazima...
Mwambie mwende hospital, akikataa mwambie kama hutaki mie ntazaa nje uone ata react vipi, kuna wasichana wanapata matatizo ujanani yanawapelekea kutolewa kizazi, ila hawawaambii waume zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.