Search results

  1. Gwele

    Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Hawa watu wa ajabu sana hawakawii kuja hapa kusema FIFA inawaonea wivu mafanikio yao
  2. Gwele

    Yanga wanaizungumzia Yanga, Simba wanaizungumzia Yanga

    Jezi zao tulizinunua na kazi tuliyoitaka watufanyie wakaifanya tena hawakutumia hata ganzi maana iliacha maumivu makubwa sana kwa watani zetu
  3. Gwele

    Yanga wanaizungumzia Yanga, Simba wanaizungumzia Yanga

    Kwakweli mm kama mwanasimba siwezi kuacha kuizungumzia Yanga na nilifurahi na mpaka sasa nina furaha kubwa baada ya Uto kutolewa robo fainali klabu bingwa hatua ambayo hapo awali walidhani ni rahisi tu kufika na kupita cha ajabu wameishia kucheza mechi 2 dk 180 bila kufunga hata goli la offside...
  4. Gwele

    Haya ndiyo Mambo yaliyowapumbaza mashabiki wa Simba sc na kusahau kuhoji mwenendo mbovu wa timu yao

    Nadhani aibu muanze kuona nyinyi maana mlizani huku klabu bingwa ni shirikisho na mkadhani wanaoishia robo fainali ni wazembe au hawana timu ya kupambana, haya sasa kiko wapi sasa nyie wenye timu bora mmebaki kulilia kosakosa iwe goli kuficha aibu yenu ya kuishia robo
  5. Gwele

    Haya ndiyo Mambo yaliyowapumbaza mashabiki wa Simba sc na kusahau kuhoji mwenendo mbovu wa timu yao

    Sasa kama huko ndio mnapaweza si mngeenda shirikisho mkafanye maajabu yenu Yaani tunazungumzia Klabu bingwa unaleta story za shirikisho
  6. Gwele

    Haya ndiyo Mambo yaliyowapumbaza mashabiki wa Simba sc na kusahau kuhoji mwenendo mbovu wa timu yao

    Yaani kwa sasa tumesahau kila kitu hata jina la kocha wetu tu hatukumbuki ila tunachokumbuka tu Yanga wametolewa robo fainali na Mamelod licha ya kuandika barua ya kujiliza na manung'uniko Caf plus kushinda kwenye page za Caf kutukana bado wananchi wameishia robo fainali
  7. Gwele

    Haya ndiyo Mambo yaliyowapumbaza mashabiki wa Simba sc na kusahau kuhoji mwenendo mbovu wa timu yao

    Na tumewaganda mpaka tumehakikisha na nyinyi mnaishia robo na simba mbovu inayoshuka daraja nyinyi huko Caf ni Mwakarobo wenzetu tu "Mwakarobo Jr"
  8. Gwele

    Haya ndiyo Mambo yaliyowapumbaza mashabiki wa Simba sc na kusahau kuhoji mwenendo mbovu wa timu yao

    Sema kosakosa ya Aziz Ki dhidi ya Mamelod Sundowns, unavyosema goli unatuchanganya na tunajua Yanga hawakufunga goli lolote kwenye hiyo mechi
  9. Gwele

    Jamani nakosea wapi?

    Kwaajili yako kipenzi
  10. Gwele

    Nashindwa kumsaidia

    Lily Tony Njoo hapa mke wangu tumepitia mengi
  11. Gwele

    Jamani nakosea wapi?

    Lily Tony
  12. Gwele

    Penati zisikie kwa mwenzio. Zikiwa kwako znauma!

    Mamelod hawakuhitaji goli lenye mjadala maana lisingewasaidia chochote kama nyinyi ambavyo halijawasaidia badala yake mnaishia kuliomba kwa barua, waliwaacha mkae nyuma mkipoteza muda wao walijua tu hata kama ni Penalty hawawezi kutolewa na Uto na kweli mkajaa mkaishia kupaisha tu
  13. Gwele

    Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

    Kwahiyo ukifungwa nje ndani inakuwa na tofauti gani na wewe uliyekufa kiume Pretoria.? Au nyie wenzetu mliokufa kiume mpo mnajiaandaa na mechi ya nusu fainali muda huu,? "Mwakarobo Jr"
  14. Gwele

    Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

    Yes, kama walivyofunga Al Ahly na walivyokataliwa moja wakafunga mengne mawili hivyo wakapita bila wasiwasi sio timu mechi nzima inapiga shuti moja tu golini refa anakataa sio goli mnabaki mnalialia kila sehemu tumedhulumiwa Mnafika kwenye matuta mnapiga piga tu kama wachezaji wa daraja la...
  15. Gwele

    Mlioanzisha mahusiano humu ndani kwa mbwembwe na baadaye mkaachana, mko wapi?

    Mm na wewe kuachana sio rahisi mama hapo kwako nimefika Lily Tony
  16. Gwele

    Tusisahau pia kuweka kumbukumbu sawa, kundi B kwenye CAFCL ndilo halijatoa timu hatua ya nusu fainali

    Wewe uliyepita kundi dume umeishia wapi huko Cafcl au unasifia uanaume wa wenzio wewe ukiwa umeishia robo? Mwishoni mtaanza kusifia Mamelod ikibeba kombe ili mdai mmetolewa na timu dume
  17. Gwele

    Kufa kiume kunauma sana 😀😀

    Udhulumiwe mchana au gizani haibadilishi kuwa umetolewa hatua ya robo fainali nyingne ni mbwembwe tu ila record zinabaki kuwa uliishia robo huo ndio mpira Yanga wamepambana na wamekufa kiume
  18. Gwele

    Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

    Diarra kudaka tu kapenalty kamoja akaanza kuwatoa watu akili
  19. Gwele

    Viongozi wa Yanga Fanyeni hivi Haraka iwezekanavyo Lazima Yanga icheze Nusu Fainali

    Kwahiyo kocha wa Mamelod kakiri kuwa mmekufa kiume au anapeleka maombi Caf mchukue nafasi yao wao wanajitoa?
Back
Top Bottom