Search results

  1. SPACED

    Ni nini kiliwashinda UKAWA kwenda mahakani?

    Nimefuatilia mwenendo wa kesi ya kupinga ushindi wa Kenyatta nikaona jinsi haki inavyojidhihirisha mahakamani. Nimelinganisha utendaji wa mahakama za Kenya na za hapa kwetu nikaona hakuna utofauti wowote linapokuja suala la kutoa hukumu/haki. Waliotangaza ushindi wa Kenyatta ni majaji sawa...
  2. SPACED

    Kumbe CHADEMA wanafurahia nguvu ya polisi kuzima maandamano ya wapinzani Kenya

    Amani iwatawale wanabodi Wadau ni wakati duru za siasa na demokrasia barani Afrika zikitawaliwa na maandamano pamoja na matamko mbalimbali, hali hii ni tofauti sana hapa kwetu Tanzania. Kwetu hutekelezwa kwa weledi mkubwa sana makundi ya kiharakati tofauti kabisa na vyama vya siasa. Kenya...
  3. SPACED

    Mbunge gani ajitokeze kujibu maswali haya.

    Wanabodi salamu ziwatangulieni nyote Nidhahiri kabisa kila mmoja wetu ameshapata muda kutosha kutafakari kauli za viongozi wetu walizozitoa pale Chimwaga jana. Binafsi nimeitafakari kauli iliyotolewa na waziri wa nchi UTUMISHI NA UTAWALA BORA akirejelea masharti yaliyomo katika ibara ya 67(1)...
  4. SPACED

    CHADEMA tuwe makini na watu hawa, wanaharibu 'brand' ya chama

    Wanabodi Nianze na pongezi kwa shughuli pevu inayofanyika humu katika ujenzi wa taiga letu. Ndugu wapenda mabadiliko, haki na demokrasia ya kweli; inavunja sana moyo pale tunapopambana kwa hoja maridhawa na chama dola (na kwa kiasi kikubwa sana tunawashinda na kuzidi kukubalika zaidi kwa umma)...
  5. SPACED

    Tuliosema Rais Magufuli ana nguvu ya soda bado tunaendelea kuamini hivyo?

    Siku 100 za kutathimini mwelekeo wa utawala wa awamu ya tano zimeshapita, mwelekeo wa uendeshaji wa siasa zetu na utendaji wa utumishi serikalini kwa sasa uko bayani kwetu. Je, bado nguvu hii inaonekana ni ya soda? Hoja ya udikteta nayo inaonekana sasa kuzoeleka na kukosa nguvu katika jamii...
  6. SPACED

    Umebaki muda mchache Dr. Tulia awarudishe wabunge majimboni kwao

    Katika uchaguzi uliopita tumeshuhudia ukitawaliwa na figisufigisu nyingi za kuukwaa ukubwa ndani ya vyama nje ya vyama(jimbo). Demokrasia iliwekwa pembeni, wapo waliojinasibu kwa uchungu mkubwa kubeba hisia na unyonge wa wapiga kura kwamba wao ndio wanajua vizuri namna ya kupambana na serikali...
  7. SPACED

    Hukumu zinazotolewa ha kamati ya maadili ya bunge, je kamati hii huru?

    Wadau naomba tuzungumze katika jambo hili, baada ya Dr. Tulia kupewa rungu ya kuongoza bunge kumekuwa na vikao kadhaa vya kamati ya maadili ya bunge na bila shaka sote tumekuwa tunashuhudia uamuzi na adhabu zinazofikiwa na kamati hiyo. Maswali yangu ninayojiuliza mara nyingi ni je kamati hiyo...
  8. SPACED

    Mitazamo ya kiushindani, demokrasia na hisia za Udikteta Tanzania

    Huenda kuna baadhi ya mambo nchi yetu inayafanya lakini hayafurahishi, hayapendezi, yanaudhi, yanaumiza na kupumbaza. Bila shaka inapotokea hali kama hiyo haituondolei uzalendo kama watanzania. Binafsi najiona huru, jasiri, mzalendo na mshindi wa kweli pale nchi yangu inaporejelewa kama mfano...
Back
Top Bottom