Search results

  1. S

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    lakini bana chama mi sidhani kama hoja zako zina mashiko maana hazina nguzo inayozishikilia ili ziwe thabiti na imara naona ni hoja zinazombwelambwela tu kwa kukosa mwimo. tafakari kisha uchukue hatua ya mabadiliko
  2. S

    Network mpaka huku...

    duh! you made my day
  3. S

    Uliza swali lisojibiwa popote pale

    kwa nini niyapitie haya?
  4. S

    Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

    let them go. kwanza wamekuwa mzigo tu, hao wapemba ndo wafanyabiashara wakubwa wa hoteli na vyakula huku tanganyika. hoteli zote kubwa za Zbar zinalishwa na chakula toka bara, kama huamini nenda pale bandarini saa 12 asubuhi ndo utaamini hawa watu wanasema mawazo yao
  5. S

    CHADEMA waweka bayana msimamo wao juu ya yaliyowasibu ma-Sheikh Ponda na Farid

    sio kwamba CDM ni chama cha Wakristo, bali tunajua kwamba kinaungwa mkono na watu wasomi na waelewa wa mambo. Viongozi wake hawakurupuki bali huwa na busara katika kutatua mambo.
  6. S

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    wakristo ni wapole sana... Huo uhuru wa kuabudu ndio upi? Kupigana na kuharibiana mali? Sasa wakristo nao wakija juu na kusema mmechoma makanisa yetu itakuwaje? Acheni ujinga.... Kumbe ndo maana mlikataa hata kuhesabiwa kwa kuwa mnapenda uhalifu?
  7. S

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Duh! Kaka nakuunga mkono maana inawezekana mtoto alikuwa anatest na sio inawezekana bali ni kweli alikuwa anatest hivi kisemwacho ni kweli? Akajua ni uongo... Ilitakiwa hata yule aliyemwambia mwenzake ashutuke kwa kuona kumbe hakuna chochote kinachoweza kutokea na kugundua kwamba kumbe huwa...
  8. S

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Jamani hata kama ni akili za matope hizi zimekuwa zaidi... Ugomvi wa watoto wewe mtu mzima na akili zako na hekma ya mnyazi mungu aliyokupatieni kweli kabisa, ona hasara hiyo, haya niulize ka swali ka kizushi: Hayo makanisa, wachungaji au waumini ndo waliokojolea?
  9. S

    Hii ndiyo akili!

    duh! hii kali
  10. S

    Bahili kiboko!

    mh hii kiboko mbona hujatupa feedback ya muuzaji? kama hakujibu basi atakuwa alitumbua macho kama visahani.
  11. S

    Tuwakumbuke waandishi wetu wa Riwaya

    CHACHAGE Makuadi wa Soko Huria Gabriel Ruhumbika 1. Janga Sugu la Wazawa 2. Miradi Bubu ya Wazalendo.
  12. S

    Lakisihela village

    Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Wakati wengine wakifa njaa wengine wanaona laki si hela. Hapo chanika kuna kijiji kinaitwa lakisihela kwa maana kwamba mtu anayeishi hapo kutoa rushwa ya laki moja kwa afisa wa polisi au mheshimiwa fulani si tatizo. Kijiji hicho kimejificha sana kiko...
  13. S

    Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana

    we unayelindwa na damu ya Yesu sijui kama unaelewa. we unasoma Biblia ipi? acheni kujitetea wanakosea maana biblia inasema wanawake wasivae mavazi ya wanaume. we umkuwaona wanaume wakivaa sketi na blauzi wakaenda kanisani kumwabudu Mungu? lakini sishangai sana kwani siku hizi watu hujifunza...
  14. S

    MUKAMA na KABURI LA BABA WA TAIFA

    jamani hivi ni vituko vya mwaka!!!!!! kwanza kabisa mi naona tangu hyu mukama aingie madarakani amekuwa mtu wa kuropoka tu wala hajui anaropoka nini! jaribu kufuatalia yale asemayo hayana hata logic. naona yeye anasema bila kujali anasema nini. anashangaza na kuchekesha teh! teh! teh! hapa ccm...
  15. S

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    duh MUNGU atuhurumie sie waja wake. kweli we are walking with death. tuache dhambi ili tuwe na uhakika wa maisha ya milele. hakuna ijara wala shauri kuzimu tuendako.
  16. S

    Naibu spika aenda Samunge kupata kikombe!

    kweli kabisa huu ni upuzi tena mkubwa. hivi kama wote waliokunywa kikombe cha babu wakiota mikia itakuwaje? kuna kiongozi atakayepona kweli? tutaongozwa na mashetani, tutakimbiana
  17. S

    Tunakwenda wapi watanzania?

    hata kama ni hivyo lakini kumbuka matokeo yalichakachuliwa!!! nani ajuaye kwamba tuliwataka hao? wote tulibaki midomo wazi baada ya kuona matokeo. tafakari chukua hatua.
  18. S

    Nani ahame CCM kati ya Kikwete au Makamba?

    Du! Hii kaaaaaali mpaka raha. Yaani viongozi wetu wanageuzwa na vijiupepo viduuuuuuchu!!! Mh! Nani ndo nani hapo mwenyekiti na katibu wake washalala chaliiiiiiiii
  19. S

    Tunakwenda wapi watanzania?

    Jamani watanzania tuamke!!! Gharama za maisha zimepanda. Hapo ni mwanzo tu bado bunge letu tukufu halijakaa kupanga bajeti ya 2011/2012. Hivi kweli tutafika? Jamani tufikiri tusije tukafikia walipofikia wenzetu wamisri?
Back
Top Bottom