Search results

  1. mmakonde mjanja

    Gari aina ya Celica inasha maji ukiendesha na hata ukiipaki

    Habarini za majukumu ninagari aina ya Toyota Celica ilikua inasumbu kabla tatizo la kuchemsha Nika badili injini. Ila toka nimefunga mpya maji hayakai kwenye chupa kidogo Cha maji Ila haichemshi. Na hata nikijaza ukalala asubui sikuti maji naomba msaada.
  2. mmakonde mjanja

    Gari aina ya Hyundai tacson

    Jamani naomba kufahamu mambo haya kuhusu gari tajwa hapo juu Gari ina cc 1998/2000, na ni 4wD / 2wD Left hand diesel Auto TM Swali , je nitatumia 1L kwa kilometre ngapi? Na vipi kubusu ubora na vipuli vyake yani upatikanaji nabei Pia nini changamoto ya gari zakushoto. Ahsanteni sana...
  3. mmakonde mjanja

    Walale kwenye mahema,jkt waludi vikosini,na watumie mishara yao kuishi

    Kauli iliyo tolewa na generally na akasisitiza kuwa hii ni operation kama zingine hivyo walale kwenye mahema Na watumie mishahara yao. Vijana wa jkt wameondolewa kwenye magadauni yote . Chanzo ni macho na masikio yangu
  4. mmakonde mjanja

    wajuzi wa magari nisaidieni

    nimependa hii gari MITSUBISHI OUTLANDER NAPENDA KUJUA KUHUSU MAFUTA NA UBORA
  5. mmakonde mjanja

    Gari inahitajika

    Nina shida na gari yakuendea job mimi ni mwalimu. Bajeti yangu ni 3.5 tu niko DSM.
  6. mmakonde mjanja

    AL - maktoum collage of engineering and technology kinatambuliwa

    Naomba kuuliza hiki chuo kinatambulika au pesa zangu za korosho zitaenda bure? Naomba Masada wenye kujua
  7. mmakonde mjanja

    Benki gani wanatoa mikopo kwa watumishi?

    Naomba kujua ni benki gani wanatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali na mashirika ya umma kwa sasa.
  8. mmakonde mjanja

    Kutekwa

    Jamani naomba msaada nifanyeje kuna askari police wa kituo cha bugarama kahama Ameniambia ataniteka Siku ya jmos tarehe 29 kwa sababu aliniomba rushwa ya 50000 sikumpa naomba msaada sifanyeje jina kapuni kama roma
  9. mmakonde mjanja

    Ushauri kati ya Subaru 1.5L Na BMW 1 series

    Naomba kuuliza kati ya hizo GARI mbili ipi Ina nifaa kwa Mimi mmakonde ninaeishi mwanza kuwahi misiba Na sherehe za unyago kwa Wakati bila shida kule south kwa che mkapa/ bonde lagesi?
  10. mmakonde mjanja

    Brother hood

    Ninaomba mwenye uwezo wa kuniunganisha Na brother hood society anisaidie Mana nimejikuta interested Na hawa brothers Ova
  11. mmakonde mjanja

    Samweli sitta amsafisha lowasa

    Ule msemo wa kufa kufaana unajidhilisha LEO Wengi wamepata kujua uchafu, hila Na njama pamoja Na usaliti wa huyu mzee Alikua ana wasaliti ccm Na kuvujisha siri za utawala kwa vijana wa upinzani akina zito zuberi Kifo chake kimeweka wazi majibu Na maswali ya watu kuhusu RICHIMOND Na lowasa...
  12. mmakonde mjanja

    Msaada unahitajika, nina mzigo kutoka Senegal naupataje?

    Habari za majukumu, Nina mzigo kutoka Senegal naupateje yani nawezaje kufikisha bongo mzigo ni laptop, pad, simu na video camera nisaidie.
  13. mmakonde mjanja

    Jinsi yakupata mwanamke wakizungu

    Habari za mapunziko Nilileta mada hapa ndani kuwa nahitaji mwanamke wakizungu ili nimpiku hamonizer pale kikijijini kwetu mahuta Kweli nimefanikiwa kupa mke ingawa kuna changamo kidogo 1. Umri umenda sana tofauti ya miaka 15 2. Watoto mapacha amboa nahisi wanafaa kutumia Mimi 3. Lugha...
  14. mmakonde mjanja

    Hatimae neno jipu laanza kutoweka

    Ile kasi ya majipu imegundua kosa na imeanza kujirekebisha Nazani mkuu kashaulia, wafanyakazi wengi wali simamishwa kazi wakawa wanachuakua mshara uleule bure na nafasi hiyohiyo analipwa MTU tena Sasahivi uki halibu ni mwendo wakushushwa Cheo, kubadilishiwa kitengo, kupunguzwa mshara au...
  15. mmakonde mjanja

    ACT - Wazalendo, CCM na Zitto wafanikiwa

    Ni ukweli usiopingika kuwa ule mpango wa CCM, ACT Wazalendo kuvunja CUF Bara umekamilika, mpango uko hivi... 1. Wametumia mbinu za Lowassa za kwenda upinzani na wafuasi wengi 2. ACT Wazalendo itawapokea wanachama wote watakaomfuata Lipumba 3. Jimbo la Magdalena watarudia uchaguzi na ni...
  16. mmakonde mjanja

    Anguko la chama tawala laja

    Siku zanyuma wana nchi waliogopa upinzani kwa sababu zifuatazo; 1. Waliamini wataleta vita. 2. Wafanyakazi walijua wata banwa kutokana na ajenda za ufisadi na uwajibikaji. 3. Wafanyakazi waliogopa upinzani unge wapunguzia mishahara . 4. Wananchi waliogopa utawala wa mbavu. Ila yale yote walio...
  17. mmakonde mjanja

    Tanesco

    Nishirika pekee ambalo limefanikiwa kujisafisha na kuludisha mvuto kwa Wateja wake ila kwingine bado majanga
  18. mmakonde mjanja

    Namkumbuka Mfalme juha !

    Si tu mfalme juha Bali nakumbuka pia vitabu vifuatavyo 1.Nchi yakusadikika 2.joka la mdimu 3. Rwanda magere the rock 4. Nchi ya ahadi 5. Mfalme la la la!!
  19. mmakonde mjanja

    Tetemeko la uchumi

    Poleni ndugu na jamaa walio kbwa na tete meko la aridhi. Pia hali ilivyo sasa niwazi kuwa kuna dalili la kuwepo tetemeko kubwa la Uchumi Hili Lita tokea kwa sababu ya mtu mmoja kujiona yeye anaweza kila kitu. Akazarau wasomi Akatumbua wazoefu Aka wabana wasi mkosoe Ndugu hata ,mungu...
  20. mmakonde mjanja

    Mwambieni Mtani..

    Si watu wa kupatwa kwajua tu, hata sisi wa gesi haitoki, pia hata wale wa kanda ya tetemeko achilia mbali watu wa kanda ya mwendokasi Wanasema kwa kawaida Namba haina mwisho, na mwambieni watu wa katikati ya nchi wanasema ccm sio ileile mana zaidi ya kuona Magari ya mawaziri hawana faida...
Back
Top Bottom