Search results

  1. M

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    hivi kwenye startimes TVE pamoja na TABIBU huwa zipo kwenye king'amuzi...
  2. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anayeta kwenda geita idara ya msingi tuwasiliane
  3. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mwalimu wa shule ya msingi kuna ndugu yangu anataka wa kubadilishana naye yeye yupo wilaya ya GEITA
  4. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    aliye tayari mwalimu wa shule ya msingi aende wilaya ya GEITA kwa kumpata wa wilaya yeyote kanda ya kaskazini
  5. M

    Kero malipo ya Mtihani NECTA kwa M-Pesa

    HIVI UKISHALIPA POSTA KUNA HAJA YA KWENDA KWENYE WEBSITE YA NECTA kufanya registration?
  6. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa mwalimu wa shule ya msingi anayetaka kwenda geita na ndugu yangu aende morogoro tuwasiliane
  7. M

    Uliza chochote hapa kuhusu vingamuzi au dishi

    mkuu hiki kin'gamuzi cha BEIN SPORT kinapatikana wapi hapa bongo?
  8. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    idara ya msingi aliye tayari kwa uhamisho toka geita kwenda mkoa wa arusha au kilimanjaro
  9. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo geita nami nije arusha au moshi mwalimu wa shule ya m singi
  10. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Aliyekuwa tayari kuja geita mimi niende mkoa wa kilimanjaro wilaya yeyote idara ya msingi tuwasiliane
  11. M

    Nahitaji kununua coaster

    Wakuu ninahitaji kununua gari ya biashara haswa coaster. Ninaomba ushauri ni aina ipi ya coaster ni nzuri na pia kampuni nzuri ambayo nitaweza kuipata. Nasubiri ushauri wenu
  12. M

    SBT: Japan

    hivi hawa sbt na ni kampuni mbili tofauti au ni moja? kwani magari ambayo yapo kwenye stock ya SBT yapo pia kwenye stock ya Broom
  13. M

    Msaada jamani

    CHEERSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS!!!:peace::peace:
  14. M

    Msaada jamani

    nakushukuru sana mkuu,nimefanikiwa.ubarikiwe
  15. M

    Msaada jamani

    Mkuu nashukuru wa ushauri wako ila nimejaribu ku restore lakini bado hakuna mabadiliko yoyote
  16. M

    Msaada jamani

    sina hiyo set up wandugu nitaipataje?
  17. M

    Msaada jamani

    yaani program zote mfano mozila, skype microsoft excell ni nyingine zipo hivyo
  18. M

    Msaada jamani

    Wanajamii naomba msaada kwani mdogo wangu alipokuwa anatumia laptop yangu amefanya programm zote zionekane kuwa ni microsoft word.Nimejaribu ku restore lakini bado program zote zinafunguka kwa microsoft word. Naomba msaada nifanye nini ili programm zifunguke kama kawaida. Natumia window...
Back
Top Bottom