Search results

  1. kiraza

    Kinywaji cha Mo Extra ni energy drink au siyo?

    Kitaalam Mo extra ni energy drink au siyo? Na kama siyo kwanini watu wanaihisi kama ni Energy Drink? Tunaomba msaada wa kikemia. Nimecopy Moja ya Comments Huko Chini kutoka kwa America nigga. "Energy drink ina sifa kuu ya kuleta nguvu na uchangamfu haraka kutokana na viungo vyake kama...
  2. kiraza

    Ukweli usiopingika Paul Makonda amerudisha heshima ya CCM kwa kila Mtanzania

    Umeme umeacha kukatika Hovyo, Nilikuwa simkubali kabisa makonda ila tangu siku kachaguliwa Umeme haukatiki hovyo tena, hali ilishakuwa mbaya sana.
  3. kiraza

    Nini dawa ya uume kusimama kwa mda mrefu

    acha nyeto, utapona
  4. kiraza

    Makonda amerudi akiwa ameiva vilivyo

    MGAO WA UMEME UMEISHA GHAFLA!! HAHAHA KWELI MAKONDA NI KIBOKO.
  5. kiraza

    FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

    Mimi ni Yanga Ila utabiri wangu unasema Yanga wanasukumiwa moto, Aziz Ki Atafanya jambo nyota yake iko vizuri kesho
  6. kiraza

    Kwako Waziri Gwajima, kuhusu kufukuzwa kwa Mkuu wa shule

    Nina maswali kadhaa juu ya kuwafukuza kazi hawa walimu wakuu. 1. Kwanini kwenye Mikutano ya CCM, Zuchu anaalikwa na anauimba wimbo uleule mbele ya Viongozi wa Serikali na wanafunzi na wanacheza kwa pamoja na haliwi kosa? 2. Kama Wimbo wa Zuchu una makosa kwanini Basata Wasingeufungia ili mtu...
  7. kiraza

    Baada ya Israel kuzima mtandao Gaza Star link kuwasha internet Gaza!

    Watakuwa ni waqrabu kweli mzee, si kila unaemuona hapa JF ni Mweusi kama mimi na wewe.
  8. kiraza

    Kwanini nikiwa nje na nilipozaliwa sifanikiwi?

    yasikie tu kwa mwenzio bob
  9. kiraza

    Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na nchi inayoitwa Israel

    Wapalestina Walinyang'anya ardhi ya waisrael miaka 700 iliyopita na kuwafanya waisrael wawe wakimbizi europe unalijua hilo?
  10. kiraza

    Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

    Jambo ni la dharula hili nashauri wamwagwe SUMA JKT kwanza kila ufukwe walao kwa miezi kadhaa na watoe adhabu takatifu kwa atakaenaswa.
  11. kiraza

    Kwanini nikiwa nje na nilipozaliwa sifanikiwi?

    Sidhani kama unaweza kunielewa, hadi uone picha halisi ninayopitia pamoja na historia yangu.
  12. kiraza

    Jana nimeacha rasmi kununua dada poa

    Mimi ndo mfalme wa hayo mambo na nathubutu kusema wewe ni mwongo, hujaacha ila haupo sawa kifedha, ngoja upate fedha af uone Tako linapita likiwa na kimini.
  13. kiraza

    Kwanini nikiwa nje na nilipozaliwa sifanikiwi?

    Hayo mambo nishayafanya sana na kuyazingatia kwa umakini ili nimedunda.
  14. kiraza

    Kwanini nikiwa nje na nilipozaliwa sifanikiwi?

    Si hivyo mzee, ninakuwa si mgeni kabisa wa maeneo ninayoenda, Jambo jingine la kushangaza ni kuwa mwezi wa kwanza au wa pili tangu nitoke hometown nikiwa ugenini mambo huenda vizuri sana ila kadri muda unavyozidi kwenda hali huanza tena kuwa ngumu.
  15. kiraza

    Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

    Waziri Jambo hili limekufikia wewe Na ndie Target sahihi katika suala hili, naamini litafanyiwa kazi haraka iwezekanavyo. Beach maarufu kwa matukio haya zote zinajulikana. kwanini msiwape kazi vijana wa SUMA JKT kufanya Doria katika Beach zote na kutoa adhabu kali kwa wote wanaofanya hiyo...
  16. kiraza

    Kwanini nikiwa nje na nilipozaliwa sifanikiwi?

    Hello, kuna jambo la kushangaza kunihusu. Nimeligundua, nikiwa mbali na wilaya niliyozaliwa mikosi inaniandama mpaka natamani kujiua, ila nikiwa hometown mambo yanabadilika kabisa, fursa zinanifuata zenyewe, na hata nikifanya biashara sitapeliwi wala kupata hasara kama nikiwa nje ya hapa...
  17. kiraza

    Mungu aliwaadhibu Wanadamu kwa kosa lililoletwa na Malaika wake

    Zamani nilikuwa namuona lkiranga kadata, ila nikaja kugundua mimi ndo nilikuwa nimedata. Story za kukaririshwa bila fact zina utata sana.
Back
Top Bottom