Search results

  1. John Cannor

    Madereva wa Alteza, Subaru na Cruser V8 wakikutana na huu mkeka wa Zambia... Lazma tairi lichomoke

    Cruiser V8 lazima itamie lami kama bata anavotamia viaranga, subaru na alteza vinaweza kupotea njia..
  2. John Cannor

    Mwanamke anayejitambua aje PM

    Wewe ndio unachukulia kirahisi, ila huenda huko PM kwa jamaa kumejaa
  3. John Cannor

    Nini kilimliza Jafo alipotembelea Kibiti.?

    Au ni machozi ya mamba? MAANA UTATAFSIRI NI KILIO ...KUMBE NI TOFAUTI
  4. John Cannor

    Marekani: Tuko tayari kusaidia uchunguzi wa shambulio la Lissu ikiwa Serikali itatoa ruhusa

    Mkuu woga wa nini? mbona kama una hofu sana...?
  5. John Cannor

    Rais Magufuli amuapisha Naibu wa pili wa Wizara ya Madini, Doto Mashaka Biteko! Asema Wizara hiyo bado haijamu-impress

    Hii ni tabia ya Wale wanaohitaji wasikilizwe wao tu, hapa nimemuelewa Rais kwamba HAPANGIWI, ni kauli yake ya kila siku.
  6. John Cannor

    Aibu: Waziri anaposhindwa kutambua majukumu yake

    Hivi huyu Shonza ni wa kanda ya ziwa? nilidhani ni wa kule kwetu kwa Mh Sugu..
  7. John Cannor

    Aibu: Waziri anaposhindwa kutambua majukumu yake

    Mkuu nadhani hii kitu ilianza kwa baba mwenye nyumba, watoto wanafata kile kinachofanywa na baba yao!
  8. John Cannor

    Usiempenda kaja,Kaibeba na hii tuzo [emoji3]

    Kashinda kwa roho ya kikatili au? Kampiga gepu hadi wetu.?
  9. John Cannor

    Tweet hii ya Nape imekuja Wakati mbaya

    Vita ya nafsi ni kali sana.
  10. John Cannor

    Mkutano wa hadhara wa mbunge wa Iringa mjini Mh Peter Msigwa wafana

    Ulinzi ulikuwepo? Achana na wa policcm?
  11. John Cannor

    Nimepata mshtuko mkubwa Ubungo Bus Terminal leo alfajiri!

    Kwani jamaa kashamaliza ziara yake Chaina? Akirudi anarudi na mipango mipya...
  12. John Cannor

    Wolper kaamua kuolewa ili kutukomesha wambea

    Hata Iyobo mliponda sana mwisho wa siku watu wanapeana malavidavi hadi leo na wapondaji sura zimewashuka.. Ili mradi anatimiziwa haja zake za kitandani na anaridhika, mambo ya kisura muachieni Jux
Back
Top Bottom