Search results

  1. Sefu jafary

    Bashiru Ally achana na lugha za namna hiyo, hazijengi

    Bashiru nilikuwa simfaham huko nyuma,lakini sasa hivi naona kavimba kichwa anawapanda kichwani hadi wazee wa chama.
  2. Sefu jafary

    Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    lengo langu ni ku share fursa but you think in opposite. Wewe hauhitaji ndo maana, wanaoitaji washapiga cm tangu jana so unajisumbua.
  3. Sefu jafary

    Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Ni wengi ila waliopo serious na biashara ni wachache ambao hawapo serious kama wewe ndo wengi.
  4. Sefu jafary

    Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Refer to the heading,I need serious people if you are not serious stay away.
  5. Sefu jafary

    Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Ushaambiwa hiliki inapatikana kiongozi,kikubwa ni kufika eneo la tukio.
  6. Sefu jafary

    Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Soma thread yote mkuu,shida yenu mnasoma jujuu ndo maana hamuelewi vitu vidogo. Kitu kingine mimi sina chama hapa bongo.
  7. Sefu jafary

    Kwanini kazi ya UALIMU hupelekea mambo haya kwa walimu?

    Jamaa anatudhalilisha sana walimu,iv bila mwalimu huyo mama yako angewezaje kupata udaktari au Baba yako angeweze kwenda uasikari.
  8. Sefu jafary

    Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu,wale wateja wa hiliki napenda kuwaambia iliki ipo ya kutosha na mwezi 8 mwaka huu itakuwa tayari kwa kuuzwa. Hivyo basi kama unahitaji mzigo weka order mapema sababu wanao itaji mzigo niwengi.Kama unataka mzigo njoo ukiwa umejipanga utapokelewa bila shida...
  9. Sefu jafary

    Mrejesho

    Una maanisha mapenzi pesa now days.
  10. Sefu jafary

    Mrejesho

    Apo utakuwa umempiga chura teke mkuu
  11. Sefu jafary

    Mrejesho

    Kwa mfano mimi kazi yangu naingiza 7000 per day nimdanganye naingiza sh.ngpi mkuu?
  12. Sefu jafary

    Mrejesho

    Nilikuwa nasikia watu wakisema "bora ukosee maisha kuliko kuoa" hapa ndo napata picha safi na kugundua wale vijana wazamani walio kuwa wanatafutiwa wake na wazee wao hawa hawakuwa wajinga.
  13. Sefu jafary

    Mrejesho

    Wengine hatutaki kuoa kwetu.
  14. Sefu jafary

    Mrejesho

    Walio kwishafanikiwa ndo wanapataga watoto wazur balaa sababu pesa zao ndo huongea.
  15. Sefu jafary

    Mrejesho

    Pesa kwanza mapenzi baadaye!
  16. Sefu jafary

    Mrejesho

    Kweli,lakini wengi wanapo fikisha huo umri tayari wanafamilia (washazalishwa).
  17. Sefu jafary

    Mrejesho

    Nimeona kumdanganya mtu ambaye nitaishi naye sio vizuri mkuu.
Back
Top Bottom