Search results

  1. Namala Namala

    Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

    mbona mie nimekua nikisikia kuwa usafiri salama kabisa kuliko wote hapa duniani ni njia ya maji kwa maana ya meli.
  2. Namala Namala

    TANZIA Kahama: Watu 19 wafariki dunia kwenye ajali inayohusisha trekta, hiace na lorry!

    siyo tu kiduku, vinywele vichafu vimejaa vumbi vimesokotwa, sijui ndo wanaita kiduku msokoto na kisuruali kina matobo magotini na mapajani, baadhi ya boda wapuuzi sana asee.
  3. Namala Namala

    Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

    ziwa Tanganyika halina maji chumvi, lina maji baridi
  4. Namala Namala

    Wazungu hatuwawezi na hatutowaweza

    kwa sasa mzungu hawezi kuua uchumi wa mchina, kishachelewa tayari
  5. Namala Namala

    Hiki kipimo ni kuwa ana UKIMWI au?

    na je vp ukipima kipimo kikaleta mstari mmoja ila baada ya masaa 4 kikabadilika na kuleta mistari 2 hapo inakuwaje, kwani kipimo kinatoa majibu sahihi baada dk ngapi wadau? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Namala Namala

    Dumila ni mji unaokuwa kwa Kasi sana!!

    kweli huu mji unakuwa kama ule mji wa Katoro kule Geita
  7. Namala Namala

    Discipline: Somo zuri kutoka kwa marehemu Bruce Lee

    Harafu! wewe ni wa kanda maalumu?
  8. Namala Namala

    Jamani panya wametafuna tsh. 90000/= sijui nifanyeje?

    peleka bank ukaiweke kwenye A/C yako then kaichukue pale kwenye ATM inakubalika vizuri tu ndugu yangu.
  9. Namala Namala

    Iringa Mabasi Kulazimishwa Usiku Kushusha Abiria Usiku Stand Iliyopo Porini Ni Ujinga Wa Hali Ya Juu.

    angalau wawe kama mwanza vile, maana Mwanza kuna stand mbili, mabasi ya yanayotokea mkoa wa Mara, Kenya na sehemu ya mkoa wa Simiyu yanyewe huishia Buzuruga stand isipokuwa yale yanayopitiliza huenda mpaka nyegezi terminal, na mabasi yanayotoka kanda karibu zote za nchi na Uganda kule husimama...
  10. Namala Namala

    Ni nani mmiliki wa anga za juu?

    Yaan wewe ndo tabularasa kabisa
  11. Namala Namala

    Hodii Tabora

    kuna lodge inaitwa katavi lodge iko vizuri sana bei kama 15 elfu hiv, viwanja vya kujirusha nafikikiri pale oxygen panafaa sana mdau.
  12. Namala Namala

    Sitosahau niliponusurika kuchomwa moto tulipoenda kuiba mimi na rafiki zangu

    Pole sana ndugu na hongera kwa kupambana mpaka hapo ulipokia Mungu wa Mbinguni ni mwema sana azidi kukulinda na kukujalia maisha marefu yenye upendo, mafanikio na baraka tele. Ila ndugu umenipa ka elimu kumbe ndizi mbivu ni dawa ya presha ya mimba!?
  13. Namala Namala

    Hivi kuna siku jiji la Dodoma(makao makuu TZ) litakuwa bora kuliko majiji yaliyotangulia kama Mbeya, Dsm, Arusha, Tanga na Mwanza.?

    hata Abuja haijawai kuizidi Lagos huko Nigeria, Yamossoukuro haijawai kuizidi Abidjan huko Ivory cost au Capetown kuizidi Johannesburg kule South Africa.
  14. Namala Namala

    Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Ila bodaboda jamani, jana kule Mwanza kama km 2 hivi kutoka nyegezi standi wakasabaisha ajali basi la Abood leo kama masaa 24 hivi yamepita eti Moro nako haohao, hivi baadhi yao huwa wanawaza nini vichwani mwao jama!?
  15. Namala Namala

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Kuna vumbi kuzidi kasulu na Kibondo!?
  16. Namala Namala

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    njombe cpajui vizuri ila kahama ule mji hata buzwagi ufungwe kesho ule mji ushaendelea tayari, yaani in sawa na kusema kwasababu serikali na wizara zote zinahamia Dodoma halafu useme Dodoma itaizid Dar kimaendeleo na kiukuaji hiyo haipo. Pia kumbuka kahama pale kuna ofisi nyingine za kimkoa ziko...
  17. Namala Namala

    Hawa waliwahi kutamba sana awamu ya 4 na kutetemesha Jiji

    kule wakochoma moto watu na magari!? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom