Search results

  1. machiaveli

    Vijana wamekuwa wa ovyo

    Kuna mdau nimesoma post yake humu anajuta kumunganishia mtu kazi,hii kidogo ifanane nayo kwa mbali Kuna dogo mmoja around 25 anapiga kazi zake za Bajaj muda mwingine unakuta amepoa tu mtaani anasikilizia! Sasa sisi mara nyingi kwenye high season tunafanyaga kazi za kupanda mlima Meru na...
  2. machiaveli

    Sisi ambao tumebarikiwa kuwa na wazazi wetu tuwaheshimu

    Habari zenu wote? Leo Kuna jambo nimekaa nikatafakari sana! Tulivyokua wadogo tuliwaona wazazi wetu ni kama watumwa wakutulisha,kutuvisha,kutusomesha na mambo kama hayo!! Kwa Sasa mi ni mwanaume(mzazi) wa around 35-40 nimekuja kugundua jambo! Kuna muda mzazi unakata tamaa kabisa na watoto...
  3. machiaveli

    Muwa ni nini?

    Habari zenu wakuu? Kuna hili swali Huwa najiulizaga muda mrefu sipatii jibu pengine hapa naweza pata ufahamu! Nilipenda kujua muwa ni nini he ni tunda, kinywaji, mboga, nyasi au nini? Asanteni
  4. machiaveli

    Waliotabiri mvua itanyesha hawakukosea

    Hawa TMA kwa kweli hawakukosea Leo nimechapwa na mvua Moja pande za kisongo airport mpaka nikaficha simu yangu sehemu za siri. Ni mara ya kwanza nime experience kichapo Cha mvua namshukuru Mungu yule jomba aliyekua anaendesha harrier yake alinipa lift manake sikuona bodaboda wala bajaji...
  5. machiaveli

    Nini tiba ya tatizo la kutokwa na damu puani?

    Rafiki yangu ana umri 35 ana tatizo la kutokwa na damu puani zaidi ya miaka 10,tatizo lilianza kipindi ameanza kazi ya fundi wa ujenzi! Tatizo lake ni kwamba Kila aamkapo asubuhi wakati ana anawa uso damu zinatoka puani, wakati mwingine wakati amekaa tu damu zinatiririka!! Naombeni msaada wenu...
  6. machiaveli

    Kamari imekua zaidi ya cocaine!

    Habari zenu wakuu!!? Binafsi Mimi kama Mimi hii michezo ya kubahatisha sijawahi jaribu tangu mtoto! Zamani kipindi Niko nyokaa chuga huku nilikuwaga napewa tu shilingi 50 nikachenchi,nikiwaletea makachala chenchi wananipa Lile li shilingi Tano kubwa nanua ngubiti Wao wanaendelea na kamari...
  7. machiaveli

    Maneno yapi sahihi hapa?

    Onyesha,onesha,vyema,vema
  8. machiaveli

    Nifanye nini mtu niliyemsaidia kupata mchongo anataka kunipindua kwenye kitengo changu?

    Mtu niliyemuamini nikampa nafasi kwenye kazi za kitalii ninayofanya tangu akiwa waiiter mpaka Sasa anataka kunipindua kitengo changu cha u-chief guide ikiwezekana hata kunimaliza kabisa! Kuniharibia kazi, uchonganishi na mabosi isitoshe Mimi nilimkuta kitaa hana ramani anakunywa banana akaomba...
  9. machiaveli

    Jamii Forums sianchi ng'o!

    Huu mtandao tangu nimeujua umenisaidia mno kunielimisha,kupata ushauri na kuniburudisha! Jana nilikua home Sina kazi Kuna nyuzi mbili nilifumua nilipitia post zote kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni Niko online jf!😂 Nilijifunza mengi na kuburudika mno
  10. machiaveli

    Kama baba, inaniuma mno kuona mtoto wangu anampenda mama yao kuliko mimi

    Habari zenu wakuu? Mimi ninampenda mno mama yangu sijakataa, ila nikiwa Kama baba inaniuma mno kuona mtoto wangu anampenda mama yao kuliko Mimi. Na wakati wote nawapenda. Mwanaume nateseka na makodi, kulea familia. Wanaume hivi tuna thamani gani! Vile tu hatuzai na kupanua miguu ndio tuwe...
  11. machiaveli

    Sitosahau nilivyoharibikiwa na pikipiki karibu na Hifadhi ya Tarangire

    Siku moja nimetoka zangu Langai maeneo ya Simanjiro huko kuchukua vinywaji na chakula kwa ajili ya kuhudumia camp. Niko na pikipiki namaliza Lion's Cave tu pikipiki likazingua alafu ni jioni mida ya saa moja! Sijui hii akili nilipata wapi manake camp nzima walinionaga mi ndio mzembe Tena coward...
  12. machiaveli

    Hii dharau ama ubabe?

    Juzi kati nimetulia bar moja kwa Morombo, sasa kuna jomba mmoja alikua anakunywa K-Vant kumbe jamaa kichwa panzi! Akaanza kumzingua bar maid Mara, arushe matusi. Sasa kuna majomba yalikua yamekaa pale kaunta yametulia tu yanashusha mtungi mdogo mdogo kimya kimya Yakamuita yule bar maid...
  13. machiaveli

    Nachukia kabichi!

    Wakuu! Yaani tangu nikiwa mtoto nimekuwa nikichukia mboga kabichi au sijui tunda,mzizi anyway Nyumbani walikua wakipika iyo mboga lazima waniandalie mboga mbadala labda maziwa mgando au parachichi nk.. Mpaka nimekua 30+ siwezi kula kabichi nikila nahisi Kama vile nimekuwa ng'ombe aliyekatiwa...
  14. machiaveli

    Maneno yanayotamkwa sana 2020

    Mwaka huu huwezipitisha siku bila kusikia haya: Corona, covid 19,barakoa,sanit sanitizer,sabuni,maji tiririka, epidemic, pandemic,lockdown...ongezea na mengine
  15. machiaveli

    Naombeni msaada simu yangu inaonesha hivi

    Nimewasha hii HTC inaonekana hivi nisaidie jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  16. machiaveli

    Game gani kali za magari za offline?

    Ni games gani kali za offline za magari unazozikubali ambazo ziko na addition sana?
  17. machiaveli

    Ushauri baada ya kumaliza dozi ya TB

    Nilikuaga nasumbuliwa na kifua nikapiga X-ray wakaniambia nina TB, so wakanianzishia dozi since June mwaka jana tarehe 14. Nikawa nahudhuria kliniki kila baada ya wiki mbili kuchukua dozi na kila siku nilikuwa nameza vidonge vinne bila kukosa! Baada ya miezi miwili hivi mwezi wa 8 mwaka jana...
  18. machiaveli

    Wadudu wa kwenye taa

    Habari zenu wakuu? Mimi ni mkazi wa Arusha ila tokea mwisho wa mwaka jana mpaka sasa hivi kumekuwa na wadudu wadogo wadogo wanaotusumbua usiku. Yaani Giza likiingia ukiwasha taa wanazingua wengi, unaweza ukawameza Kama umeacha mdomo wazi au wakaingia puani au masikioni. Sijajua maeneo mengine...
  19. machiaveli

    Ni lini hangover ilikutesa na ilikuaje mpaka ukaapa hunywi tena kilauri?

    Binafsi Mimi ni mwaka Jana krismasi nilipiga tungi nikasahau kunywa maji, boxing day nilitamani ardhi ipasuke au nipelekwe hospital nikatundikiwe maji na glucose. Nakuja kukaa sawa tarehe 27 mpaka leo nikiona bia nasikia kutapika
  20. machiaveli

    Uzi wa wachaga wote tunaokwenda Kilimanjaro msimu huu!!

    Wale wa Machame, Kibosho, Marangu, Rombo, Uru na vijiji vyote tukutane hapa! Na kama kuna mwenzetu kaishiwa nauli tupange jinsi ya kumchangia sababu lazima wote tuende kule tukapongezwe tupewe mabaraka! Ili tukirudi mwakani tulipe kodi vizuri Ekaaa wooose😀
Back
Top Bottom