Search results

  1. hbi

    Natafuta Mwanamama wa kushirikiana nae kwenye biashara ya Chakula (Mama Ntilie)

    Asanteni wote mnaoendelea kutuma meseji kama mlivyoelekezwa.
  2. hbi

    Natafuta Mwanamama wa kushirikiana nae kwenye biashara ya Chakula (Mama Ntilie)

    Mtu unaamua kuwapuuza tu ili maisha yaendelee.
  3. hbi

    Natafuta Mwanamama wa kushirikiana nae kwenye biashara ya Chakula (Mama Ntilie)

    Maelezo yamejitosheleza, kama unaona hakuna ushirikiano wa namna hiyo Sawa.
  4. hbi

    Natafuta Mwanamama wa kushirikiana nae kwenye biashara ya Chakula (Mama Ntilie)

    Habari wanajamvi, ninatafuta mtu wa kushirikiana nae kwenye biashara ya kuuza chakula maarufu kama Mama Lishe. Ninapendelea huyo mtu awe na uzoefu wa biashara hiyo kwani atakuwa mpishi mkuu.Pia awe anaishi Dar es salaam, Tutazungumza makubaliano yatakvyokuwa ila kwa ufupi mimi nitatoa gharama...
  5. hbi

    Nimeitwa kwenye interview vodacom

    Kikubwa unatakiwa ujiamini na uweze kujibu maswali utakayoulizwa kwa ufasaha kwa yale utayokuwa unayafahamu. Kama utakuwa na vigezo wanavyovihitaji utafanikiwa tu kuipata hiyo kazi. All the best.....
  6. hbi

    Nafasi ya Kazi: Mhuduma wa Ofisi na Wateja

    Hapana sio mshahara ni posho.
  7. hbi

    Nafasi ya Kazi: Mhuduma wa Ofisi na Wateja

    Ubungo Dar es salaam. Muda ni saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni.
  8. hbi

    Nafasi ya Kazi: Mhuduma wa Ofisi na Wateja

    Habari wanajukwaa, tunahitaji kijana kwa ajili ya kuhudumu kwenye ofisi yetu. Kazi utakazokua unafanya ni kama ifuatavyo:- Kupokea simu za wateja na kuwahudumia. Kutafuta wateja kwa njia ya mitandao ya kijamii na kuwatembelea sehem zao. Kutuza kumbukumbu za ofisi . Vigezo Awe na elimu ya...
  9. hbi

    Natafuta ajira Jamani nisaidieni

    Ungekuwa unaishi Dar ingekuwa rahisi. Ningekupa maelezo ya namna ya kufanya.
  10. hbi

    Natafuta kazi

    Jibu maswali yafuatayo: 1. Unaishi wapi? (Namaanisha Dar es salaam maeneo gani?) 2. Sales na Customer care ushawahi kufanya au unaweza tu kufanya? 3. Kama ukipata kazi tofaut na ya Nurse Assistant upo tayari kufanya kwa muda gani kabla ya kuacha? Asante.
  11. hbi

    Intern: Website & Graphics Design

    Je wewe ni muhitimu ambaye unatafuta sehemu ili uweze kufanya majaribio ya ulichosoma kwa lengo la kupata uzoefu? Je unaweza kutengeneza website pamoja na kudesign "grpahics" za aina mbalimbali? Kama baada ya kusoma aya hiyo ya kwanza na jibu lako ni ndiyo, tunayo nafasi kwa ajili yako ili...
  12. hbi

    Anahitajika Mpiga picha. (Freelancer)

    Asanteni wote mliojitokeza, tumeshapata mtu ambaye tumekubaliana nae kwa ajili ya kazi hii. Shukrani sana.
  13. hbi

    Anahitajika Mpiga picha. (Freelancer)

    Saa 8 mchana mpaka Saa 12 jioni.
  14. hbi

    Anahitajika Mpiga picha. (Freelancer)

    Na yeye ni mpiga picha?
  15. hbi

    Anahitajika Mpiga picha. (Freelancer)

    Tayari nimeshamjibu. Itafanyikia Sinza Africa sana Dar Es Salaam .
Back
Top Bottom