Search results

  1. Kanye2016

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Scholarships Open Opportunities Pitieni Hiyo link hapo juu kwa scholarships na Internship.
  2. Kanye2016

    Ajira za PBZ Bank kwa Watanganyika

    Yani ajira za bara wana apply, viwanja huku wananunua. Sisi tupo tupo tu.
  3. Kanye2016

    Ajira za PBZ Bank kwa Watanganyika

    Shida kwenye PBZ wamesema wanataka Watanzania wenye vigezo watume maombi then chini wanakwambia utume maombi kwenye website ya serikali ya zanzibar ambayo wao wanajua kabisa watanganyika hawatoweza kutuma maombi kwa sababu watatakiwa waweke kitambulisho cha mzanzibari.
  4. Kanye2016

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Ndugu zangu jaribuni watu wanaenda sana huko Uarabuni. Maisha yakikushinda bongo tafuta kwengine. Wenzetu wanaigeria na wakenya wametupiga hatua sana. Nchi zao zinafaidika sana na vijana wao wanaofanya kazi nje ya nchi. Kipindi cha nyuma kuna mdau humu alikuwa anataka mawasiliano na agents wa...
  5. Kanye2016

    Utaratibu wa kuwaunganisha Watanzania na ajira nje ya nchi warejeshwa

    Ndugu zangu jaribuni watu wanaenda sana huko Uarabuni. Maisha yakikushinda bongo tafuta kwengine. Wenzetu wanaigeria na wakenya wametupiga hatua sana. Nchi zao zinafaidika sana na vijana wao wanaofanya kazi nje ya nchi. Kipindi cha nyuma kuna mdau humu alikuwa anataka mawasiliano na agents wa...
  6. Kanye2016

    Ramadhan Special Thread

    Allah s.w atujaalie tumalize mfungo salama.
  7. Kanye2016

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Redmi Note 13 ishatoka wakuu? Bei zake zikoje?
  8. Kanye2016

    Ajira za PBZ Bank kwa Watanganyika

    Habari, Majuzi kulitangazwa nafasi za ajira katika Bank ya PBZ Kupitia mitandao mbalimbali na pia kwenye website ya PBZ Bank. (Tangazo nime ambatanisha hapo chini). Kwenye tangazo wamesema wanataka wa Tanzania wenye sifa watume maombi ya kazi kujazia nafasi zilizoachwa wazi. Changamoto...
  9. Kanye2016

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    :D:D:D We jamaa ndo kilaza mkuu. Jamaa kakuelekeza umekosea lakini wewe unasisitiza upo sahihi. Hebu kajifunze kiswahili huko kijijini kwenu.
  10. Kanye2016

    Jini/shetani wa pesa na utajiri mwenye asili ya nyoka: Almliyah Alnafedha

    Hapana Mkuu, nataka nione tu jinsi anavyoitwa.
  11. Kanye2016

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Tunaosubiri Namba F tunakomenti wapi?
  12. Kanye2016

    Utaratibu wa kuwaunganisha Watanzania na ajira nje ya nchi warejeshwa

    Twendeni Qatar tukafanye kazi, baada ya World Cup nchi itakuwa sana ile.
  13. Kanye2016

    Mawakala wa kutafutia kazi watu nje ya nchi wa serikali na binafsi, fikirieni pia kutafutia watu kazi za msimu vijijini Ulaya, Marekani na Canada

    Kuna Bravo Recruitment Agency Kuna Competitive Manpower International Ltd wapo Magomeni pale. Kuna Sasy Recruitment Agency pia wapo Magomeni. Jaribuni Hao. Kuna kampuni kule Saudi Arabia inaitwa Almarai naona wanachukua sana waTanzania kupitia hao agency. Jaribuni bahati.
  14. Kanye2016

    Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

    Naona mitandao yote kesho wanafanya maboresho Ila nadhani wanashusha bando sio kupandisha
  15. Kanye2016

    Wanajamvi naacha wosia na nyinyi ni mashaidi

    Mirembe inakuhusu mkuu
  16. Kanye2016

    Account za Benki za Mange Kimambi zazuiliwa

    Naskia wamemfungia na account yake
Back
Top Bottom