Search results

  1. U

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serikali Moja tu
  2. U

    Kuacha alama kwa mpenzi wako uliyemsaidia katika maisha ni muhimu

    Utakuwa na uhakika gani kuwa huyo mtoto anayezaliwa ni wako?
  3. U

    Wanawake ambao hawajaolewa: Kukaa bila mume kuna madhara yoyote?

    SOMETIMES YES SOMETIMES NO. TRUE. KILA KITU KILIUMBWA KWA MAKUSUDI YAKE. KUNA FEW ABNOMALITIES. TOFAUTI NA HAPO KUNA SIKU UNAWEZA KUJUTIA MAAMUZI YAKO.
  4. U

    Wife kanifuma nimo kwenye group za Malaya wanaojiuza Telegram. Wenye uzoefu jinsi ya kumaliza hii issue

    Kila kitu kina gharama. Gahrama ya ndoa ni KUACHA wengine na mengine.
  5. U

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Ndio maana akina mama wengi mnashindwa kukaa na wadada wa kazi kwa sababu ya unoko wa kijinga.
  6. U

    Msaada: Mtoto kujisikia kichefuchefu mara kwa mara

    Muda mwingi ni pale anapokuwa shule. Awapo nyumbani inatokea lakini mara chache chache sana. Kingine kinachoonekana ni maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
  7. U

    Msaada: Mtoto kujisikia kichefuchefu mara kwa mara

    Habari za wakati huu wadau? Kuna kijana wa 10 yrs. Mara nyingi sana anajisikia Kichefuchefu na kutapika hasa anapokuwa shuleni. Hospitali zote za maeneo ya jirani amepelekwa lakini, wanasema hana tatizo lolote. Akiwa shule mara nyingi kila akila chakula anatapika. Kama kuna mtu anauzoefu...
  8. U

    Vidonda vya mdomo mara kwa mara husababishwa na nini?

    Vidonda hivi husababishwa na upungufu wa vitamin C. Fanya jitihada za kuongeza vitamin C mwilini.
  9. U

    Kama uliolewa ukiwa "single mother" na ndoa ikadumu njoo uwape moyo wenzio!

    Wapo wengi sana walioolewa na ndoa zao zikasimama. Narudia ni wengi mno. Kikubwa muoaji na muolewaji wajiamini na wajue wanachofanya.
  10. U

    Kitanda cha kudumu

    SITAKI KABISA. KAMA KABURI?
  11. U

    Wanaume wengi hawataki kuoa tena

    Isaya 4 ni ya kiroho zaidi. Haizungumzii ndoa zetu hizi zinazojadiliwa katika ukurasa huu.
  12. U

    Natafuta mume

    Maisha ni mapana sana.
  13. U

    Natafuta mume

    Kila la heri.
  14. U

    Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise

    Andika barua ya kuomba KUACHA uzee wa kanisa.
  15. U

    Kama unataka kufurahia mapenzi, oa mwanamke asiye na kazi

    Aya ya tatu kutoka mwisho inatakiwa kuboldiwa.
  16. U

    EX anataka kuwa mchepuko wangu

    Nimeamua. .... Nimeamua . . Sitarudi .... Sitarudi.........
  17. U

    Ushauri: Mke wangu kaondoka usiku huu

    Tafuta namna ya kuwa salama usiku huu. Kukipambazuka fanya tathmini ya kina juu ya historia na ukubwa wa tatizo Kisha tafuta Tina ya kudumu. Angalizo: Kila wakati Usiishi maisha ya ndoa kwa kanuni ya "ukimwga mboga, Mimi namwaga ugali". Kuhusu mawasiliano yako na huyo mdada, angalia...
Back
Top Bottom