Search results

  1. Davooo

    Chato: Mlinzi wa Rais Magufuli asinzia akiwa kwenye majukumu yake

    Anaeangalia TBC mubashara Muda huu amuangalie mlinzi wa Mh Rais anasinzia
  2. Davooo

    Msaada:Traffic case

    Wakuu Naomba Msaada Na Maelezo Yatakayonisaidia Katika Tatizo Nililonalo Ni Hivi,Siku Ya Jumatano Nilipata Ajali(Niligongwa Na Pikipiki(Mimi nilikuwa na Gari) Pikipiki Ile Ilikuwa Site Yangu Na Ni Kwenye Kona)Kwa Bahat Nzuri Hakukuwa Na Kifo Ila Jamaa Aliumia Kidogo Na Traffic wakaja Kupima Na...
  3. Davooo

    Kuna vitu vinakera: Viatu vina matope

  4. Davooo

    Mawasiliano ya Afsa Elimu -Ilala

    Wakuu Amani Iwe Kwenu Naomba mwenye Mawasiliano na Afsa Elimu -Msingi -Ilala Anisaidie Nina Shida Nae Muhimu Nafahamu Kuweka Mawasiliano Binafsi Hapa Sio Vizuri Lakini Waweza Ni pm au Ukaweka Ya Ofisi yake Sio Mbaya Kwa Kuwa Ni Mambo Ya Kiofisi Ni Muhimu Sana Msaada tafadhali
  5. Davooo

    Honda Acb,cb-125d inahitajika

    Wakuu nahitaji pkpk na kujua yafuatayo 1:Bei 2:ubora wake 3:upatikanaji wake
  6. Davooo

    Ukaguzi wa vyeti: Watumishi wa umma waliokusanya vyeti vyao walirudishiwa?

    Wakuu heri ya mwaka mpya, Nimeshiba pilau la mama Mwajuma binti Said lakini kuna kitu kinagonga kwenye kichwa changu; Ni hivi, kwa watumishi wa umma tulikaguliwa vyeti original na baada ya hapo kuna baadhi ya watumishi wakaambiwa tena wasubmit vyeti vyao tena original na hadi leo nadhani...
  7. Davooo

    Viongozi wanaowekwa mahabusu maisha yao yakoje?

    Habari za jioni wakuu, Poleni na shughuli za kutwa nzima,.kama kichwa cha habari kinavyojieleza , naomba kujua viongozi hasa wa kisiasa wanaishije kule mahabusu?mfano malazi,chakula,n.k Mantiki yangu ni kuwa kwa mfano Lema anapelekwa mpera mpera kama wengine au yeye anaishi as if ni celebrity...
  8. Davooo

    Naomba kujua nchi ina watumishi wa uma wangapi

    Kama topic inavojieleza ,idadi ya watumishi wote wa uma nchini ni wangapi?
  9. Davooo

    Msaada

    Habari wanajf, Mimi ni kijana Wa kiume 26 aged,issue ni kwamba Nina viuvimbe vidogo kwenye maziwa yangu(vile vya balehe)so tangu kubalehe kwangu havijaondoka Kipindi nipo o level nilijishughulisha sana na punyeto(nikiwa kwenye balehe stege)sasa hadi Leo havijaondoka na kuna wakati nikiviminya...
  10. Davooo

    Msaada: Viuvimbe kwenye chuchu kwa mwanaume

    Goodmorning wanaJF, I have a serious problem.Mimi ni kijana wa jinsia ya kiume. Nina viuvimbe katika chuchu zangu since nimebalehe hadi sasa nina umri miaka 26 lakini havijatoka kama wengine. Nikiviminya viuvimbe hivi vinasinyaa. Wakati ninasoma form 3 nilijihusisha sana na...
Back
Top Bottom