Search results

  1. tembophd

    NAOMBA USHAURI WAKO KWA HILI

    Habari gani wakuu...... Kwanza poleni kwa majukumu...Mimi ni mwanachuo Dodoma lakini nina wazo la kilimo pia.. Ninawazo la kukodi shamba mpanda kwa ajili ya kilimo cha Mpunga. Naomba ushauli wenu wa aina yeyote unao usu Hichi.. Natanguliza shukrani....... Nawasilisha
  2. tembophd

    Jinsi ya kuudhulia kikao cha Bunge (Jamhuri ya muungano wa tanzania)

    Wana JF naomba kufaham njia au jinsi ya kuudhuria bunge la Tanzania. Hatua gani nifuate niweze kuudhuria bunge?
  3. tembophd

    Jinsi naweza kuhudhuria Bunge la Tanzania?

    Wana JF naomba kufaham njia au jinsi ya kuudhuria bunge la Tanzania. Hatua gani nifuate niweze kuudhuria bunge?
  4. tembophd

    Watch "Official video Hao hao Goodluck gozbert" on YouTube

    ... Nimebarikiwa san na uwo wimbo embu na ww ucheki ss
  5. tembophd

    Naomba kufaham kuusu chuo cha College of busimess education(CBE)

    Wana JF, Mm nimechaguliwa chuo cha biashara na elimu (CBE) campus ya dodoma. Mwenye kulifaham naomba anijuze tafadhali[emoji122]
  6. tembophd

    Naombeni ushauri wenu sanaa

    habari za majukumu wana JF Nimesom certificate ya ualim wa shule ya msingi lakini kwenye upande wa shule za kiingereza,lakini nina wazo la kubadili kozi kati ya -banking and finance -accountant and sales -Bussiness administration kati ya hz tatu yepi ipo vizuri na pia kwenye upande wa soko...
  7. tembophd

    Msaada kuhusu kusoma chuo cha CBE

    Kuna mdogo wangu anataka kwenda kusoma Chuo cha CBE. Matokeo yake ni Civics D Hist. D Geog. D Kiswahili C E.Language D Literature. E Chemistry E Biology D Math E Kwahiyo kwa chuo cha CBE anaweza kusoma course gani? Tafadhali naomba msaada wenu
  8. tembophd

    Hellow Jf

    Im new here........
  9. tembophd

    Mwenye kukijua chuo cha Bukoba Lutheran Teachers College

    mwenye kujua chuo cha Bukoba Lutheran Teachers College – Bukoba anijuze kipo vipi Wakuu
  10. tembophd

    Msaada wenu wakuu

    Nimesoma certificate of computer application,kwahy natak kuendelea kusoma computer so naweza soma facult gan kat ya hz chini... Ordinary Diploma in Electrical and Electronic Engineering Ordinary Diploma in Electronics and Telecommunication Engineering Ordinary Diploma in Mechanical Engineering...
  11. tembophd

    Msaada: Chuo kizuri kusomea kompyuta

    Wana JF naomba kujua kwa mtu ambaye kasoma computer application in certificate anaweza kusomea nn na chuo gani kipo vizuri.... Msaada tafadhar
  12. tembophd

    Chuo bora

    Wana JF naomba kujua kwa mtu ambaye kasoma computer application in certificate anaweza kusomea nn na chuo gani kipo vizuri.... Msaada tafadhar
Back
Top Bottom