Search results

  1. 26 number

    Nawezaje kubadili combination ya HGL kwenda CBG huku nikiwa na F ya hesabu?

    Hahaha wana haki ya kujifunza hawa coz huku sio kama fb na insta
  2. 26 number

    I lose hope and sometimes I give up. I need your advice here

    Tumia kiswahili ili kuwapa nafasi ealuo wengi kukuelewa na kuwezq kukushauri,apa ume limit watu wa aina flani pengine wapo wenye mawazo mapana wangeweza kukusaidi sema ume kuwa bias kidogo ushauri tuu kijana.
  3. 26 number

    Nimechaguliw multiple selection

    Nenda sua ndugu,ni kozi nzur sana na utajifunza vitu vingi sana ambavyo vitakufanya uweze kujiajiri hata kama ukikosa ajira. Kila la kheri kwenye uchaguzi wako.
  4. 26 number

    Baada ya kusalitiwa na mke wangu nimeamua yafuatayo

    Daaah naliona lile lilomtokea muuza vipodozi mmoja mitaa ya home,baada ya kutembea na mke wa mtu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. 26 number

    Mjadala: Kipi bora kati ya kwenda Chuo au Advance Level (Kidato cha Tano na cha sita) kwa mwanafuzi aliyemaliza Kidato cha Nne?

    Uyo wa A hatojutia uamuzi wake kamwe,natamani ningekua namjua nimepe big yes,coz atajiunga na chuo akimaliza diploma yake na pia atapata mkopo ikiwa amefaulu vizur na atajivunia kuwa na professional huku akiwa asoma bachelor yaani atakua anasoma huku hana pressure kabisa coz atakua na uelewa...
  6. 26 number

    Confirmed: Ni Simba SC vs Nkana Red devils

    Kwaiyo kocha wao wa ZAMBIA hana akirii ee ndio mana akampa vice captain yeye nakuwaacha hao akina mijichama kibao?
  7. 26 number

    HESLB yatoa mkopo awamu ya pili kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza 2018/19

    Usikate tamaa kikubwa nikuomba MUNGU nakama upo DAR watimbie ofisini kwao kuwasumbua kwa kuwaeleza uwezi jisomesha na ipi sababu ya wewe kukosa mkopo?pia ulisoma course gani DIPLOMA na chuo uechaguliwa course ipi ivyo pia vinaweza vikakusaidia kupata.
  8. 26 number

    Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    Ipo ivi chuo huwezi pata,mana tcu wameelekeza wanafunzi wanaotokea DIPLOMA wawe na GPA ya 3.0 na kuendelea ivyo chini ya hapo no chuo.and asije akakushauri mtu kwenda nje pia utapoteza muda mana ili iyo degree yako itambulike itakupasa kwenda tcu na wakikuta ukisoma kinyume na muongozo wao...
  9. 26 number

    HESLB yatoa mkopo awamu ya pili kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza 2018/19

    Wapo mkuu mi ninaowafahamu wapo kama watatu ivi.
  10. 26 number

    Haya fursa iyo kwa wanaotaka kusoma medicine UDSM wameruhusiwa kudahili mwaka huu

    Taarifa fupi kuhusu wanaotaka kuomba MEDICINE UDSM
  11. 26 number

    Kuna madogo wawili wamepata A,A,A,B, B. Mmoja kaandikiwa wastani wa "A" mwingine "B"

    Ufafanuzi mzuri sana,Ila kwa wabongo tulivyo bado mtu ataendelea kubisha tuu hapo ,
  12. 26 number

    selection udsm

    Taarifa iyo
  13. 26 number

    Naomba kuuliza jinsi ya upatikanaji wa admission letter kwa wanafunzi waliochaguliwa UDSM

    Wahi mapema chuo huwa wana bandika nafasi zilizopo kila course,then kuna utaratibu wanatoaga wa jinsi gani waweza hama.lakini kikubwa ni kuwahi chuo ili uwahi izo nafasi mana huwa zinakua chache sana.
  14. 26 number

    Naomba kuuliza jinsi ya upatikanaji wa admission letter kwa wanafunzi waliochaguliwa UDSM

    Bachelor of science in agriculture and natural resource economics and business.
  15. 26 number

    Naomba kuuliza jinsi ya upatikanaji wa admission letter kwa wanafunzi waliochaguliwa UDSM

    Pamoja mkuu kila la kheri karibu sana UDSM,uje upige shule na inshaallah ufikie malengo yako.
  16. 26 number

    Naomba kuuliza jinsi ya upatikanaji wa admission letter kwa wanafunzi waliochaguliwa UDSM

    Hazitumwi online admission letter kwa udsm,kwa walio dar zimeanza kutolewa leo,unaenda chuo unachukua tuu.kwa wamikoani chuo kikifunguliwa tu unachukua admission letter yako.
  17. 26 number

    Kuhusu kubadili course

    Ndio inawezekana,kikubwa iyo course iwe na na nafasi yakuchukua watu wapya kwa maana ya wanaotaka kuhamia,pia unatakiwa uwahi mapema chuo ili kufanya maombi ya uhmisho,
Back
Top Bottom