Search results

  1. Mr Dumila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO na Leo nako asubuhi tu mshakata umeme Dumila yote haina umeme Hivi mna shida gani na nimatengenezo gani hayo Toka mwezi wa 11 yasiyoisha? TANESCO rudisheni umeme Dumila
  2. Mr Dumila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni saa Saba kasoro mchana Bado umeme Dumila haujarudi Toka ulipokatika saa 2 asubuhi TANESCO
  3. Mr Dumila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Pamoja na maelezo yote hayo yaliyojitosheleza Bado unacopy na kupest Hilo jarida lako Hivi nyie ni maroboti au TANESCO rudisheni umeme Dumila mgao gani huu wa Kila siku Toka mwezi wa 11
  4. Mr Dumila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuanzia Dar Hadi Mwanza au tusema Dar Hadi Kigoma Hakuna sehemu kwenye parking ndefu ambako Ni tegemeo la malori kama Dumila. Na ndio sababu hapo nyuma kukaa Giza hili Eneo ilikuwa Ni mwiko Ila chini ya Awamu ya Makamba imeonekana Ni Jambo la Kawaida labda siku muanze kusikia milipuko ya...
  5. Mr Dumila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Toka asubuhi mmekata umeme hapa Dumila Hadi Sasa hivi umeme Hakuna hivi Huu mgao mkali unaoendelea hapa Dumila utaisha lini?
  6. Mr Dumila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Huenda hilo nalo linachangia sababu baishara ya solar Na majenereta imepamba Moto saana Mfano Hapa Dumila ukiingia kule ndani ndani Kidogo Pande Za bwawani unakuta umeme haujafika yaani watu wanasubiria nguzo Ila haziji Na maeneo hayo ndio kampuni ya Solar King inafanya biashara kama haina...
  7. Mr Dumila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Na kama kila wakikata tungekuwa tunalalamika ingekuwa Ni kila dk tunaandika Ila wanakata Na tunasema tusubiri labda watarejesha Ila unaona Muda unaenda Tu hvyo Kwa kuwa tunayoyasema hawayatendei Kazi Ila tunawapa Taarifa kama update Tu
  8. Mr Dumila

    Sasa ni rasmi January Makamba Waziri wa ovyo kuwahi kutokea kwenye sekta ya Nishati

    Kwamba alipoingia alikuta umeme upo wa uhakika hata kama unakatika Ila Ni Kawaida Tu. Na Dumila ameikuta hata itokee nini Ila Ni ngumu kulala Giza yaani Ni suala lisilowezekana kutokana Na usalama wa Eneo husika Halafu kuingia yeye Tu Mwanzoni Hali ilikuwa vizur Sana Ila baada ya Muda mchache...
  9. Mr Dumila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Toka Muda nishatoa Taarifa Ila Utekelezaji Hakuna Hivi si mumfukuze Meneja wenu Kanda ya Mvomero maana Hakuna akifanyacho zaidi ya Kula mshahara wa bure tu UMEONA HIYO PICHA NI JANUARY 23 NALALAMIKAGA TU HADI LEO NA KAZI YENU NI KUSEMA MNAFANYIA KAZI
  10. Mr Dumila

    Sasa ni rasmi January Makamba Waziri wa ovyo kuwahi kutokea kwenye sekta ya Nishati

    Habari wanabodi naandika hapa nikiwa Na masikitiko makubwa Na huyu Waziri aliyepewa wizara nyeti kabisa Kwanza niweke wazi sijawahi mchukia Ila niliamini ni Waziri mzuri kutokana alivyofanya mambo mazuri akiwa Waziri wa Mazingira . Ila toka amepewa wizara ya Nishati madudu yamekuwa makubwa...
  11. Mr Dumila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Eneo ni kata ya Dumila ipo wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro Tatizo ni kukosekana kwa umeme na tatizo hili limeanza toka mwezi wa 11 mwaka jana yaani umeme umekuwa unarudi kwa bahati sana na hata ukirudi unakatika katika Mfano toka majuzi juzi jana umeme umezid spid ya kukatika yaani tunalala...
  12. Mr Dumila

    Umeme Dumila umekuwa kero iliyopitiliza toka Novemba 2021

    Hakuna mbunge kuna mpokeaji mshahara tu Maana toka apitishwe tumemuona mara moja tu kipindi cha ziara ya Samia Dumila toka hapo tunamuonea kwenye luninga
  13. Mr Dumila

    Umeme Dumila umekuwa kero iliyopitiliza toka Novemba 2021

    Zipo Noah na Hiace za Dumila Hata ukipanda gari za Dodoma nazo zitakushusha Dumila
  14. Mr Dumila

    Umeme Dumila umekuwa kero iliyopitiliza toka Novemba 2021

    Dumila ipo Mkoani Morogoro kiukweli hali ya upatikanaji wa umeme ni mbayaa kupitiliza. Sio kwamba ulikuwa haukatiki kipindi cha mwendazake la hasha ulikuwa unakatika sana tu ila awamu hii imepitiliza Alipoingia January Makamba hali ndio imezid kubadilika yaani umeme unaweza katika siku 5...
  15. Mr Dumila

    Hivi tatizo hili la umeme kukatika litakwisha lini?

    Litakwisha CCM wakitoka madarakani
  16. Mr Dumila

    Naona ACT Wazalendo kuiondoa CCM Madarakani 2025

    Nikiwatoa Zitto Nondo Shaibu Haya nitajie viongozi wengine 10 tu wa ACT unaowajua hapa Tanganyika Alliance of Traitors (ACT)
  17. Mr Dumila

    Chagua wachezaji bora watatu kutoka katika list hii

    Messi Messi Messi Messi Messi
  18. Mr Dumila

    Je, mgao wa maji ni wilaya ya Kinondoni na Ubungo?

    Dar mbona mnalalamika sana? Huku mikoani mgao wa maji ni toka nchi ipate uhuru hadi leo mgao Nyie umeanza juzi tu mnalalama Endeleeni kutengeneza memes Instagram mkifikiri ndio njia sahihi ya kusikika FISIEM NI TAKATAKA KABISA
  19. Mr Dumila

    Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

    kunywa kwanza maji mkuu utatapika nyongo
Back
Top Bottom