Search results

  1. E

    Ili upate pesa kirahisi fanya yafuatayo

    Haya bana, tumekuelewa! Ila kwa namba 3 wakikukariri sura kuna siku utapigwa kama kibaka!
  2. E

    Hawa wadada wanaouza bisi, karanga, Miwa, samaki n.k wanauza hizi bidhaa au kuna vingine wanauza?

    Hapana mkuu usije tafadhali! Room nzima hii itakuwa inanuka pombe naamini pia utaongea mambo hovyo sana! Ukinywa hiyo kitu kapumzike nyumbani mkuu!
  3. E

    Sema ukweli wako....

    Ni wewe bana! Hiyo haina tofauti na wakinga na utajiri wa kafara!
  4. E

    Sema ukweli wako....

    Acha tamaa mkuu! Futa kati ya 1, 2 au 3
  5. E

    Sema ukweli wako....

    Duuuuuuu.....!
  6. E

    Usiku huu warusi wakusanyika kupinga Victory say kuhusishwa na uvamizi wa Putin Ukraine, wasema amepotosha historia yao

    Hivi kumbe ni kazee? Nilijuaga ni kabinti fulani karembo sana kwa kuangalia jina lake!! Kumbe huwa nakosea Sana🤣🤣🤣
  7. E

    Samia kama Rais wa Tanzania, je, ameweza kuwawakilisha wanawake vizuri?

    Na hicho ndicho ninachouliza!! Je, kuna mwanamke mwenye uwezo wa kuiingiza nchi yetu kufikia mafanikio tunayoyataka? Hao wenzetu uliowataja walipata elimu mapema wakati sisi tupo busy kuzuia watoto wa kike kusoma na kuwaozesha wenzetu walisomesha wa kwao kwa bidii! Sisi tumechelewa mno!
  8. E

    Samia kama Rais wa Tanzania, je, ameweza kuwawakilisha wanawake vizuri?

    Hoja zao hasa ni zipi? Yaani wanampinga kwa lipi?
  9. E

    Samia kama Rais wa Tanzania, je, ameweza kuwawakilisha wanawake vizuri?

    Nimekuelewa vizuri sana! Ahsante sana kwa ushauri, ahsante sana kwa kutambua uwepo wa Mungu!
  10. E

    Samia kama Rais wa Tanzania, je, ameweza kuwawakilisha wanawake vizuri?

    Nawasilimu kwa jina la Jamhuri! Kwa mara ya kwanza toka nchi yetu ipate Uhuru, tulipata Rais mwanamke kwa njia isiyo rasmi sana baada ya kumpoteza Rais, Mh hayati John Pombe Magufuli. Mh Samia Suluhu amekuwa madarakani kwa muda mrefu sasa. Amefanya mambo mengi kama rais wa nchi, amepongezwa na...
  11. E

    Panya road warudi Tena mchana huu

    Nashukuru sana kwa mchango wako wa mawazo! Kuna jambo moja natamani ujue, majukumu yote ya hao wateule wa rais uliowataja ni ya mh. Rais!!!!! Ni vile tu kwamba majukumu ni mengi na kwamba hawezi kuyatimiza peke yake ndiyo maana anachagua watu wa kumsaidia majukumu hayo! Kama utendaji wao...
  12. E

    Panya road warudi Tena mchana huu

    🤣🤣🤣🤣 Unadhani wangewauwa hawana kosa lolote mkuu? Yaani sijakukosea lolote unaniua kweli? Sina madhara yoyote kwa usalama wa taifa unaloliongoza uniue? Maadui wa taifa siku zote huwa wanapotezwa kwa style hizi! Tembelea popote duniani! Marais karibu wote hufanya hayo kupitia usalama wa taifa...
  13. E

    Panya road warudi Tena mchana huu

    Mahali nchi ilipofikia tulihitaji uongozi wa aina ile! Siyo kuchekeanachekeana! Mataifa yote yaliyoendelea yameendelea kihivyo! Li China lile limefika hapo lilipofika kwa mkono wa damu! Watu walinyimwa Uhuru kila kona! Sisi Uhuru ulipitiliza! Watu wanakula mishahara saba pasipokufanya kazi...
  14. E

    Panya road warudi Tena mchana huu

    Kuna mauaji ya muhimu na mauaji yasiyomuhimu! Yaani kama waliuwawa kwa manufaa ya umma naomba usilalamike! Hata Yesu aliuwawa kwa manufaa ya wengi! Kuna majambazi wanakamatwa wakipelekwa kunakohusika wanaachiwa! Tuwafanyaje? Maana mtaani wanasumbua wanyonge!! Ni bora tuwapoteze!! Kuna watu...
  15. E

    Panya road warudi Tena mchana huu

    Wewe kweli nduza! Kuanzia sasa hivi mtu akishindwa kujibu swali au akinijibu maswali yangu kijinga nitamwita nduza!🤣🤣🤣🤣
  16. E

    Panya road warudi Tena mchana huu

    Okay! Nashukuru kwa jibu!
  17. E

    Panya road warudi Tena mchana huu

    Iwe wameua au hawajaua ni wahalifu!!! Awamu ya Magufuli uhalifu ulipungua kwa kiwango kikubwa sana! Sasa hivi umerudi kwa kasi kubwa! Kuanzia matapeli kwenye simu mpaka majambazi!
  18. E

    Panya road warudi Tena mchana huu

    We siyo great thinker bana tusidanganyane🤣! Kama hata kujibu maswali uliyoulizwa hujui unaropoka mambo usiyoulizwa unawezaje kujiita great thinker? Swali langu lilikuwa dogo sana lakini maelezo rundo unayotoa wala hayajibu swali hata kidogo! Mimi nimeuliza, haya yalikuwepo wakati wa awamu...
  19. E

    Haya Ndio Matokeo Ya Waziri Aliefanya Operation ya Anuani ya Makazi Kwa Erokopita

    Nahisi kicheko nilichowekewa nicheke hakitoshi naomba nicheke vizuri hapa! Hahahahahahahahahahahaahaahahahaha....! Nacheka utafikiri ni mazuri! Wabongo hatufai! Lakini nadhani wenye dhambi ni hao mabosi waliowapa tenda waandishi wa hayo mabango! Kwa kupenda cheap labour ili wapige hela kumewaponza!
  20. E

    Panya road warudi Tena mchana huu

    Hii equation haijabalance, umeilazimisha tu! Wala hakuna mlingano hata kidogo! Yote ni maovu lakini hayafanani hata kidogo!
Back
Top Bottom