Search results

  1. R

    Kwanini viongozi pamoja na mishahara mizuri bado wanapewa nyumba na magari?

    Kwanini mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi ma-RPC nk., nk... Pamoja na mishahara yao minono bado wanapewa nyumba, magari, walinzi, wanalipiwa umeme, maji, matumizi ya simu nk ili hali watu wengine wafanyakazi wengine wa serikali na taasisi zake wanabeba misalaba yao wenyewe? Why...
  2. R

    Jana nimelazimika kuchanga maabara Tshs. 60,000

    KWA KIFUPI: Jana nimelazimika kuchanga maabara Tshs. 60,000/- kwa wanangu wawili wanaosoma shule ya sekondari Mnarani (Mwanza). Hela hiyo nilikopa kwani kadi yangu ya benki ilikuwa imefungwa tena bila taarifa na kwa ubabe kutoka kwa benki ya NBC Nilipoenda kwa mtendaji wa kata, kata ya...
  3. R

    O'level and A'Level Tuition Phys.& Maths - Mwanza

    Starting date: 14.07.14 Time: 1530hrs - 1800hrs. Place: Kwa Komba (Bwiru- near Hotpot) Contact: 0755 42 88 33
  4. R

    Mhe. Lembeli - Mtanganyika!

    Jana usiku Mhe. Lembeli akiwa katika Klabu ya Villa Park - Mwanza ambapo alishirikiana na Bendi ya Super Kamanyola katika nyimbo za Marehemu Marijan Rajabu (Jojina na Mzee Said) pamoja na Rangi ya Chungwa (Tabora Jazz?). Lembeli aliuambia umati wa watu katika maneno yake ya utangulizi kuwa '...
  5. R

    Tuition Phys.& Maths - Mwanza

    Mimi ni graduate Bsc. Education nafanya kazi part-time katika shule moja hapa Mwanza. Natafuta vijana wa O'Level na A'level wanaotaka tuition. Wahi nafasi ni chache. Nitafute: 0755 42 88 33
  6. R

    Physics and Maths teacher available

    I am a graduate BSc. Education (2012) -Physics and Maths looking for a teaching job in Mwanza City. Contact: 0783 42 88 33
  7. R

    German Proverb

    "When wealth is lost, nothing is lost, when health is lost, something is lost; when character is lost, all is lost."
  8. R

    Majina ya watoto wa kike wa kikurya

    Napenda kupata majina ya watoto wa kike tukiachana na yale ya kawaida: Bhoke Rhobi Ghati
  9. R

    Masikini Chuo Kikuu Huria (TZ) - Open University of Tanzania (OUT)

    1. Kwa miezi minane sasa CKHT hakijapewa fungu lake la OC kutoka serikalini (HATA SENTI TANO!) Hali hii imesababisha shughuli za kawaida za chuo kukwama. (Makamu Mkuu wa Chuo akiongea na wanachuo - Dar) 2. Teaching Practice ambayo ilikuwa ianze sasa imeahirishwa hadi hapo itakapotangazwa -...
  10. R

    Ukatili kwa wanyama- Mwanza

    Nimetenmbelea Soko Kuu la jiji la Mwanza leo. Nimeshuhudia ukatili mkubwa sana dhidi ya kuku wanaochinjwa kwa ajili ya nyama: 1. Wapo waliokatwa vichwa na bado hawajafa- wanaendelea kuteseka 2. Kuna wanao chemshwa ili kutoa manyoya 3. Kuna wanao katwa katwavipande baada ya kuchunwa manyoya kwa...
Back
Top Bottom