Search results

  1. M

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    The most powerful? Here’s their reality - National - thecitizen.co.tz
  2. M

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    Thats how cia work to achive their goals,,nyie shabikieni tuu muje muone vumbi ]
  3. M

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    some big DUDES in wallstreet wanajaribu kumtengeneza jamaa huyu kuwa Rais wa Tanzania kwa manufaa yao..hajafanya jambo lolote la maana kustahili sifa anazopewa na watu wa nangharibi...kuna kipindi aliwahi kupata sijui award gani huko USA , later on nikasikia forbes wanamtangaza kuwa he is among...
  4. M

    Biashara ya matunda nje ya nchi

    Naomba namba ya hao wadini wa njombw
  5. M

    Tanzania's Mining Industry to Hit U.S. $1.3 Billion By 2015...

    hahahaha, ama kweli around 40tonnes a year????wtf Resolute peke yake ilikuwa inazalisha si chini ya tani 1 kwa mwezi AMA KWELI WAJINGA NDIOWALIWAO
  6. M

    Mambo ya gesi huko Mtwara: Wazungu wakipiga ndumba ili wasafirishe gesi

    Hii ilikuwa miaka ya 2005 si sasa mzizi mkavu ..i was there
  7. M

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    NDOCHO NILIKISEMA JUZI LAKINI Let us think inside the box, outside the box and trash the box and think without a box as well. Inside the box CCM wamepanga njama ya kulipua bomu kwenye mkutano wa CHADEMA ili wananchi waogope kuhudhulia mikutano ya chadema. Tuhuma hizi zinakuzwa na maneno ya...
  8. M

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    we mtoto mpuuzi kweli, kwani hujui asilimia kubwa ya wapiga kura hawana vyama? kuto kuwa na kadi ya uanachama wa chama chochote inatosha kudhihirisha sina chama
  9. M

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    nimeongea kama mpenda mabadiliko na kwa sasa chama chenye mashiko kufikia azma ya mabadiliko kinani let down..na sioni mbadala kwa siku za karibuni.
  10. M

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    mbona mimi sijasema polisi wapelekewe ushahidi? nilichosema jamii hasa hasa wanaarusha waonyeshwe ukweli, maswali yako mengine ya kitoto
  11. M

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    hapo kwenye red, utafiti wako umefanwa lini? ama unadhani hizi namba huwa zinawekwa tuu
  12. M

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    nakubbaliana na wewe tarehe 28 ama tarehe 29 hata kama tume ya kimahakama haijaundwa itasaidia kuondoa hii nsotofahamu iliyozagaa hapa arachuga
  13. M

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    tatizo watoto hata hawaoni mantiki ya post yangu kazi kuleta mipsho ya kwenye kanga katika issues muhimu kwa ustawi wa chama
  14. M

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    kwenye post ya trh 19/6 nilikuwa najaribu ku exhaust all possible culprit wa ulipuaji....na ndivyo watu makini hufanya na si kung`ang`ania posibility moja ama mbili
  15. M

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    Zamani jamii forum ilikuwa kweli na great thinkers, sasa wamejaa watoto badala ya kujadili issues wanajadili vitu na watu kinachosikitisha hamna hata mmoja anayepiga kura tarehe 30/6/2013. Ninayezungumza nipo arusha na ni mpiga kura. Moderator unatakiwa ufanye screening upunguze watoto
  16. M

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    Tatizo la wachangiaji hapa ni ushabiki bila kuelewa mantiki ya hoja iliyo tolewa..hapa kinachotakiwa ni kwa chadema ku prove ubaya wa ccm kwa wapiga kura kwanza na baadae kwa tume huru na mahakama...in politics its not doing the right thing , its rather doing the right thing at the right time...
  17. M

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    Kwani copy moja akiiweka kwenye mtandao , nyingine akaihifadhi na ya tatu akiipelekea tume kuna shida gani? Ama hana??
  18. M

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    Naomba ku declare interest kwamba mimi ni mmoja wapenda mabadiliko Tanzania wasiopenda CCM iendelee kushika dola kutokana na udhaidu mkubwa wanaoonyesha katika uongozi wa nchi, utofauti wangu na wengine ni kwamba sina chama ila sijawahi kukosa kupiga kura toka nimetimiza miaka ya kupiga kura...
Back
Top Bottom