Search results

  1. F

    Naombeni Ushauri: Niliachana Nae Miaka 4 Iliyopita na Sijawahi Kuwa na Furaha Tena (inanisumbua Sana

    HeavenSent na Kaboom asanteni na naheshimu maoni na ushauri wenu. Mada ya madhehebu ijulikane tu kuwa mimi ni Protestant and the girl was Catholic. However, the fact remains, kuna mtu amelazimishwa kuwa parent although the question of how it happened remains to be the most important factor in...
  2. F

    Naombeni Ushauri: Niliachana Nae Miaka 4 Iliyopita na Sijawahi Kuwa na Furaha Tena (inanisumbua Sana

    Habari za hapa Jamvini wadau. Kifupi niliwahi kuwa na uhusiano na mrembo mmoja kwa takribani miaka mitano (5) tangu mwaka 2007, naamini tulipendana sana. Kwa sababu nyingi zikiwepo ya tofauti ya madhehebu ya dini, tulitengana mwana Feb 2012 baada ya kutaka tufunge ndoa August 2012. Sio siri...
  3. F

    Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    Wakuu kuna tetesi (hazijawa confirmed) that Fabinyo amejitoa uhai. Kwenye kinoti alichokutwa nacho anawalaumu wana JF kwa kumchachafya hadi kufikia Maamuzi hayo Magumu. Tujipongeze tafadhali.
  4. F

    Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    Chief umechemka. Yote yamesemwa lakini tukizungumzia majukumu ya kazi katika nyumba hukutakiwa hata kuongea na huyo housegirl. Maswali yote yalitaliwa yajibiwe na Mkeo mpenda miteremko. Si ajabu hata mboga unayokula kuna kidingi kimehonga mkeo maana anapenda sana kislope. Kazi zake amsogezee...
  5. F

    Mbeya Mpo wapi?

    company company ya wale ndugu zetu ipo wapi....mbona mbeya hamjui kuwakarimu wageni????? Mr Able...hebu mwambie atugonile aje kunipokea...
  6. F

    Mbeya Mpo wapi?

    Mbeya Mpo wapi?
  7. F

    Ushamba: Simu za Gharama

    Mi nafikiri DASA kama ilivyo avatar yako, u are really HIGH right now. Unachanganya mambo mawili kwa wakati mmoja. Ishu kama ni ushamba, basi u need to argue in favour of ushamba, lkn kama nimekuelewa vizuri, huoni haja ya mtu kuwa na simu ya milioni if simu ya laki or 50K can do the same. Where...
  8. F

    where to buy painting equipments

    My fellow artists, am looking for shops where they sell painting stuffs like brushes, boards, oil paints and so forth here in DSM. If anyone knows, pls PM me.
  9. F

    Natafuta laptop used but in gud condition

    Nina dell D630. Nipe offa yako.
  10. F

    Nahitaji betri ya laptop Compaq

    Unash ngapi. Yako inakaa na battery for how long. I have one. Give me the offer n lets busiess. PM me.
  11. F

    Brand new nokia n9 zinauzwa.

    Nitumie namba mkuuuuu.
  12. F

    Sunzua / Warts

    Kuna dawa inaitwa either Zinc Pensil or Sulfur Pensil, samahani ckumbuki vizuri. Ila nilishawahi kuitunia binafsi. Unaichovya kwenye maji then unapaka sehemu yenye kisunzua, utahisi kama unaungua and after that unapata kama doa jeusi. Baada ya masaa kadhaaa au suku, inabanduka na hapo inakuwa...
  13. F

    Nimemwaga mboga...lakini nafsi inanisuta.

    Nduka nikisema una hormones za kike ntakuwa nimewakosea heshima wadada zetu. Vitu hivi ni uhakike; a) huna sifa ya uanamume, na huyo mtoto wako sidhani, most likely umesaidiwa..go for DNA b) unahormones za sokwe c) ubongo wako una evolve kuwa wa panya buku. SHAME ON YOU
  14. F

    Bint Makamba

    Hah, eti kama Kim, Kim ana meno kama ya Sungura?
  15. F

    Watangazi wa TV na redio kuna tofauti kati ya BAE na B.A.E

    Na wewe ujue kuna tofayuti kati ya "taaruma" na "taaluma" sawa sawa?
  16. F

    MSAADA: Fumanizi la Mkeo/Mmeo

    Wana JF, leo nimeenda kanisani na nimemsikia mchungaji anahubiri eti hata ukimkuta mke wako au mmeo anazini inabidi umsamehe.. Jamani hili linawezekana au ni hadithi za abunuwasi? MSAADA.
  17. F

    Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi!

    Pasco akamatwe anyongwe. Msaliti.
  18. F

    Waandishi wa habari wa Luninga wasiojua kuvaa

    Jamani ni mtazamo tu, ila waamdishi wa luninga ya ITV wamepitiliza, suti mbaya zimepitwa na wakati kwa watangazaji wa kiume na tai za kigoloko.
  19. F

    What was my mistake?

    Alikua analia baada ya kumwonesha kimbilimbi chako..
  20. F

    Wakunitengeneza wikend kwa malipo

    Huyu lazima atakuwa ndo yule anayetoka mapumba, anaomba msaada kwa kujitangaza tangaza.
Back
Top Bottom