Search results

  1. Joseph Cliff

    Msaada wa Bie ya kufanya vitu hivi vyote

    Habari zenu wana JF mimi nina mpango wa kutoa huduma za M-pesa Tigo pesa Airtel money Maxmalipo je ni shiling ngapi inahitajika kupata uwakala wa M-pesa,Tigo pesa,Airtel money na Maxmalipo. pia ningependa kujua gharama za kupata leseni ya biashara
  2. Joseph Cliff

    Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    Mwenye matokeo haya physics S, Math D, Technical drawing C, anaweza pata course ya Computer Engineering DIT au chuo kingine naomba ushauri hata wa course nyingine TD ni Technical Drawing huyu mtu hajasomea tz
  3. Joseph Cliff

    Msaada kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Noamba unitext whatsapp namba +256750190818. Whsapp yangu amekataa kusoma namba ulionipa
  4. Joseph Cliff

    TCU yafungua mfumo wa udahili wa pamoja(CAS) kwa mwaka wa masomo 2016/2017

    Nimefanya Phy, Math may TD. Sina principal pass kwenye phy ninaweza kupata computer engineering?
  5. Joseph Cliff

    Msaada kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    +256750190818 namba yangu ya. Whatsapp
  6. Joseph Cliff

    Msaada kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Poa ngoja nikucheck whatsapp
  7. Joseph Cliff

    Msaada kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Nipatie ushauri basi
  8. Joseph Cliff

    Msaada kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Nina mpango wa kuanza kufuga kuku wa mayai. Na mipango yangu ni kuanza na vifaranga 250.. kwa ambao tayari wana mradi kama huu naomba kujua maelezo zaidi hasa kwenye 1) Bei ya hawa vifaranga 250 2) Bei na kiasi cha chakula kwa mwezi,wiki. 3) Ukubwa wa Banda na jinsi linavyotakiwa kujwengwa 4)...
  9. Joseph Cliff

    Nafasi za kazi/uwakala kote Tanzania

    Mim nipo Dar-es-salaam. Email josephthomas.tz@gmail.com namba ya simu +255766009086
  10. Joseph Cliff

    Napangisha nyumba na eneo la ufugaji

    +256750190818 nitumie picha na bei kupitia whatsapp
  11. Joseph Cliff

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Kama mtu hana cheti cha kuzaliwa afanyaje ili apate mkopo
  12. Joseph Cliff

    Msaada kwa wale waliosoma sekondari nje ya nchi

    Je wakati wa kulipa bodi ya mikopo Kupitia M-pesa unajaza index namba ile uliyo tumia nje ya nchi kwenye sehemu ya account namba au kuna manna nyingine... Kama kuna amesomea Uganda na amefanikiwa kujaza naomba msaada hasa hasa sehemu ya kulipia
  13. Joseph Cliff

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Naomba. Msaada wakati wa kulipia form wataka ajaze namba ya account hiyo namba ni ippi
  14. Joseph Cliff

    Msaada jinsi ya kulipia loan forms (HESLB)

    Nimejaribu kulipia kwa njia ya M-pesa lakini kuna sehemu nafika nakwama wanasema niweke namba ya akauti noamba msaada. nifanyaje? au kama njia ninayo tumia sio sahihi ningependa kujua njia sahihi..
  15. Joseph Cliff

    Jinsi ya kuapply mkopo

    Naomba msaada wa jinsi ya kuapply naona kila ni kiclick sehemu iliyo andikwa click here to apply haifunguki.. nifanyeje?
  16. Joseph Cliff

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Kwa aliesoma science na akapata Div3 mkopo atapata kweli?
  17. Joseph Cliff

    Msaada wa kubadilisha matokeo haya kwenda kwenye division

    Mbona B+ kwenye matokeo ipo hiyo nayo ni point ngapi?
Back
Top Bottom