Search results

  1. mtalae72

    Mbunge wa Kahama kupitia CCM, James Lembeli ajiunga na CHADEMA rasmi

    Huyo ni striker # 9. sasa anahitajika mchezaji wa wa pembeni--winger wa kutoa support kwa strikers.. Bibie Esther Bulaya naye atakaribishwa vizuri tu ndani ya chadema kama akichagua kujiunga huko.
  2. mtalae72

    Mbunge wa Kahama kupitia CCM, James Lembeli ajiunga na CHADEMA rasmi

    Huyu jamaa ni Jembe kweli amejitahidi kufanya kazi lakini ccm wagumu... naamini ataleta changamoto nzuri ndani ya upinzani na chadema kwa jumla..
  3. mtalae72

    James Rugemalila afungua kesi Mahakama Kuu

    At least from Zitto Kabwe, this is what we know! To: Wanazuoni Subject: [Wanazuoni] VIP v Serikali VIP v Serikali Mmiliki wa VIP Enginering, aliyekuwa anamiliki hisa IPTL Ndugu Rugemalira amefungua kesi mahakama kuu akiidai serikali jumla ya Sh. 398 bilion zilizokuwemo/zinazotakiwa kuwemo...
  4. mtalae72

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    regardless of whether or not Mnyika has a degree, is completely irrelevant. He has proven to be a very effective leader without the baloney degree you give so much weight. Kwani prof Anna Tubaijuka si anazo degree nyingi tu za uchumi? JK naye ana degree yake na nyingine za kupewa Za heshima. Are...
  5. mtalae72

    Another black teen killed by white police officer in St. Louis

    Yes, I have always felt safer with whites than black community as well. It is sad but that is the reality. It is even harder to understand their spoken english. Fair to say also that slavery ruined their lives but they cannot continue carrying that anger and sense of brokenness for so many...
  6. mtalae72

    Another black teen killed by white police officer in St. Louis

    The biggest problem with African American is the fact that they've been betrayed by the people and institutions they most trust. The Democrats party continue to use race smear campaigs to get black votes and the so called civil rights activists like Al Shapton and Jesse Jackson use racial...
  7. mtalae72

    Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

    Prof. Muhongo at a kuwa na GPA nzuri tu kwa degree yake ya kwanza lakini kuwa kupanga siyo kigezo cha kuwa Kiongozi bora...
  8. mtalae72

    Maandamano yanayoendelea Kigoma ni salam tosha kwa madikteta CHADEMA

    Chama hakifuati dira ya wanachama wa msimu! Chama ni pamoja na kufanya maamuzi magumu na ya gharama ya juu. Kama wanachama walijiunga kwa sababu ya Zitto Kabwe basi wanaruhusiwa kuondoka. Hata NCCR walipata wanachama wengi sana kwa sababu ya Mrema.. leo wako wapi? TLP nao wako wapi? Chama siyo...
  9. mtalae72

    Uchambuzi wa dr. Lwaitama kuhusu sakata la Zitto na maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA

    Atakuwa aliandika kwa jazba kidogo.. ila amejitahidi kunyambulisha mambo. The content is good!
  10. mtalae72

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    It is good that these two guys(politicians) are trying to come clean in this issue. There are a lot of hearsay and I think CHADEMA should go through these petty politics (siasa za maji taka) and rise above these, to be able to offer a true alternative to CCM. My immediate concerns are that this...
  11. mtalae72

    Dr. Slaa Afuatiliwa na watu wasiojulikana kutoka Iringa hadi Dar Es Salaam

    Salome Mbatia alikufa barabarani kwenye ajali ya gari, alikuwa kwenye harakati za kutetea nafasi yake ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya chama pamoja na uweka hazina wa chama. MheshimiwaMwakyembe alipata ajali na pia aliugua ugonjwa usiojulikana siku siyo nyingi. Mheshimiwa Dr. Slaa tunaomba uwe...
  12. mtalae72

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Unapokuwa na wabunge wengi wenye akili ndogo matokeo yake ni siasa za maji taka ambazo tunaziona huko Bungeni. Ukweli ni kwamba Spika wa sasa pamoja na msaidizi wake hawayamudu hayo madaraka ya kuongoza Bunge. Tatizo walipewa siyo kwa kuwa na uwezo wa kuchapa kazi bali kumbania mzee wa 'Standard...
  13. mtalae72

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Je elimu ya JK na jinsi nchi inavyoendeshwa sasa inadhihirisha upeo wake wa kufikiria? Nafikiri tusiangalie haya mambo kwa macho yaliyovaa miavuli ya vyama vya siasa bali tujaribu kuwa objective kidogo!!
  14. mtalae72

    INFLATION: Hutaki KUSOMA hata PICHA...?!

    Ndiyo matunda ya wachumi uchwara kama yule aliyejigamba bungeni kwamba alipata A ya public finance hivyo wapinzani hawajui uchumi!!!
  15. mtalae72

    Zitto na Nchemba now on tbc

    public finance was one of the easiest courses i studied at udsm whoever failed to get an a in that course then he would almost certainly fail in all other economics courses taught at the department of economics. After all the public finance cause at udsm used the oldest book by joseph stigliz...
  16. mtalae72

    Zitto na Nchemba now on tbc

    NILISOMA KOZI YA UCHUMI PALE UDSM MIAKA MITATU MBELE YA MWINGILU NA HIZO A NILIZIPATA NYINGI TU KUTOKA KWA HAO WACHUMI WA DoE AKINA MZEE OSORO, MTATIFIKOLO, MWINYIMVUA, RUTASITARA, AVY MBELE ETC. THE TRUTH OF THE MATTER IS THAT, THE ECONOMICS COURSE AT UDSM IS OUTDATED AND USELESS IN ALMOST...
  17. mtalae72

    Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

    Anayekataa upebari aende URUSI na CHINA ambako hakuna hata uhuru wa mawazo. Anayekataa upebari maana yake anakumbatia umaskini. Kama ubepari ni mbaya kiasi hicho ni kwanini raisi wenu anatembea na bakuli kwenye nchi za kibepari kuomba msaada? Ubepari ndiyo nguzo pekee na chimbuko muhimu la...
  18. mtalae72

    CCM nao kufanya Mkutano Jangwani jijini Dar Jumamosi hii 09-June-2012.....

    asije akaanguka tena jukwaani maana huwa anakawaida ya kupata kizunguzungu akiwa jangwani. Mzee makamba hayuko tena kumpeleka kwa wataalam na shehe wa magomeni alishafariki!!
  19. mtalae72

    Uchumi wa Tanzania kuporomoka ni nani alaumiwe?

    Mara baada ya mtikisiko mkubwa wa uchumi wa dunia mwaka 2008, tulisikia wataalamu wetu wa uchumi akiwepo Gavana wa Benki kuu Tanzania Prof. Ndulu akisema kwamba uchumi wa Tanzania hautaathirika kwa mabadiliko na mporomoko wa uchumi wa dunia. Kwa mtu anayeelewa kwamba tumejenga uchumi tegemezi...
  20. mtalae72

    Mabadiliko ya kweli Tanzania yataletwa na Watanzania wenyewe siyo vyama vya siasa!!

    Nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania kwa muda mrefu na watanzania wengi wamekuwa na matumaini ya kupata chama mbadala yaani CHADEMA lakini nina mashaka makubwa kama CHADEMA kama chama wataweza kuleta mabadilikko ya kweli ndani ya Tanzania hasa kama watanzania wenyewe hawatabadilika na...
Back
Top Bottom