Search results

  1. A

    Uchaguzi 2020 Hivi inakuwaje kuanza kwa kampeni kwa CCM kuwa ruksa na kwa wapinzani kuwe haramu?

    Kipi ni cha dhamani Maslahi au Kiapo? Ukinijibu utakuwa umeshapata jibu kuwa kanini wanafanya hivyo.
  2. A

    Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

    It Just a matter of time we can see naamini kama hussein akienda kukosa hii nafasi aliyotarajia na anayoitaka basi huu italeta mzozo ila siamini.
  3. A

    Uchaguzi 2020 Ubunge jimbo la Mpwapwa 2020-25 twende na JUNE FUSSI tu

    Kaa kimya kwa muda maana kampeni bado labda kama unataka kumharibia
  4. A

    Wanawake/Mabinti tuliowahi kutoka kimapenzi na wanaume wa kimasai tukutana hapa

    For sure naona umeleta uzi wa kejeli nadhani mood anatakiwa afanye kazi yake ipasavyo.
  5. A

    Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

    Nadhani kuna haja ya watu kutambua kuwa asilimia kubwa ya watanzania wanampenda rais wetu na hawana nia mbaya dhidi yake.
  6. A

    Nimekufa nimeoza kwa kijana humu JF

    Feel free to express you're feelings.
  7. A

    Maafa ya mafuriko Tanga yaliyoacha maumivu yenye makovu ya milele

    Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
  8. A

    Vashko sande amuoa mama mkwe wake

    Dunia imebadilika for sure.
  9. A

    Naomba ID yangu iheshimiwe tafadhali

    sawa wa baharia wa 7800/=
  10. A

    TAFADHALI NAOMBA USHAURI WAKO NAUMIA

    Wewe kweli ni mwanaume? Yaani unataka ulazimishe mapenzi kwa mtu ambaye hakutaki au hakupendi!
  11. A

    Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

    Ngoja tuanze kufikiria kuoa wanawake wawili wawili for sure maana kwa hali hii wanaume wanazidi kuisha.
  12. A

    Uzoefu wangu juu ya wanawake wenye miguu miembamba

    Whatever she is, the behavior matter a lot.
  13. A

    Aibu naona mimi

    Hivi shule za sekondari zimeshakaribia kufungwa eeee.
  14. A

    Nimeshindwa kutoa bikra kwa mpenzi wangu, naomba msaada tafadhali

    Yaani mwanaume halisi bado unahitaji kuuliza au kupata ushauri kuhusu hili for sure naweza kukuita wewe ni kijana sio mwanaume.
  15. A

    BIKRA YANGU

    it's a Good narration.
  16. A

    Kwanini wanaume ni wagumu kusamehe?

    Yaani ule vya kwangu halafu unikimbie siku ya siku urudi na utake nikusamehe kiurahisi sio rahisi kama unavyodhani.
  17. A

    Wanaume na kushikwa Makalio

    Yaani mimi ningekuwa huyo boy friend wako ungekuja kuleta stori tofauti hapa maana ungepokea kipigo cha mbwa mwizi.
  18. A

    Msaada wa ushauri kwa ndugu yangu huyu

    Hivi wanaume nani katuloga kuhusu mabinti. Hivi kwa hali hii bado unahitaji ushauri zaidi ya kuchukua action.
Back
Top Bottom