Search results

  1. nkanga chief

    Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    Serikali imekuwa ikilipa mishahara tarehe 22 kila mwezi Leo hii tarehe 23 mishahara ya watumishi wa serikali bado hii wazi kuwa Hali ya uchumi nchini ni mbaya sana wananchi tuichangie serikali ili iweze kujikwamua .
  2. nkanga chief

    Prof. Kabudi huwezi kuzuia rushwa Mahakamani kwasababu mishahara ya watumishi wa mahakama ya hovyo

    Nichukue muda huu kumuomba Waziri wa sheria na katiba Prof. Kabudi aache siasa kwenye idara nyeti kama Mahakama watumishi wa Mahakama wana mishahara ya hovyo kuzidi kiasi haijawahi tokea vifatavyo ni viwango vya mishahara kwa watumishi wa Mahakama. Mahakimu wanalipwa laki tano kwa mwezi hiyo ni...
  3. nkanga chief

    Msaada wadau pls naomba sana mnisaidie waungwana na wasomi kuhusu hili

    Mimi nilifanya mtihani wa form six kwa combination ya HKL nilipata division three but o level Nina c ya physics ,C, chemistry ,D ,ya biology ,civics ,B, English ,C, na mengine D , math ,F , ninataka nifanye mtihani wa form six kwa PCB , nifanye kama private candidate je ? Naruhusiwa ?? Na necta ??
  4. nkanga chief

    Serikali yachelewesha kulipa mshahara watumishi wa umma mwezi huu wa 2

    Hali ya uchumi ni mbaya sana nchi hivyo serikali kuchelewesha kulipa madeni na mishahara ya watumishi wa umma mwezi huu
  5. nkanga chief

    HASHIMU RUNGWE : Mahakama ya mafisadi ni nyeupe haina kesi asema hakuna haja ya kuwa na mahakama hiyo

    Rungwe amesema hayo na waandishi wa habari kuwa mahakama ya mafisaidi ni kiini macho tu haina kesi yeyote ile ipo nyeupe. ====== Tangu mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa mwaka 1992, kumekuwa na maoni tofauti kuhusu utekelezaji wa sheria iliyovianzisha hasa katika awamu ya tano ambapo...
  6. nkanga chief

    Kisutu: Hakimu amesema atakaposhikwa na mashetani ataifuta kesi ya vigogo wa NIDA

    Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Respicious Mwijage ameuambia upande wa mashtaka kuwa siku akipandwa na mashetani ataifuta kesi ya vigogo wa Mamlaka ya Vitambulisho vyaTaifa (NIDA) endapo kama upelelezi hautakamilika. Hakimu Mwijage alitoa angalizo hilo baada ya Wakili wa Serikali...
  7. nkanga chief

    Wizara ya fedha na mipango acheni kuchezea akili za watumishi wa umma

    Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa sana kuwa juzi waziri wa fedha na mipango alitoa tangazo watumishi wa umma kuwa wanahangaika sana kupata salary scale hivyo alijidai kuwa yeye anabana matumizi hivyo wizara yake imetengeneza njia ya kielektroniki kupatikana kwa salary slip hizo na link...
  8. nkanga chief

    Serikali kubana matumizi: Sasa kutoa salary slip kwa njia ya mtandao

    Ili kupunguza gharama za uendeshaji, Serikali imetangaza kuachana na matumizi ya karatasi kutoa nakala za malipo ya mshahara (salary slip) kwa watumishi wa umma. Badala yake, Serikali sasa itaanza kutumia mfumo wa kielektroniki. Taarifa iliyotolewa leo Jumapili na Wizara ya Fedha na Mipango...
  9. nkanga chief

    Waugwana naomba msaada wa notes hizi za kozi ya sheria nisaidieni mdogo wenu

    01: criminal law and procedure 02: constitution and legal systems in east africa 03: legal method 04: law of contract naomba msaada pls wazalendo
  10. nkanga chief

    Katibu mwenezi CCM Wilaya ya Nyasa ahamia CHADEMA, amesema CCM wezi

    Katibu Mwenezi wilaya ya Nyasa ahamia chadema amesema CCM ni chama cha wezi na wala rushwa achukizwa na kitendo cha viongozi wa Serikali kununua madiwani. Adai pesa wanazonunua madiwani wangenunua madawa hospitali yakasaidia wananchi. Pia amesema pesa hizo zingesaidia wanafunzi elimu ya juu...
  11. nkanga chief

    RPC wa Geita (Mponjoli Mwabulambo): Siwezi kuwaomba radhi CCM (Kukamatwa kwa Mbunge Musukuma)

    Nimekuwa nikifuatilia mgogoro wa RPC Mponjoli na ndugu Msukuma nikakumbuka Miaka Miwili iliyopita nliishi Jijini Mbeya na nikafanikiwa kukaa mpaka Tukuyu kikazi kwa Mwaka Mzima. Mponjoli ni kielelezo cha wanyakyusa. Ni watu wanaosimamia wanachoamini, hawajui kubembeleza. Jambo hili lilinifanya...
  12. nkanga chief

    Naacha kazi ya utumishi wa umma kwa sababu serikali haitaki kutupa Salary Slip kwa wakati

    Nimeamua kuacha kazi kwa sababu ya manyanyaso haya . 01 : Serikali ina mda mrefu sana inatuibia mishahara yetu kwa sababu haitaki kutoa salary slip kwa mda imetengeza watumishi portal nayo haifanyi kazi naibiwa mshahara wangu kwa kutoa ninachopokea. Naacha kazi kwa sababu serikali...
  13. nkanga chief

    Serikali inawanyanyasa watumishi kwa kutotoa salary slip kwa wakati

    Naipongeza sana Serikali kutoa mishahara kwa wakati lakini pia nasikitika sana kuona Serikali inashindwa kutoa salary slip za watumishi wa umma kwa wakati husika watumishi wa umma wanashindwa kujua kila mwezi wanakatwa nini badala yake wanabuni tu hii hali ni mbovu sana.
  14. nkanga chief

    Binti yangu amechaguliwa kusoma TIA, diploma in accountancy, je ni nzuri?

    Akimaliza masomo anaweza kuajiriwa kama nani ? na ina manufaa mapana ??
  15. nkanga chief

    NACTE rekebisheni mfumo wenu wanafunzi tuweze kuomba vyuo

    Jana mlisema mmefungua dirisha la wanafunzi waliokosa chuo waombe cha kushangaza mpaka leo wakiingia kwenye profile zao hakuna sehemu za kuedit ili waapply upya kozi zenye nafasi na muda unaenda huu ni wizi. Pili, watu nakuta hali hii wanaamua kulipia upya wanakutana na kikwazo cha kuambia...
  16. nkanga chief

    NACTE wamemwandikia hivi binti yangu, maana yake nini amekoswa selection?

    Kwenye profile yake kozi moja wamemwandikia eligible, wait for next selection maana yake nini? Asubiri uhakika upo wa kuchaguliwa au wakitoa second round aaply tena? Naomba kufahamishwa
  17. nkanga chief

    Wasomi naomba umnisaidie kati ya kozi hizi nisome ipi?

    01: Bachelor of art in mass communication 02: Bachelor of art in public administration 03: bachelor of library and information management 04: bachelor of art in sociology. 05: bachelor of art in natural resources management 06: bachelor of community economic development Je? Nisome kozi...
  18. nkanga chief

    Je? Kampuni hii ni feki popular culture, youth and sports organization?

    Hii kampuni ipo Mwanza nyakato inatangaza kazi sharti la Kwanza utoe elfu thelathini ya kiingilio je? Hawa matapeli??
Back
Top Bottom