Search results

  1. Kajolijo

    Mahakama ya Mafisadi yawahukumu Mafisadi wawili miaka 300 jela

    Ntaamini kua mahakama hiyo inafanyakazi Lowassa akipelekwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kajolijo

    CCM msilete siasa kwenye mioyo na maisha ya watu

    Wewe hujui kazi ya nishati katika kuleta maisha bora na makazi bora Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Kajolijo

    Series (Special thread)

    Vp tayr? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Kajolijo

    Kiwanda gani kidogo naweza Anzisha kwa Mtaji wa Tsh 20M kwa Dar

    Cha chereheni na chenji itabaki hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kajolijo

    CCM msilete siasa kwenye mioyo na maisha ya watu

    Safi sana hii ndo maana ya serikali ya wanyonge sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kajolijo

    Ushauri: Baba anata niondoke kwake kisa kuipenda chama changu cha CCM

    Sitori yako haina uhalisia kabisa hata kidogo.. Kwanza unasafia chama kinafiki eti miradi wakat huohuo unasema huna kaz Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kajolijo

    Simiyu: Ahukumiwa miaka 60 kwa kubaka na kumpa ujauzito Mwanafunzi

    Ndio bodaboda na bajaji wajifunze hapo.. kutembea na mwanafunzi ni sawa na kushika shika sharubu za SIMBA ukidhani kalala
  8. Kajolijo

    Hawa ndugu zatu wa +254 wana matatizo gani au ni umbumbumbu.

    Hawa wanamjua Nyerere na Magufuli tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kajolijo

    Kumetokea Tetemeko la ardhi Kilimanjaro

    Hivi kule mbeya pia inaweza kurudi? Maana naskia jamaa wanafanya kazi/kuishi kwenye majengo yale yaliyopata nyufa juzi kati Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kajolijo

    Uvumilivu umemshinda Lugola

    Waache uoga... Katiba inasemaje? Kama inaruhusu tufanye. Nchi ni yetu wote, maendeleo hayana vyama Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kajolijo

    Mapigano, Police wa Tanzania vs Zambia

    Si rahis Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kajolijo

    Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

    Mkuu utakua mtabiri wewe... Kama siyo mtabiri basi una karama hiyo hata mi nmehisi ni chadema tu hawa wanahusika na simba sport club Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Kajolijo

    Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

    Sasa hizo zitakua zile fujo anazokataa rais... Ww umeona kiongoz wa jimbo lingine akienda mbeya na kupokelewa? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Kajolijo

    Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

    Dogita Silaa alikua mzee wa data ndio maana walikuwa hawamuwezi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Kajolijo

    Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

    Kwan kakatazwa mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Kajolijo

    Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

    Ni wananchi kinda kinda yaani yuvisisiem na wanasisiemu wa kesho Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Kajolijo

    Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

    Kivipi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Kajolijo

    Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

    Wafukuzwe kwann Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Kajolijo

    Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

    Leo wamemsaliti Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Kajolijo

    Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

    Kwani katiba inasemaje na s hakuna mtu alie juu ya katiba? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom