Search results

  1. amadeusity

    Wanaodhani familia ya Dewji ni rafiki wa Watanzania fikirieni tena

    Mo na kampuni zake sio wabaya, ila wale wanaotunga sheria zinazomlinda yeye na kufanya maisha ya wananchi kuwa magumu kama uwepo wako kwenye moja ya kampuni zake unakusababishia athari sidhani kama kwenye hiyo mikataba hakuna kipengele cha kujiondoa na hiyo ajira.! Vile vile kama kiasi cha...
  2. amadeusity

    Mkapa: Kama kila Rais anakuja na mambo yake, hatuwezi yafikia maendeleo

    sidhani kama ana hizo guts.![emoji1] [emoji1]
  3. amadeusity

    Ipo haja ya kuchunguza uraia wa baadhi ya wanasiasa

    sasa hivi wanataka twambia kauli ya bamkubwa ndo utaifa ! tuwaambie watanzania watofautishe kati ya Taifa na aserikali( utaifa na u-serikali)
  4. amadeusity

    Nkurunziza atangazwa kuwa kiongozi wa maisha CNDD/FDD

    Mambo haya yanahitaji msaada wa Mungu kwa kweli.! Maana upeo wetu wa kutatua changamoto tunaujua wenyewe.!
  5. amadeusity

    Nkurunziza atangazwa kuwa kiongozi wa maisha CNDD/FDD

    Eeh Baba wa Mbinguni tuepushie hili janga lisisambae liishie huko huko.!!
  6. amadeusity

    DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

    Huyu sheikh anahitaji maombi kwa kweli.! Badala ya kumuombea adui yako adumu ili aone mafanikio yako apate kumtukuza Mungu wako we ynamuombea kifo? Hopeless kabisa.!!
  7. amadeusity

    Dr. Kigwangalla: Kuhangaika na mtu kama KAKOBE ni kupoteza muda bure.

    Mungu akusaidie uvuke vema 2018 pia ukatubu
  8. amadeusity

    Dr. Kigwangalla: Kuhangaika na mtu kama KAKOBE ni kupoteza muda bure.

    nakupea like ya mwaka 2018 in advance
  9. amadeusity

    Kama huna ngozi nene usigombee urais!

    hamchelewi kusema takwimu za kiserikali hazijaonesha kama mkuu wetu yupo na dhambi .Anaefaa kusemea mkuu wetu kakengeuka ni ile taasis ilopewa mamuraka kutoa taarifa izo
  10. amadeusity

    Rais hajakataa kukosolewa lakini njia zitumikazo kumkosoa ni za hovyo

    kumsifia mnasema hadharani ila kukosolewa mnataka akosolewe gizani nyie watu mnatupa shida sana kuwaelewa
  11. amadeusity

    Tunapotoa misamaha huwa hatutoi kwa fulani na fulani, linaangaliwa kundi!

    hapa watu wamesahau hawawezi kumbuka tena[emoji3][emoji3][emoji3] Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
  12. amadeusity

    Tundu Lissu: Polisi wa Tanzania hawana mamlaka ya kunihoji nikiwa Kenya au kwingineko nje ya mipaka ya Tanzania

    kuna haja ya kupeleka watu shule kwa mara ya pili maana sio kwa umbumbumbu hu
  13. amadeusity

    Majaliwa amekagua matengenezo ya makazi ya muda yanayotarajiwa kutumiwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan

    kwanini wasijenge kaghorofa kamoja tu kama UDSM ili tuweze kuokoa gharama kuliko kufanya yote hayo.? Naamini serikali yangu sikivu itachukua mawazo yetu.
  14. amadeusity

    Albert Msando: Sijazungumza na Zitto toka nimehama ACT wala sikumpa taarifa

    kama wakili anapiga pombe kiasi anashindwa kujitambua isije mkuta mahakamani anabisha yale aliyo sema ikawa pombe ndo zimehusika
  15. amadeusity

    Waziri Mpango: Rais Magufuli amenipigia simu kuhusu michango ya Bashe na Nape Bungeni

    baadaye hutasema walikuwa na maslahi binafsi.?
  16. amadeusity

    Sikubaliani kamwe na hili la "Bado tunakopesheka"

    kwa kauli yako hii nawe unaonekana umepanic
Back
Top Bottom