Search results

  1. farharu

    Short course gani ilibadili maisha yako?

    Short course ya maana kwasasa ni kozi ya vip driving.. Ila unatakiwa uwe na leseni ambayo atleast imetimiza miaka mitatu..
  2. farharu

    Short course gani ilibadili maisha yako?

    Hiyo driving full course ndio ikoje
  3. farharu

    Natafuta Mwalimu wa boxing Dodoma

    Nenda pale mambo poa..
  4. farharu

    Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

    Nenda kalitoe tu.. kuna stage ikifika jino halisikii dawa ya namna yeyote ile.. usidanganyike
  5. farharu

    Tatizo la kununua luku

    Mapema saa ngapi
  6. farharu

    Tatizo la kununua luku

    Dodoma imeanza kukubali nimefanikiwa kununua
  7. farharu

    Tatizo la kununua luku

    Tangazo wametoa saa tatu tatizo limeanza saa saa moja asubuhi
  8. farharu

    Nimepapenda machinga Complex Dodoma

    Sisi wafanyabiashara tunasema biashara ipo
  9. farharu

    Ushauri kwa Dodoma jiji kuhusu mnada wa nyama msalato

    Mkuu dom walikufanyaga kitu gani??
  10. farharu

    Chama ni mchezaji wa kuigwa mpaka na wachezaji wenzake

    We jamaa sio mzima kbs au huwa unaangalia mpira kwa kutumia makalio nn??
  11. farharu

    Endapo Simba ingempata kiongozi kama Eng Hersi, Leo hii ingekuwa ni bingwa wa Africa

    Utopolo bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani mnajiona kama Al ahly.. mnajiona nyie ndio mmefanikiwa balaa kumbe haya ni mambo ya upepo tu..
  12. farharu

    Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

    Kuwa muelewa basi wapi nimetaja STI?? sasa ntakupaje hizo sifa wakati hujui tunazungumzia nini.. Wewe umesema brevis ina mwendo zaidi ya subaru wrx (sijataja neno STI) acha kujichanganya, wewe mwenyewe umesema tulete sifa ya hizo gari ktk performance mimi nimekwambia tuanze na Horse power kama...
  13. farharu

    Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

    Twende taratibu bwa mdogo hapa tunazungumzia brevis pamoja na wrx wala hatujazungumzia habari za Aristo usitake kubadilisha mada..Umetaja mavitu mengi ambayo hayana maana kabisa ktk perfomance ya gari, Ebu niambie hiyo brevis unayosema wewe ina horse power ngapi??
Back
Top Bottom