Search results

  1. alubati

    Hivi marehemu Gadner G Habashi alikua namtoto mmoja tu ambae ni malkia Caren?

    Karen alimkataa ndugu yake huyo, huyo dada anafanana na gadna kuliko hata karen
  2. alubati

    Foleni ya mapenzi haiendi, haisogei, shida iko wapi?

    Dah! Ngoma ngumu sana, mapenzi yanazingua mno
  3. alubati

    Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

    Sasa kuna huyu natembea nae sijui ana shida gani , mali za kutosha, watoto wazuri amezaa wa kutosha, huwa najiulizaga sasa huyu anataka nini sijui.
  4. alubati

    Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

    Matendo ya ndani ya ndoa ndio yanafanya roho ya upendo ipotee. Mwanzoni wanawapenda waume zao ndio maana waliolewa na kuzaa nao. Asilimia 80 ya ndoa na mahusiano ni tia maji tia maji na tunaishi humo.
  5. alubati

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hela hiyo mzee tia laki
  6. alubati

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leverkusen anapoteza kwa mara kwanza leo
  7. alubati

    Clement mzize, sio level ya kucheza yanga.

    Ni kweli dogo hamna kitu
  8. alubati

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Hadi waseme kama lile goli la azizi kule south lilikuwa halali ndio tunawasamehe
  9. alubati

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  10. alubati

    Kwanini mtu anayehitaji attention yako akiona humpi anaumia?

    Kweli kabisa anakatwa kiu ya upwiru na hela anapewa,sisi wanaume ukitoa ngono hakuna chenye tunafaidika labda itokee akupe mtoto
  11. alubati

    Nilipopanga kuna wadada muda wote wanasema tap tap screen, nimakelele tupu

    Mpwayungu chukua mkopo ujenge nyumba
  12. alubati

    Kwanini mtu anayehitaji attention yako akiona humpi anaumia?

    Azingatie hapo " experience ya maisha"
  13. alubati

    Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

    Vertige D'amour- extra musica
  14. alubati

    Kwanini mtu anayehitaji attention yako akiona humpi anaumia?

    UKipenda kwa hisia utateseka sana siku hizi. Mapenzi ya siku hizi ni ya kutumia akili tu na pia usipoteze muda kwa mpenzi mmoja . Kuwa nao wapenzi kuanzia watatu ( hakikisha unawapima afya). Hutojisumbua na kuwaza sijui hajibu sms wala nini.
  15. alubati

    Kwanini CHADEMA huwa inashindwa kusaidia wananchi hata kilo moja tu ya sukari wanapopatwa na matatizo?

    HApo wanateseka kweli kukosa viti vya ubunge,ndio maana wanamchukia mwendazake kwa alichowafanyia kwenye uchaguzi, wanamisi kula bata Dodoma na kuto....ba ma...laya .
  16. alubati

    Huu ugonjwa gani? Nagusa kama kipele kigumu - kinachoteleza na kinachouma ndani ya uke

    Wende tu hospitali ukapime magonjwa yote ya njia ya uzazi mapema
  17. alubati

    MONUSCO yasabye ingabo zayo kuva hafi y'ahari ibirindiro bya m23

    KHa! Mna wanawake wazuri wa kitusti nyie watu
  18. alubati

    Misemo iliyobamba na kuacha gumzo, tupia unaokumbuka

    Unang'ang'ania yako hiyo? We huogopi?
Back
Top Bottom