Search results

  1. G

    Serikali iajiri walimu shule nyingi hazina walimu kabisa

    Sio ishule iyo tu isiyo na walimu wakutosha bali zpo nyng tu nchin kwa sasa. Ni kweli serikali inatakiwa kuajili walimu wengine shule zote za sekondari na msingi pia hasa pale inapowezekana mana kwa pamoja si jambo rahisi
  2. G

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wakuja kigoma jaman , kama yupo chap!naomba kuonana nae .....!.
  3. G

    Kwa wasiojua, Simba bado itapanda ndege: ipo CAF confederation cup kule kina Azam na Biashara wametolewa

    Smba kapotea kwl kwl,maana huko hapakuw sehem yake,usajli wa cmba hauna uhalisia halis wa replacement ya wachezaj waliouzwa. Hapo ndo cmba alipopigwa.
  4. G

    Mahafali UDSM: Hawa ndiyo Wanafunzi wa Kike waliopata ufaulu Mzuri

    Sasa apa tuelewe ipi,au Ni miaka tofautitofaut!??.
  5. G

    Mahafali UDSM: Hawa ndiyo Wanafunzi wa Kike waliopata ufaulu Mzuri

    Ni kwl, l akn pia kumbka kuw ufaulu wa mitihan mara nying haiendi sawasaw na utendaj wa taaluma zao.
  6. G

    Ushauri kwa manufaa ya jamii nzima

    Kwenye filimbi apo, sijaelewa ....
  7. G

    Maalumu kwa tuliosoma chuo cha Vikindu

    Dar hakuna chuo cha ualim cha serikali kinachotoa kozi yoyote ya ualimu Ushaur tu,nenda mtwara,nachingwea na dom kwa awal
  8. G

    Watumishi wa Umma tunaoishi vijijini hasa maeneo yanayoruhusu kulima, tujikite kwenye Kilimo

    Hii n nzr sana na sio tu kwa watumishi waishio vjjin tu,hata kwa wale waishio mijn wanawez kuwekez vijjn pia kwn maeneo yanapatikana.
  9. G

    Msaada wa channel wanapofundisha masomo haya

    Ngoja wajuz waje Sent from my itel it1556 using JamiiForums mobile app
  10. G

    Uchaguzi 2020 NEC yapitia na kuchambua Rufaa 67 za Wagombea Ubunge na Udiwani

    Alifanyiwa unyama gani,kwa sisi tusiofahamu kwanza ili tutambue kwanza!
  11. G

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Karib uvinza-kigoma anaehitaj Mawacliano-0674204657 Idara -msingi
  12. G

    Hivi matokeo ya Form Six 2020 yanatoka lini?

    Wadau, mwenye tetesi yoyote kuhusu hili, maana naona muda unaisha kwa wale wasiopenda kuomba mkopo kabla ya kujua matokeo yao kwa waliofanya mtihani mwaka huu.
  13. G

    Msaada pls juu ya elimu kupitia " FOUNDATION COURSE ".

    Ndugu zangu wapendwa,naomba kujua hii foundation course inahusika na nn,na vigezo vya kujiunga na kozi hii ni vp,pia masomo yanayoambatana na kozi hii ni yap? Kwa anaejua chochote juu ya hili,naomba anisaidie... Natanguliza shukran zangu kwenu.
  14. G

    Watumishi tunaomba muwe wavumilivu, bado tunawahakiki ili tuwapandishe madaraja ndipo tulipe mshahara wa mwezi wa tano

    Ndg zang nimekuwa nikisikia minong'ono juu ya kupandishwa mararaja watumishi wa umma mwaka huu. Je!. …hili linaukwl wowote!? Kwa anaejua lolote juu ya hili,msaada pls.
  15. G

    Ukiacha Messi, Mchezaji gani unamkubali anayetumia Mguu wa Kushoto?

    Hayo ni matatzo!!! We umeambiwa wachezaji wote wazur wamachezea shoto!!!.
Back
Top Bottom