Search results

  1. K

    Waziri Wassira: Sina tuhuma za ufisadi

    Hivi Wanzagi umeiangalia hiyo CV yake huyu mzee ni ya ki magumashi, utakuwaje unafanya Bachelors 1982-1986, alafu hapo hapo unafanya masters 1985-1986 na mind you enzi hizo haya mambo ya kuunganisha degree hayakuwa kwa sana. Huyu mdingi ni standard 4 leaver aliyejiendeleza kiujanja ujana online...
  2. K

    Waziri Wassira: Sina tuhuma za ufisadi

    Standard 4 huyu mzee alafu CV yake amedanganya sasa hii sio kashfa?
  3. K

    Betterment Fees ya kuendeleza Makongo Juu, kuna ufisadi unataka kutendeka hapa au?

    Jana nilikuwa kwenye kikao cha wananchi wa Makongo juu kuhusiana na kuendeleza Makongo juu ili liwe eneo la kisasa zaidi, viwanja kupangwa, barabara nzuri na za kisasa, maji na huduma za jamii. Cost nzima ya Project ni Tshs 24.7 Billion. Hii Project mwanzoni nillisikia kuwa itakuwa funded...
Back
Top Bottom