Search results

  1. Msafirishaji

    Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Hiyo hela yote itaishia TRA na kufuatilia vibali Hujaingia bongo wewe Sijui osha TRA, TBS, NEMC, BRELA, FIRE, INSURANCE na wengine kibao local government kukulukakala kibao mradi watafune huo mtaji
  2. Msafirishaji

    Nimeamini Maisha sio kombolela nimepata akiba 14.7ml Mwaka huu!

    Biashara sio ya kila mtu Mzee Ingawa woga wa mtu ndio umasikini wake
  3. Msafirishaji

    Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu

    Labda tusubiri hawa wateule wapya Ndugu Maharage washamsafisha Muda wa kwenda kuuza line na bando hiyo kazi ataweza
  4. Msafirishaji

    Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani mtu anaona biashara ni ya kila mtu anaweza kufanya tu Yani nikose vyote biashara na makazi bora nibaki na hilo hilo boma Kuliko kuja kuweka million 30 halafu niishie kutajirisha watu tu Ashasema mtu anafanya kazi posta alitaka biashara isimamiweje Kuna muda...
  5. Msafirishaji

    Wazo la biashara la milion moja na laki nane

    Mkuu kwa 1.8 unaweza kuanza na biashara ya spare za pikipiki.
  6. Msafirishaji

    Tetesi: Mizigo ya wafanyabiashara imekwama Swiss port airport JK Dar

    Agent wako anakutia ujinga kila siku mizigo inatoka hapo Airport huo mfumo umezuia mzigo wako pekee yako Mkuu Siku nyingine uwe unatoka hapo ofisini kwako nenda site.
  7. Msafirishaji

    Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Nenda sabasaba banda la wizara ya Fedha utawakuta
  8. Msafirishaji

    Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Yani nili scan kweli kweli kwanza kuona chuo gani anazungumzia maana hata kwa 10M hilo eneo hupati kwa location za hivi vyuo vilipo.
  9. Msafirishaji

    Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ujue hadi nmeogopa nikasema hivi me ndio sioni hizi fursa yani nimeenda kutafuta kiwanja cha million 8 huko pori kumbe karibu na vyuo vikuu kuna maeneo ya million 3 tu kwahiyo ningeongeza million 2 tu ningejenga na hostels niwe navuta mpunga tu saa hizi JF DAH.
  10. Msafirishaji

    Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Eneo lililokaribu na chuo kikuu liuzwe million 3? Lenye uwezo wa kujenga vyumba 15? Self contained bedroom 6? Nyie jamani Nyie mbona mambo ya kufikirika haya.
  11. Msafirishaji

    Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Hajawahi kujenga huyo unadhani nyumba ya vyumba viwili mchezo
  12. Msafirishaji

    House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

    Mkuu naomba mawasiliano yako kama bado ipo.
  13. Msafirishaji

    Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Humu JF kuna watu wanapenda kuwaingilia sana watu mkuu na una moyo sana kuwajibu kila siku Kuna wakati Biashara hazisomi mtu unakaa pembeni wao wanakuja na ushauriiii. Halafu watoa ushauri karibu wooote ushauri unafanana bodaboda, banda la chips, nunua mpunga, forex, weka odd 2. Unajua hawa...
  14. Msafirishaji

    Biashara ya Spea za Pikipiki, Nafunga office nauza mzigo kwa bei nzuri ya jumla

    Mkuu mbona niliandika tokea mwanzo kuwa nategemea kuanzia mwisho wa mwaka au mwakani mwanzoni Nakusanya mtaji na maarifa Kuna shida wapi mkuu.
  15. Msafirishaji

    Biashara ya Spea za Pikipiki, Nafunga office nauza mzigo kwa bei nzuri ya jumla

    Nmekusoma mkuu Hivi bila kupata research mbili tatu tutafanya kitu kweli Sababu ilikuepo ninataka hivyo ila mtu akikupa hata experience ya namna ya kuifanya si unakua umejua hili na lile sio lazima aseme kwanini alishindwa ila hata tu namna ya kuwapata wauzaji wazuri nini na nini kifuatwe kabla...
  16. Msafirishaji

    Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Wenye hela za mawazo tunapenda sana kujifanya washauri kwa wenye hela kweli kweli Yani anaona kila mtu yupo kwa ajili ya kufungua baro za mtumba mabanda ya chips na kununua bodaboda Kitu cha kwanza alitakiwa ajiulize wewe hiyo million 10 umepata wapi na ushauri wake hapo. Mtu anasema uvivu...
Back
Top Bottom