Search results

  1. Kibenje KK

    Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Namjua, aliwahi niomba nauli hivyohivyo akiwa maeneo ya Shekilango mabus yanapopaki. Jamaa anajua kupanga maneno mno. Nilimpa 10,000 hakuridhika nikawasha gari nikaondoka
  2. Kibenje KK

    Naomba kujua ratiba za masoko ya mnada

    Unajiuliza ukauze BIDHAA zako wapi? Sio lazima ukae kwenye frem yako kila siku kusubiri wateja, unaweza kutafuta siku ambazo kuna Gulio maeneo mbalimbali ukaenda kuuza bidhaa zako. . Pia hii ni sehemu nzuri kwa wasio na frem. Fuata wateja walipo. . Uzuri wa siku za gulio kunakua na watu...
  3. Kibenje KK

    Viepuke hivi, visingizio, vimechelewesha wengi kufanikiwa kifedha

    VISINGIZIO HIVI VIMECHELEWESHA WENGI KUFANIKIWA KIFEDHA. Achana navyo mara moja. "visingizio ni kichaka cha watu waliojikatia tamaa ya mafanikio." Ukiona mtu yeyote anajivunia visingizio huyo ujue alishajitoa kwenye safari ya watu wanaopambania ukuu wao. Yaani amechagua kuwa mtu dhaifu asiye...
  4. Kibenje KK

    Haya ndio machimbo ya bidhaa Kariakoo

    Unataka namba za watu ziwekwe mtandaoni bila idhini yao? Number mtandaoni?
  5. Kibenje KK

    Haya ndio machimbo ya bidhaa Kariakoo

    Naona uzi umepoa. Ngoja nishushe vitu. . Unataka Kufanya Biashara ya Vyombo vya plastiki kama viti, meza, vikombe, majagi, mabeseni nk. maduka ya viwanda yapo kariakoo mtaa wa Livingstone na Aggrey mpaka mchikichi na mahiwa close huko utapata kwa bei nzuri na ukiuza utapata faida nzuri. ...
  6. Kibenje KK

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Naona uzi umepoa. Ngoja nishushe vitu. . Unataka Kufanya Biashara ya Vyombo vya plastiki kama viti, meza, vikombe, majagi, mabeseni nk. maduka ya viwanda yapo kariakoo mtaa wa Livingstone na Aggrey mpaka mchikichi na mahiwa close huko utapata kwa bei nzuri na ukiuza utapata faida nzuri. ...
  7. Kibenje KK

    Haya ndio machimbo ya bidhaa Kariakoo

    Asante sana. Nashukuru pia kwa kutambua Mtoa post. Machimbo ni msaada kwa wengi hasa kwa wale ambao wanaanza Biashara na wenye mitaji midogo wasioweza kwenda China. . Unaweza kupata machimbo zaidi na updates za machimbo kwenye page yangu insta ya jina la @kelvinkibenje link...
  8. Kibenje KK

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Hii ni Moja ya biashara nzuri mno . Unaweza Kuanza kwa kutembeza mitaani au Kwenye maofisi, anza na dumu 2 zenye ladha tofauti, kuna mtu atataka umchanganyie, mwengine atapenda moja zaidi. . Pia jitahidi iwe na ubaridi vizuri maana ndio inayopendwa zaidi. . . Pia hakikisha usiuze juice...
  9. Kibenje KK

    Utapeli mtandaoni kutoka Mtanzania anayeishi Dubai

    Mwenye uwezo wa kusaidia nitampa taarifa zake zote, majina, namba na mahali alipo
  10. Kibenje KK

    Utapeli mtandaoni kutoka Mtanzania anayeishi Dubai

    Hakuna kitu kinarudisha Nyuma maendeleo ya wafanyabiashara wengi kama utapeli wa Mtandaoni. Mtu unafanya kazi unajikusanya alafu mtu anakuja kukutapeli. Nimekutana na tapeli ambaye anaishi Dubai na kazi yake ni kutapeli Watanzania kwa kudanganya kuwa anauza magari. Ametutapeli zaidi ya watu...
  11. Kibenje KK

    Je, Nifanye Biashara gani?

    Asante sana. Hope utapata msaada mkubwa pale.
  12. Kibenje KK

    Je, Nifanye Biashara gani?

    Pitia page yangu ya instagram ya @kelvinkibenje kuna mawazo na uchambuzi mbalimbali wa biashara. Pitia ujifunze na kuchagua wazo lako.
  13. Kibenje KK

    Nina tabia ya kumuamini kila mtu

    Nimewahi kupigwa matukio makubwa mawili (Nasisitiza MAKUBWA) ndani ya week na watu wawili tofauti. Hayo matukio yalinipeleka mpaka polisi Nikaharibu uhusiano na watu wengi na kupoteza pesa nyingi mno na kupoteza utulivu wa akili. Aisee mi nimekoma kuamini watu haraka. . Sio kila mtu ana roho...
  14. Kibenje KK

    Kama hujawahi kabisa kuagiza mzigo kutoka China ni bora kuazia Kariakoo au Nairobi Kenya

    Mkuu naomba tuwasiliane tufanye kazi pamoja. Huu uzoefu wako ni pesa. Ninafanya kazi na Wajasiriamali na wafanyabiashara wengi tunaweza kuunganisha nguvu pamoja kuwasaidia na kuoitia kuwasaidia sisi pia tukapata kitu.
Back
Top Bottom