Search results

  1. Bani Israel

    Uzi wa photo lab

    tupia picha yoyote ya photo lab unayokutana nayo mtandaoni hapa..
  2. Bani Israel

    Kero ya daladala Latra Arusha wana kazi ya kufanya.

    hivi kuna Latra arusha humu? mgomo wa daladala umesitishwa jee wameangalia maslahi ya pande zote? bajaji haziwezi kuisha arusha ikiwa hii ishu imechukuliwa kwa upande mmoja. kwanza abiria ndio mlaji wa mwisho na ndio mwenye maamuzi.. je Latra arusha wamechukua maoni?? Sababu kuu iliyopelekea...
  3. Bani Israel

    Ukisikia mtu anaitwa Pro Russia

    Kwenye mada za vita ya ukraine wanajikutaga hivi.
  4. Bani Israel

    Timu ya Taifa ya Canada wachapwe viboko

    Hakuna mechi nimeangalia imeniuma kama hii ya Ubelgiji dhidi ya Canada. Yani vijana wanapiga mpira wa uhakika, mpira mtamu, boli linatembea, yaani Ubelgiji leo ilikuwa kama Ihefu kwa Canada aisee. Dakika 90 Canada hawapoi, hawapoi, yaani moto wameupeleka sana aisee. Shida inakuja pale mbele...
  5. Bani Israel

    TBC kuonesha World Cup, Azam ndio sterling wa hili picha

    Kama kichwa cha habari hapo juu ni siku chache tuu DSTV walitangaza kuwa wao ndio watahusika na kuonyesha mechi hizo na walitoa onyo kwa vyombo vingine kuonyesha bila idhini yao hii tulijua kabisa mkwara anapigwa azam media. Azam sasa amekuja na plan B hii kutumia chanel ya taifa tena ya bure...
  6. Bani Israel

    Bima ya asili kwenye gari ni uhakika

    Ngoja niwape stori, mwaka juzi tulitoka Dar kwenda Tabora kufanya biashara ya kuuziana gari ambayo ilipostiwa humu humu JF. Tukafika Tabora tukaiona gari tukarizika nayo, tukapana, tukailipia, tukaingia sheri, tukajaza mafuta, tukatoka kuianza safari ya kurudi Dar. Mbele kidogo akili ikanija...
  7. Bani Israel

    Kinachomponza 'Producer' Tudd Thomas ni uchawi au kuahau?

    Mashabiki wa mtayarishaji wa muziki (Producer), mwenye uwezo wa kipekee, aliyetayarisha wimbo wa Leka Dutigite wa Kigoma All Stars na zingine nyingi, Tudd Thomas, wamekuwa wakiulizana maswali mengi wao kwa wao pasipo kupata majibu. Safari ya Tudd Thomas katika muziki ilianzia mkoani Iringa...
  8. Bani Israel

    Account ya Mange Kimambi yadukuliwa

    Siku mbili tatu za connnection kutoka kwa mange kimambi hatimae leo wajanja wa nyuma ya keyboard wamemuweza..
  9. Bani Israel

    Madada wa dar na madera/vijora vya chui chui

    Ukienda mjini unakuwa upo kama mbuga za wanyana kuna fisi duma na chui kina dada hii imeshakuwa sare ya jiji sijui mana hukuji mademu micharuko saa mbovu lazima utakuta wana hii sare Kama demu wako hana dela la chui chui muoe haraka sana ni Wife material huyo hakuna mcharuko usio na hii sare...
  10. Bani Israel

    Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

    Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000. Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
  11. Bani Israel

    Shahidi na kibatala mahakamani.

    Jaji: wakili upande wa utetezi mpo tayari kuhoji? Kibatala : nipo tayari Jaji.. Wakili kibatala anaanza kuhoji. Kibatala: shahidi umekula? Shahidi: sijala Jaji: embu mpeni shahidi chapati na chai asije kuzimia hapa.
  12. Bani Israel

    Uzi maalum wa teuzi za huko Afghanistan

    Haya wana jamvi mara baada ya wakulungwa wa taliban kutuchukua nchi sasa embu tupate kuwatambua viongozi wateule wa taifa hilo [emoji4] [emoji1023]
  13. Bani Israel

    Muulize hili swali mpenzi wako kisha ulete mrejesho

    Wanabody embu tufanye kamchezo kamoja hapa. Unamuuliza mpenzi wako boyfriend /girlfriend hili swali Swali linasema hivi "bby Do you think buttom up economy is really sustainable as to compare to SDGs?" kisha njooni tucheke kwa majibu watakayotupa kwa kupost screenshot
  14. Bani Israel

    Basi la yanga GSM inabidi wabadili gia angani kukwepa aibu na fedhea

    Ukitizama tambo za mashabiki wa yanga juu ya ujio wa bus jipya huko mitandaoni ni jambo linalotatanisha na kustajabisha sana. Sote tumeona picha zao wanazotumia huko mitandaoni ni tofauti na uhalisia kabisa. Ningependa kuwaeleza ukweli wana yanga ile video ya dereva wao akinadi chuma chao kipya...
  15. Bani Israel

    Msaada: Azam antena inasumbua SIGNAL

    Wakuu poleni na majukumu ya kila siku, Binafsi nimeshindwa kutatua hii issue ya kisimbuzi kipya cha azam antena kinaleta no siginal kama zikija huwa ni kukata kata na ku scratch, awali nilikuwa natumia antena iyo iyo kwa kisimbuzi cha star times na nikirudishia star times kinafanya kazi poa ila...
  16. Bani Israel

    Baada ya Isidingo na sasa ni Uzalo : Uzalo special thread

    Uzalo is a South African soap opera produced by Stained Glass Productions, which is co-owned by Kobedi "Pepsi" Pokane and Gugu Zuma-Ncube. It began airing in 2015, quickly becoming a hit due to its compelling narrative, writing, direction and the performances of the relatively-unknown cast.[1]...
  17. Bani Israel

    LESENI YA TOUR (LATRA) Kwa Wenye magari aina ya pick up, Noah, family cars kama Toyota Alphard

    Sheria mpya ya mwaka 2020 iliyowapa nguvu LATRA Kukatisha leseni ya tour kwenye magari ambayo wanahisi hutumika pia kukodishwa kwenye mashuguli na kadhalika gari aina zote za pickup family cars kama Toyota alphard,Noah hiace, nk wanatakiwa kuanza katia leseni hiyo ya tsh 144,000 na hakuna cha...
  18. Bani Israel

    Apo iko vipi?

    Nimeikuta mahali jirani kajenga hadi mwisho wa mipaka na kusuluisha bwana mwenye nyumba kagoma mwenzie kafanya kweli [emoji23][emoji23]
  19. Bani Israel

    Uchaguzi 2020 Mwibara na Siha: Ushawishi vs Propaganda

    Ndani ya CCM mpaka kufikia leo Majimbo ya Mwibara na Siha yanatazamiwa kuwa na kitimtim cha aina yake katika kile kinachotazamiwa kuwa wagombea walioomba ridhaa wote wanaeleweka huko juu. MWIBARA mbuge wao ni Kangi Lugola na sasa hasimu na adui wake aliekuwa akitambulika kama mwanaharakati huru...
  20. Bani Israel

    Pepsi mnatulisha kutu

    Kwanza niseme sina nia mbaya na kampuni hii kwani mm ni mmoja wa watumiaji na wauzaji wa hiki kinywaji. Ni muda mrefu sasa soda za pepsi na mirinda hasa kubwa almaarufu kama bigi za mil 500. Kwanza nieleze changamoto kama mnywaji pia kama muuzaji. Uuzaji: kwa sasa wateja wakija dukani kununua...
Back
Top Bottom