Search results

  1. M

    Post Covid19 School Fees: Precious Schools inakomoa wazazi

    SCHOOL FEES: PRECIOUS SCHOOLS INAKOMOA WAZAZI Kwanza ni pole kwa wale wote ambao kwa namno moja wamepoteza ndugu zao wapendwa kwa mlipuko wa ugonjwa wa Korona. Mwenyezi Mungu awape roho ya ustahimilifu kwa kuondokewa na wapendwa wetu. Mada: 1. Baada ya Serikali kutangaza kurejea kwa shughuli...
  2. M

    SERIKALI imeahirisha ujenzi wa barabara ya Dar es Salaam hadi Chalinze yenye urefu wa kilometa 144 ya Expressway hadi miradi mingine ikamilike

    Nafikiri uliositishwa sio mradi wa Kimara-Kibaha. Ni ule ambao ungetoka Chalinze kupitia huku luguruni Hadi Kurasini/bandarini
  3. M

    Live Stream Arsenal vs Spurs

    Jamani kuna yeyote anafahamu wapi naweza kuona live streaming ya hii game?
  4. M

    Zitto Kabwe na ACT Wazalendo, viongozi wa halmashauri iliyopata hati chafu

    Naomba utupatie na majina ya hizo halmashauri zingine na wabunge wake tujue ni wakina nani, na kama wameshafanya press conference.
  5. M

    Wakubeti.... BIKO Sports ni wasanii....

    Salamuni..... Nimekuwa nafatilia sana michezo ya betting, na nikawa nimependelea kucheza na Bikosports. yaani, najuta hawa jamaa ni wasanii balaa. Leo kulivyo na mechi nyingi Ulaya katika nchi mbalimbali, Jamaa wa biko wameamua kuweka mechi chache tena kutoka katika baadhi ya Ligi. Ligi nyingi...
  6. M

    Kwa kauli hii ya wakili wa Serikali dhidi ya Sugu, Serikali inahusika na Wasiojulikana

    Wasiwasi wangu mie ni "usalama" huko gerezani. Mungu awanusuru.
  7. M

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Simbeye: Sekta binafsi hali ni 'tete'

    Bwana huyu mimi huwa simuelewi kabisa anachokuwaga anakiongeleaga mara zote. Tumevurugwa
  8. M

    Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Wajumbe wa mpira, Igweeeee! Naulizia online streaming ya pambano la leo kati ya Madrid na Spurs itarushwa kupitia wapi? mwenye msaada please. M.
  9. M

    Msaada tafadhali: Basi bora la kwenda Mwanza kutoka DSM

    Wadau, Salamuni. Kama nilivyoainisha kwenye somo, ningependa kujua basi bora la kwenda Mwanza. Natokea Dar.
  10. M

    Rais Magufuli: Wastaafu wengine hawachoki kusema, wanawashwa washwa

    Hahahahahaaaaaa! Labda tumuulize RZ1 atakuwa ameelewa
  11. M

    Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

    Na yule shahidi muhimu mwingine aliyejulikana kama MR Y mbona humtaji?
  12. M

    Msaada: Nataka kuishitaki nyumba ya ibada iliyo jirani na nyumba yangu

    Kweli inafikirisha.... Ila mimi sidhani imani inatengenezwa na vitisho hivyo, bali hutoka ndani ya mtu. Ukishitaki ukafanikiwa utakuwa umesaidia wengi... hayo maneno si mema kabisa. Watumie ,mbadala ya kuleta matumaini na sio hofu. Pole sana, nawazza tu hao watoto wako
  13. M

    Dotto Bulendu: TEF ni jukwaa lisilo na nguvu yeyote kisheria,hawana nguvu kwa mwandishi wala chombo chochote

    Hypocrite!.... angesema haya wakati ule tU tukio limetokea, na hatua ambazo TEF ilichukua ningemuelewa. Lakini kuongea saivi wakati tumeona mkuu wa nchi ameamua kuingilia (kutatua???) tatizo na TEF kuwa submissive to RC ni upumbavu. Kingine hajatoa maelezo kuwa kilichofanyika pale Clouds ni...
  14. M

    Kuhusu Ngao Ya Hisani: Je Simba SC wataamua kumeza matapishi yao wenyewe?

    Ile ilikuwa janja ya viongozi wakiongozwa na Hans ili kukwepa mapinduzi.... mikia wanadanganywa mno na viongozi wao.Saiv washasahaulishwa kwa kumsajili Niyonzima
  15. M

    Premier League Title Chances

    Last season, Chelsea had great chance of being champion as the team was not involved in international games. Mwaka huu wataisoma namba. Ila niipongeze Spurs kwa kandanda safi waliloonesha. Walistahili hata uchamp!! Mwaka huu pamoja na kuondoka Kyle Walker, bado timu itakuwa nzuri na kuleta...
  16. M

    Maajabu ya Tanzania: Kumbe bomba la gesi linatumika kwa 6% tu na 94% halina kazi

    Nafikiri Prof Muhongo alikuwa hukohuko wizarani wakati mikakati ya bomba inafanywa. Nawaza tu jamani
  17. M

    Bei ya sembe yapaa zaidi. Kiroba cha 25kg ni shilingi 48500 - 52500. Serikali iingilie kati

    Iliingilia suala la sukari... kwani ilishuka au ndo inazidi kupanda? Mwafaaa
Back
Top Bottom