Search results

  1. Mr Mikazo

    Hapo ujue unanyimwa mzee

    Hapo ujue unanyimwa mze
  2. Mr Mikazo

    Msaada kuhusu ku order online

    Habar wakuu Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, kwanza nikiri sijawah ku order chochote online, sasa nmejikuta nmependezwa na bidhaa zao na bei ya bidhaa zao sasa nkajarbu ku order nmefanikiwa na kubakisha step moja tu ya kulipia kama inavojieleza hapo Sasa nahtaj msaada kwa aliewah ku order...
  3. Mr Mikazo

    Jipatie DSTV sasa

    Jipatie king'amuz cha dstv sasa na uenjoy burudani kama zote HV. Kifurushi cha bomba ndani ya wiki hii • UEFA Champions League – SS 8 • Serie A – SS 8 • CAF Confederation Cup – SS 9 • Zambia Super Division – SS 9 • CAF Champions League – SS 9 • WWE- SS 4 • Net Ball – SS 1O • Rugby – SS 8 •...
  4. Mr Mikazo

    Mume na mke.

    Mke na mume baada ya kuoana kila mmoja kat yao alikuwa na story ya kumuadisia mwenzie ilikuw hiv; Mume. "Mm wakat cjaoa nilikuwa natembea na madem wote wanaojiuza" Mke."ndo maana sura yako sio ngeni" [emoji38][emoji38][emoji28]🤣🤣🤣 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mr Mikazo

    mambo ya Ku order online hayoo

    Hatari sana kwa maisha ya masharobaro
  6. Mr Mikazo

    cha kustaajabisha

    shangaa kidogo
  7. Mr Mikazo

    Barua ya shabiki wa Arsenal kwa Alexis Sanches

    ALEXIS Sanchez bwana. Eti anataka mshahara wa pauni 400,000 kwa wiki ili aendelee kubaki Arsenal. Hivi anajua kuwa ligi nzima ya Ujerumani ‘Bundesliga’ hakuna mchezaji anayelipwa pauni 200,000 kwa wiki. Mchezaji anayelipwa ghali pale ni Roberto Lewandowski, tena ni pauni 180,000 tu kwa wiki...
  8. Mr Mikazo

    Tujifunze: Niliuza simu na kuanzisha biashara

    Habari wakuu, Kutokana na ugumu wa maisha na ajira ndo hatuelewi kama zitakuja lini nilipata wazo la kuuza simu yangu pendwa Tecno W3 kwa laki moja na kuamua kufanya hivi; Kama muonavyo hapo juu, nilinunua Yebo aina na rangi mbalimbali, mifuko ya sulfate(kipindi cha mavuno hiki), chumvi...
  9. Mr Mikazo

    Hebu muelewe mnyama mkali huyu

    HII NDIYO SIMBA SPORTS CLUB HAKIKA IMETUFURAHISHA MASHABIKI WENU 2016 / 2017 Simba wanachukua Kombe la FA kama Ambavyo Yanga Wamechukua Kombe La Ligi, Simba Itawakilisha Tanzania Michuano ya Africa Kama Ambavyo Yanga Itawakilisha Simba Imeifunga Yanga Kwenye Ligi kuu, Pia Simba Imeifunga...
  10. Mr Mikazo

    Leo ni heri mfie uwanjan tu wanyama

    Yan leo afe kipa, afe beki msitoke uwanjan bila ushindi, maana ndo njia panda ya kushiriki kimataifa leo. C mnajua miaka mingap hatujashiriki huko mbele????? Naiman hamtatuangusha
  11. Mr Mikazo

    Yanga wanachokilalamikia hata sikioni

    Siku zote nyani haoni kundule hivi hawa Yanga wanacho kilalamikia hata sikioni maana wamejawa lawama kama wao ndiyo timu pekee hapa nchini yenye nguvu kuliko timu zozote,wao wanalalamika kuwa kamati imejaa watu wa simba hivi watu hawa wa Simba wanao daiwa wamejaa kwenye kamati si ndiyo hawa...
  12. Mr Mikazo

    Hili nalo neno

    KWANZA niwapongeze Simba SC. Kutoka nyuma 2-0 hadi dakika nane kabla ya kumalizika kwa mchezo, kisha kushinda 3-2 baada ya dakika 90 ni jambo la kujivunia kama timu. Hasa ukizingatia walikuwa ugenini dhidi ya Mbao FC ambao tayari walishawaangusha vigogo kama Azam FC na Mtibwa Sugar katika uwanja...
  13. Mr Mikazo

    Aliyepoteza kitambi aje hukuuu

    Kitambi kimeokotwa aliyekipoteza aje central hatupendi kupeana shida COZ SOTE tunaisoma namba.SASA SIO kubebeshana majukumu yasiyo YA lazima. Uliyekidondosha Ajisalimishe haraka.
  14. Mr Mikazo

    Hahaha

  15. Mr Mikazo

    Awamu ya tatu hiyooo

  16. Mr Mikazo

    Ibrahim Ajibu wa Simba jaman

    PASS YA IBRAHIM AJIBU vs TZ PRISONS Na prof. Mikazo Jana kulikuwa na mchezo mkali sana wa wa ligi kuu ya vodacom mabingwa wa muda wote wa CECAFA dhidi ya TZ Prison na Simba kuibuka na ushindi mnonon wa goli 3-0 huku Simba akicheza mpira mwingi sana kama Barcelona Siongelei Matokeo sababu...
  17. Mr Mikazo

    Cheche bhanaaaa

    Mtangazaji:kocha cheche hongera sn cheche: asante nashukuru Mtangazaji:unajisikiaje kuiongoza azam ktk mafanikio aya? cheche: kwakwel ni fahari kubwa kwangu na kwa timu yangu ya azam namshukuru Mola kwa hili Mtangazaji:licha ya kupata matokeo kwa simba na yanga ugumu gan umekutana nao ktk...
  18. Mr Mikazo

    Darassa vs Diamond

    DARASA - MUZIKI Mashabik & wangazaji: inaonekana diamond ameanza kuota mapembe. Darasa: aneota mapembe, muongezee mkia. Diamond: anaejiona yeye mkali tuweke mkali nan show au collabo. Darasa: let me make one thing clear blah blah blah ctak kuckia, Diamond: mi ndo simbaa Darasa: sio simba, sio...
  19. Mr Mikazo

    Mapenzi haya

    Halow!..... Eeeeh m mzima cjui ww......... Eeeh mwambie mapenz hata walioyaanzisha yaliwatesa......... Eeeh nd hvo bwana kwel.......ndio kk......aaaaaah kweliiii.........eeeeeeh ndo hvo nmeoa saiz nna watot wawil wanapasua mbao kawetere kk........hahahaha nliwah kuzaa ndio kk....... Sawa ahsante...
  20. Mr Mikazo

    Ukituma Zawadi tuma na maagizo aisee

    Ukituma Zawadi nyumbani toa ufafanuz ni kwa ajili ya nn haya huyo katuma pazia watu washamshonea Binti nguo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
Back
Top Bottom