Search results

  1. yas-mic

    SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    najaribu kutaka kukuamini lakini kuna kitu kinaniambia usidanganyike
  2. yas-mic

    Tatizo la PC HP nikiiwasha inawaka taa ya kijani (power) halafu inazima

    nenda kwa fundi mwambie acheki Ac na power supply. ila tatizo hapo ni kuwa motherboard imepigwa shoti( electrical shock) na ni lazima ibadilishwe..andaa 120k au zaidi
  3. yas-mic

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    https://kinondonimc.go.tz/announcement/tangazo-la-kuitwa-kwenye-mafunzo-ya-sensa-kwa-makarani-wasimamizi-wa-maudhui-na-tehama-tarehe-27-julai-2022-wilaya-ya-kinondoni wa kinondoni wale wa kinondoni.
  4. yas-mic

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Habarini za Jioni kwa wale ambao wanasubiri PDF za Kazi ya Sensa kama haukufanya kazi ya Anuani za Makazi (Postikodi) na sio mkuu wa shule, afisa halmashauri au mratibu elimu kata basi usiweke matumaini sana. Ni bahati mno kupata kama haupo sehemu hizo tajwa. hata Hao walimu wanaodhaniwa kuwa...
  5. yas-mic

    Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

    Mtoa Mada kaandika kwa akili kubwa sana..lakini wewe ume reply kwa akili ya kawaida sana. Zanzibar ni kisiwa kile. soon after their isolation from Union government. its going to be the center of terrorism na hata piratism. Tanganyika is safe since Zanzibar is safe.
  6. yas-mic

    Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    aisee umewaza kama mimi...kuna wakati nilihisi JPM anamuandaa Mbuge kuwa CDF..maana alipanda vyeo kwa haraka sana..kutoka CO wa 832kJ mpaka ukuu wa JKT ndani ya miezi 13
  7. yas-mic

    Nilioyaona baada ya mechi ya Simba SC vs Kaizer Chiefs

    Kwanza kabisa kilichopo mezani ni kuwa Simba sc imetolewa kwenye Mashindano. hakuna njia nyingine ya ku justify simba's elimination in #CafCL lakini kuna mambo machache yametokea baada ya mechi ambapo binafsi nimeona kama ni kitu kipya sana kwenye mpira wetu. 1: Appreciation kutoka kwa...
  8. yas-mic

    Hivi ni kwanini vitu hivi viko kwa wanajeshi?

    Hakuna somo kubwa na siri kubwa jeshini kama UZALENDO. do each and everything for serving your country and countrymen. Once Patriotism becomes ice in your veins, you will no longer be a corrupt person, you will always put nation's interest first before anything. In short you will self-made a...
  9. yas-mic

    Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    kuna nyimbo nimeisikia mara moja kiitikio chake ni kwamazuru eeh please anayeijua
  10. yas-mic

    TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    broh mtumiaji wa mwisho yaani wewe unaeangalia mtandaoni unaona grades tu. ila walioko jikoni wanaona mpaka raw marks. mimi ni shaihidi wa hilo.
  11. yas-mic

    Kama Daktari wa Binadamu anaumizwa na kifo cha mgonjwa. Je, ni maumivu gani aliyonayo mtekaji na muuaji?

    mbona huu mwandiko umeniletea sauti ya kufikirika ya mtu ninayemjua[emoji2089][emoji2089]
  12. yas-mic

    Jerusalema ya Master KG Yavunja Rekodi Shazam

    hii ina maanisha huu wimbo ulikua haufahamiki na watu wengi. ila possibly kuna superstar atakua aliutumia katika mishe zake hivyo watu wengi kupata fursa ya kuusikia. platform ya Shazam imekua na msaada sana kwa kupata nyimbo ambazo mtunzi wake au jina lake halifahamiki. ina uwezo wa ku capture...
  13. yas-mic

    Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    nimeupata leo baada ya kusikiliza vyema tena kupitia radio free Africa. wimbo unaitwa Nzambe wa kanda bongo man
  14. yas-mic

    Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Sina uhakika sana kaka. Naomba tu kama upo wa aina hiyo naomba nitumie
  15. yas-mic

    Hivi nyie mnaowasiliana na wapenzi wenu kila dakika huwa mnaongea nini zaidi?

    Changamoto hii hata mimi naipata. Nashindwa ku stick for a long time in a relation kwa sababu ya mawasiliano. Cha ajabu wasichana ndio wanapenda sana hayo. Usipomcheki tu ni msala
  16. yas-mic

    Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Jamani kuna wimbo mmoja wa kikongo sijui jina lake ila kuna neno linajirudia mara nyingi zaidi linaitwa " Sabiii"
  17. yas-mic

    Nipe nyimbo zako kali za ki-Congo

    Olivier kalabasi ngi ngo Fall fall guy la pollait Extra musica denide Awilo longomba bizou
  18. yas-mic

    Wazazi mmewaangusha Walimu kwenye malezi kipindi cha COVID19

    Ni kweli..am a teacher. Huku mashuleni hali si nzuri. Ukiachana na mimba lakini pia Abortion zimekua nyingi sana kiasi kwamba watoto wa kike hawaishi kuumwa na matumbo na wengine hata morphology zao zime change sana. Yapo mengi ila kwa kifupi nidhamu imekua ndogo sana kwa sasa. We are struggling...
  19. yas-mic

    Naiona hatari huko mbele uteuzi wa wanajeshi walio kazini kushika nyadhifa za kisiasa

    Kuna kitu nahisi baadhi ya wachangiaji ikiwemo G'taxi nahisi hamjakielewaa bado. Anachojaribu kuwasilisha mtoa mada ni kuwa NI HATARI SANA KWA MWANA USALAMA KUZOEA MADARAKA KAMA YA KISIASA MAANA KUNA SIKU TUSIYOIJUA ATATAMANI NA YEYE AKALIE NAFASI ILE ALIYOKALIA YULE ALIYEMTEUA KWA MAANA HAKUNA...
Back
Top Bottom