Search results

  1. Mkuu wa chuo

    Nirekebishe Vipi tatizo la Blue Screen kwenye Windows 7!?

    Wakuu, nina shida katika Computer yangu kunakuwa na shida tajwa hapo juu kama kunakuwa kunatokea screen ya blue na computer inakuwa inajizima, mara ya kwanza ilikuwa inaingia hadi mwisho. Ukiwa unapiga kazi mara unashangaa inajizima, zinakuja option kuna ile ya ku repair, na start windows...
  2. Mkuu wa chuo

    Nahitaji Kungalia Uefa online nifanyeje?

    Nilikuwa nahitaji link ya kuangalia game ya Bayern Munich na Real Madrid kupitia internet mwenye link kama vipi anaweza akatupia,au kwa wataalam anielekeze jinsi ya kufanya ili niweze kuona kitu live kupitia online via internet...
  3. Mkuu wa chuo

    Ibs

    Nahitaji msaada mtu mwenye uelewa na hiyo kitu IBS yaani Irritable Bowel Syndrome na jinsi ya kumaliza kabisa tatizo hilo kama kuna dawa iwe za hospital au za ki mila anaweza nisaidia ku maliza kabisa hicho kitu na kuweza kurudi kawaida kabisa.
  4. Mkuu wa chuo

    Camera Flash ya Nokia n9 yangu haifanyi kazi

    Ndugu wana jf husika na kichwa cha habari hapo juu, nina Nokia n9 lakini cha kushangaza flash camera haipigi kazi hata nikijaribu ku set flash yenyewe bila automatic bado haipigi kazi Sijui tatizo nini, naombeni msaada wenu wataalamu nifanyeje sasa ili iweze kupiga kazi... Cc: chief-mkwawa
  5. Mkuu wa chuo

    Msaada: Neno ECONO linatokea katika dashboard ya Toyota Rav4 yangu

    wadau naombeni msaada na suluhisho kuhusiana na neno la kijani ECONO linatokea katika dashboard toyota Rav4 yangu likitokea gari inakuwa nzito, je tatizo ni nini na suluhisho ni lipi!? Naombeni msaada.
  6. Mkuu wa chuo

    Wana JF tujumuike

    Inatupasa wana JF wote kujumuika na kuweka tofauti zetu kando na kwenda kuishabikia Manchester united itakapokwaana na Stoke city katika dimba la old traford mida ya saa tano usiku kwa saa za Afrika ya mashariki! Mi ndo naanza kuelekea mida hii!
  7. Mkuu wa chuo

    typo and thumbo

    Naombeni tofauti ya typo or thumbo na language mistake pamoja na mifano yake, Leteni darsa wadau nataka niongeze ilmu...
  8. Mkuu wa chuo

    Hello, Ndo naingia Jamvini.

    Salamu sana wanaJF nimependezwa sana na mada zinazojadiliwa na wanaJF Hii kweli ni Home of great thinkers, naomba kuingia niwe mmoja ya magreat thinkers, Salamu kwa wote.
Back
Top Bottom