Huko UN Malawi inapotaka kwenda, Kwanzaa warudishe Israel kwenye mipaka yake halafu ndio wajadili yetu. Wakoloni na Malawi ni walewale. Kama nchi hii ilifanya biashara na makaburu wakati wanatubagua unategemea watafikia muafaka na sisi? Ziwa ni muhimu kwa watu wetu zaidi ya Golan heights kwa...
Kwanini Nyerere hakuendeleza kusini kwa miaka mingi?
Kwanini sehemu nyingi zenye Waislamu wengi hazikuendelezwa kwa miaka mingi? (Hii ni tokea ukoloni)
Jadili.
Huyu DJ ni msanii mwingine. Kama ulikataa gari mwanzo na kwa mbwembwe ili upate umaarufu wa kitoto kwa wananchi mbona ulipolichukua hujachukua kwa mbwembwe hizo hizo.
Hawa viongozi wa CHADEMA ni wasanii, wameweza kupiga wananchi mchanga wa macho kwa kutumia midomo yao na vimisemo vya kuvuta...
Kuna dharau kuhusu malalamiko ya Waislamu katika hili. Soma uelewe kabla ya kutupa matusi.
- Wanafunzi walifanya mitihani
- Mitihani yao ilisahihishwa na walimu wa kiislamu hivyo walijua wastani ya waliopasi
- Matokeo yaliyowekwa kwenye "database" yalikuwa tofauti na alama za kwenye karatasi...
Kuna dharau kuhusu malalamiko ya Waislamu katika hili. Soma uelewe kabla ya kutupa matusi.
- Wanafunzi walifanya mitihani
- Mitihani yao ilisahihishwa na walimu wa kiislamu hivyo walijua wastani ya waliopasi
- Matoleo yaliyowekwa kwenye "database" yalikuwa tofauti na yale kwenye karatasi
Enzi za mwalimu alikuwa mkurugenzi wa State Motor Corporation. Kifupi ukitaka kununua gari unapitia kwake kupata kibali. Kibali kununua gari kilikuwa kama kibali cha kumiliki bastola. Kupata kibali tu pamoja na kwamba hela ni zako ilikuwa mbinde.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.