Search results

  1. D

    Namwona JPM ndani ya Makonda na Makonda ndani ya JPM

    Nimefuatilia sana ziara za Makonda. Nilichogundua ni kwamba, ukiachilia mbali siasa lakini kwa zaidi ya 75% Makonda anafanana sana na JPM. Anafanana katika kusikiliza kero za Watanzania na kuzitafutia ufumbuzi wa papo kwa papo. Lakini pia anakemea uzembe unaofanywa na watumishi wa umma. Kwa...
  2. D

    Nimekuta watumishi wa umma Ofisini wakiogopa sana ujio wa Makonda

    Nimepita katika Ofisi kadhaa za umma ikiwemo Hospitalini. Nimekuta watumishi wa umma katika Ofisi hizo wakiogopa sana ujio wa Makonda kama ilivyokuwa wakati wa JPM. Nimekuta wengi wakijiweka sawa kwa kuandaa mazingira yao ya kazi vizuri kwa kuhofia kutumbuliwa. Najiuliza, Makonda ni JPM mwingine?
  3. D

    Serikali inaweza kuonesha udhaifu mkubwa sana tarehe 24.01.2024

    CHADEMA wametangaza kufanya Maandamano ya amani mnamo tarehe 24.01.2024 jijini Dar es salaam. Wakati huo RC wa Dar es salaam inasemekana naye ameamru vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama wakiwemo JWTZ kufanya usafi siku hiyo hiyo katika jiji hilo. Kama Serikali itawaamru wanajeshi kuzagaa...
  4. D

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, usitutishe

    Tutaandamana tu. Wewe hujui shida zetu. Unalishwa na Serikali, nyumba ya Serikali, Gari la Serikali, umeme, maji nk. vinagharimiwa na Serikali. Huwezi kujua shida zetu sisi Wananchi. Wewe ni mnufaika wa shida zetu Wananchi. Kaa kimya.
  5. D

    Hayati Magufuli alikuwa nani hasa? Mbona kila kundi linamlilia

    Wafanya biashara wanamlilia JPM, wakulima wanamlilia JPM, madereva wanamlilia JPM, Watanzania wanyonge wanamlilia JPM. Kwa ujumla hakuna kundi lisilomkumbuka. Nenda hospitali zote uwaulize watu jinsi huduma zilivyo za ovyo. Wote hao wanamlilia JPM. Mimi najiuliza, kwa nini JPM anazidi kuwa na...
  6. D

    Kama Chalamila atamwaga utitiri wa Askari siku ya Maandamano ya CHADEMA

    Ikiwa Chalamila atafanya hivyo, tafsiri itakuwa hivi:- 1. Serikali haina nia njema kuelekea chaguzi zinazokuja huko mbeleni kwani kama Serikali ingekuwa na nia njema, badala ya kutumia nguvu nyingi za Askari kuzuia Maandamano, wangetumia nguvu hizo kufanya mazungumzo na CHADEMA. 2. Itaonesha...
  7. D

    Ombi kwa viongozi wetu wa Dini

    Sasa saa imefika kwa viongozi wetu wa Dini kutotenganisha Dini na Siasa. Wakati umefika viongozi wetu wa Dini wasikubali tena kuambiwa eti Siasa haiwahusu wao kama viongozi wa Dini kwa sababu Dini inafanyika ndani ya Nchi, na Nchi inaongozwa kwa Siasa. Kwa maana hiyo, naomba viongozi wetu wa...
  8. D

    Ni kitu gani Watanzania tutaweza kukianzisha na kukiendeleza kwa ufanisi?

    Serikali inajitahidi kuanzisha mifumo mbalimbali ili kurahisisha huduma. Tatizo kubwa ni kwamba, inaanzisha mifumo hiyo bila kuwa na miundombinu imara kuweza kukidhi haja. Kwa upande wa watumishi wa umma kuna mifumo kadhaa iliwahi kuanzishwa huko nyuma, lakini kutokana na mifumo hiyo kutumia...
  9. D

    Barabara ya kutoka Igawa hadi Mbeya ni aibu tupu

    Kutoka Iringa hadi Igawa-Mbarali barabara ipo vizuri, lakini kutoka Igawa hadi Mbeya Mjini ni ovyo kabisa utadhani hakuna Wabunge, Mawaziri nk. Barabara hii ni ndogo lakini imejaa mashimo matupu. Ikumbukwe kuwa barabara hii inaunganisha Nchi kadhaa zikiwemo Malawi, Zambia, Congo DRC na Afrika...
  10. D

    Kwa umbali namwona Hayati Magufuli akija kutoka uwinguni

    Kwa takribani wiki kadhaa tangu Makonda ateuliwe/ achaguliwe kuwa Katibu Mwenyezi Taifa, nimeona kuna kitu chema ndani yake kinakuja kuponya au kuleta unafuu wa makovu ya Watanzania yaliyotokana na kifo cha Mtumishi wa Mungu, Mwanamapinduzi na Mzalendo wa kweli, JPM. Nauliza, huyu ndiye JPM...
  11. D

    Mungu mkubwa.

    Naomba Watanzania wote kwa umoja wetu bila kujali itikadi zetu:- *Tutumie njia zote zinazowezekana kupambana ili huko mbeleni tumpate Rais, Mawaziri na Wawakilishi wenye Akili timamu, Wazalendo, wachapakazi na wenye upendo zaidi kwa Watanzania tofauti na hawa waliopo sasa ambao hawana huruma...
  12. D

    Uwepo wa Rev. Fr. Charles Kitima kwenye utiwaji saini wa Mkataba wa DP World unahitaji majibu

    Tumsifu Yesu Kristu. Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile...
  13. D

    Kwanini vikosi vya Palestina vilifaulu kuingia kinyemela katika maeneo ya Israel?

    Kwanini vikosi vya Palestina vilifaulu kuingia kinyemela katika maeneo ya Israel na kufanikiwa kufanya mashambulizi makubwa kabisa ndani ya Israel ikiwa ni pamoja na kuteka mamia ya wanajeshi wa Israel? Je, Waisrael walilala usingizi?
  14. D

    Watanzania, ni wakati sasa wa kumtafuta mtu mahiri wa kulikomboa Taifa

    Taifa linapita gizani kana kwamba hakuna watu wanaoweza kulifikisha mahali pazuri kabisa tena kwa muda mfupi tu. Taifa linaangamia kanakwamba halina wasomi wanaoweza kulifanya transformation. Kiongozi anayeweza kulifanyia transformation Taifa hili ni yule:- I. Mwenye akili kubwa, aliyefanya...
  15. D

    Kuhusu siku kuu za kidini, nani anatakiwa kutangaza?

    Je, ni nani anayetakiwa kutangaza siku ya mapumuziko(Public Day)inapotokea siku kuu ya kidini? Ni Kiongozi wa Dini husika au Kiongozi wa Serikali?
  16. D

    Naandaa mashtaka dhidi ya viongozi waandamizi kwa kosa la kulea uzembe katika mambo ya msingi, ukiwemo umeme

    Nchi hii kwa sasa inapita katika kipindi kigumu sana kutokana na uhaba wa umeme. Uhaba huu wa umeme kwa asilimia kubwa huwa ni wa kutengenezwa tu na baadhi ya mafisadi. Tatizo kubwa hapo ni kwamba, wanakuwepo mafisadi wanaotengeneza tatizo kwa maslahi yao na kwa upande mwingine wanakuwepo...
  17. D

    Tangu nifike Mjini miaka mingi iliyopita sijawahi kushuhudia mgao mkali wa umeme kama huu unaoendelea leo

    Tangu nifike Mjini miaka mingi iliyopita sijawahi kushihudia MGAO mkali wa UMEME kama huu unaoendelea leo. Ni ovyo, ovyo, ovyo kabisa. Zamani nilikuwa nawatetea sana viongozi wa Serikali lakini kwa sasa, Hapana. Wamefeli kwa kiwango ambacho hakijawahi kuwepo huko nyuma. Hawana jipya tena...
  18. D

    Hali ya umeme nchini sasa imekuwa tete kabisa

    Mama, ulipokuwa unachukua kijiti kutoka kwa mtangulizi wako, Mteule wa Mungu, JPM Watanzania tulikuwa tulishasahau kabisa tatizo la MGAO wa umeme. Kwa nini MGAO huu wa umeme umeanza wakati wa utawala wako, na sasa tatizo limekuwa sugu sana? Mama, nahisi wasaidizi wako hawakuambii ukweli wa hali...
  19. D

    Nimegundua, viongozi wa Serikali yetu hawana huruma hata kidogo kwa Wananchi

    1. WABUNGE waliotakiwa kuwa watetezi wa Wananchi, wao wanakuwa watetezi wa mhimili wa Serikali. 2. Rais ambaye ni Kiongozi wa Serikali ambaye alitakiwa kutowabagua watumishi wake wa Serikali pamoja na Wananchi wote, yeye anaruhusu:- I. Wabunge kujiongezea posho na mishahara mikubwa huku...
  20. D

    Tundu Lissu, acha kumshambulia Hayati Magufuli

    Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli. Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi. Hata hivyo, kuendelea...
Back
Top Bottom