Search results

  1. Dr Justice

    Rais Samia, Makonda anataka kuigawa Serikali yako na Chama kuelekea uchaguzi, ni mtego. Usikubali, ana nia ovu

    Hivi wakuu wa mikoa wengine wanaweza kuongea kama Makonda anavyofanya?
  2. Dr Justice

    How long animals live

    Inaonyesha viumbe wa majini wanaishi zaidi ngoja niwafanye kitoweo zaidi.
  3. Dr Justice

    Afrika Kusini itatakiwa imkamate muuaji Putin na kumpeleka ICC

    Mtasubiri sana.....if wishes.....
  4. Dr Justice

    Serikali kurejesha hoteli zake zinazoendeshwa na sekta binafsi ili kuboresha huduma

    Hotel zilizokuwa za serikali kuna ile ya manyara, Ngorongoro crater lodge iko kwenye view nzuri sana nayo imekuwa pagale sasa muhindi kaishindwa, pia kuna seronera serengeti na Lobo wildlife Lodge serengeti kwa uchache ninazokumbuka
  5. Dr Justice

    Ukiwa na busara utaepuka kuuliza watu maswali kama haya

    Natamani hii thread kila mtu angeisoma, hakika umeandika vitu vya msingi na hekima ya hali ya juu. Ni maswali yanayoumiza na kuendelea kumwagilia siki kny jeraha watu wana maumivu sana. Bless
  6. Dr Justice

    Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

    Hata mimi nimeshangaa baba yake Lowasa hakuwahi kubadili kabila. Kwanza kabila haliwezi kubadilika asili ni asili
  7. Dr Justice

    Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

    Opportunity na siasa hufanya wengi kufoji mengi!
  8. Dr Justice

    Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

    Hii ndio story ninayoikumbuka mambo ya East coast versus West coast. BTW Diddy alitajwa sana kuhusika pia.
  9. Dr Justice

    Waziri Mabula: Hatuhitaji miji iliyojaa fremu za maduka. Mipango miji izingatiwe

    Ajabu wanaoshia kwenye matamko badala ya vitendo!
  10. Dr Justice

    DOKEZO Hali ya Kawe ni mbaya, Serikali ichukue hatua dhidi ya Mwamposa na waumini wake

    Niliwahi kujiuliza pia?Mwl. Mwakasege pia huwa anatumia viwanja vipi? Au wanapokezana?
  11. Dr Justice

    Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

    Tukemee kwa nguvu zote, kwa kuanza anayeandika sukuma gang ale ban. Yanaanzaga hivi hivi...
  12. Dr Justice

    Ng'ombe bora wa maziwa aina ya Holstein freisian, Jersey na Ayrshire wanapatikana

    Safi sana Freisian wana maziwa mengi sana na ulaji wao si wa kitoto, Jersey ni wazuri sana pia na maziwa yao ni mazito. Uzoefu wangu mfugaji mdogo
  13. Dr Justice

    Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

    Halafu wee jamaa hauko kwenye ile crew ya kataa ndoa wewe? Sasa hiyo imerudi kwa masista
  14. Dr Justice

    Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

    Hakika wewe ni Baharia, maana unajua fika wapi pa kupata chata za aina flani. Nami kwa uzoefu wangu nagonga stamp
  15. Dr Justice

    Majibu Kwanini Wasanii Wetu Hawaitwi Kwenye Steji Kubwa Duniani

    Hakuna ukweli mwingine zaidi ya huu
Back
Top Bottom