Search results

  1. Sumba-Wanga

    Ni ipi Hoteli nzuri Morogoro?

    GM, QUEENS, KIBO PEAK, STARPACK HOTEL (ingawa vyumba vina socket moja tu iliyopo nyuma ya kabati, lakini ni mpya)
  2. Sumba-Wanga

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ni cha Serikali?

    Hii ni taasisi ya serikali. Nina imani swala hili litafanyiwa kazi. Kama kuna ukweli kwenye hili, pumba na chenga zitaonekana. Poleni external examiners. Poleni Staff wa OUT, ambao mnatumia pesa zenu kutoka mikoani kwenye makao makuu kusahihisha mitihani, na MNAKOPWA kisa MUSE haifanyi kazi...
  3. Sumba-Wanga

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ni cha Serikali?

    Hawawezi kuwa makini. Kama malipo halali ya external examiners na staff yanashindikana. Chief Executive Officer, amechukua hatua gani? Au kwa sababu mambo yake yanakwenda vizuri, hana habari na staff wala wengine?
  4. Sumba-Wanga

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ni cha Serikali?

    Hii sio spirit ya Watanzania. Public Institution inaendeshwa kama private property
  5. Sumba-Wanga

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ni cha Serikali?

    Nimekuwa najiuliza kama Chuo Kikuu Huria au OUT ni chuo cha serikali. Inakuwaje chuo cha serikali kikawa na mambo ya ajabu namna hii? Sisi Walimu kutoka nje tuliofanya kazi kama external examiners kwenye kazi za wanafunzi tuna zaidi ya miezi 6 hatujalipwa. Tukiuliza tunaambiwa utaratibu mpya wa...
  6. Sumba-Wanga

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tunaomba Msaada. Hii ni KOLA B, Morogoro. Hii case imekuwa reported tangia 3/8/2021. Nguzo mbili zimeoza, matokeo yake nyaya zipo kwenye bati. Hivi mnasubiria hadi hizi insulated wires zichubuke, ilete ajali, then tuseme ni MAPENZI y Mungu?
  7. Sumba-Wanga

    Oil.nzuri kwa hybrid cars in Tanzania

    Ndugu zangu naomba ushauri. Ni oil gani nzuri kwa Hybrid cars hapa Tanzania? TOTAL QUARTS 5000?
  8. Sumba-Wanga

    Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

    Nakubaliana na utabiri huu. Lakini zengwe la CCM ataliweza?
  9. Sumba-Wanga

    Kuhusu Ndege Airbus Aliyoongelea Rais Magufuli

    Kwanza ni muhimu kutumbua majipu yote ATC kabla ya kuleta ndege mpya. Watendaji wa shirika hilo wamejipangaje kuboresha huduma? Tusipoangalia hizo airbus zitakuwa kama zimetupiwa kwenye kundi la mafisi wenye njaa
  10. Sumba-Wanga

    Wanafunzi wasiotoa michango kufukuzwa ni hujuma kwa Serikali?

    Sawa Mkuu! Lakini wamepataje kibali kujenga Hostel binafsi kwenye eneo la shule/serikali? Kwa nini wasibomoe tujue moja? nadhani haya yalifanyika wakati serikali imekwenda LIKIZO
  11. Sumba-Wanga

    Wanafunzi wasiotoa michango kufukuzwa ni hujuma kwa Serikali?

    You have nailed it all. Asante mkuu
  12. Sumba-Wanga

    Wanafunzi wasiotoa michango kufukuzwa ni hujuma kwa Serikali?

    Mkuu, Hostel inajengwa na nani katika viwanja vya shule/serikali? kwani ingekuwa ya watu binafsi tungelalamika?
  13. Sumba-Wanga

    Wanafunzi wasiotoa michango kufukuzwa ni hujuma kwa Serikali?

    Kweli JF imesheheni wataalamu wa kila fani!!!
  14. Sumba-Wanga

    Wanafunzi wasiotoa michango kufukuzwa ni hujuma kwa Serikali?

    So far wewe umeweza nini zaidi ya kulalamika KAMA VIONGOZI WA AWAMU YA NNE. wewe nawe ni jipu
  15. Sumba-Wanga

    Wanafunzi wasiotoa michango kufukuzwa ni hujuma kwa Serikali?

    There you are, bravo! Haya ni majipu, wamezoea kukusanya fedha za wazazi na kuwanyanyasa wanafunzi. Hichi ni kiama chao
  16. Sumba-Wanga

    Wanafunzi wasiotoa michango kufukuzwa ni hujuma kwa Serikali?

    Mkuu Maswali hayo yote atayajibu Prof Ndalichako au Afisa elimu wa Manispaa ya Dodoma.
  17. Sumba-Wanga

    Wanafunzi wasiotoa michango kufukuzwa ni hujuma kwa Serikali?

    Inawezekana ni kweli. Kama pesa hazitoshi si watoe taarifa? Inakuwaje wao nao wanakuwa na serikali yao? Hawa wakuuu wa sekondari ni majipu yaliyoshindikana. Huu sasa ndio mwisho wao
  18. Sumba-Wanga

    Wanafunzi wasiotoa michango kufukuzwa ni hujuma kwa Serikali?

    Kweli hili ni jipu na leo ndio mwisho wake. Kama alikuwa anangangania awamu ya 4 basi ngoja Prof Ndalichako na Sembachawene wampasue jipu
  19. Sumba-Wanga

    Wanafunzi wasiotoa michango kufukuzwa ni hujuma kwa Serikali?

    Kweli hili ni jipu na leo ndio mwisho wake. Kama alikuwa anangangania awamu ya 4 basi ngoja prof Ndalichako ampasue jipu
Back
Top Bottom