Search results

  1. T

    Kitamu share na wenzio....hii kali

    Dah naomba mniambie wapi inapatikana tz haipo kwani dah hii kubwa kuliko nimeipenda
  2. T

    Natafuta internship

    Habari wana JF natafuta sehemu yakufanya internship mwez wa 4 me ni mwanafunz wa i mwaka wa tatu pursuing bachelor of art in community economic dvpt tafadhali naomba mnijuze nafasi ikitokea mbarikiwe sana amen!
  3. T

    Nimuandalie zawadi gani valentine hii?

    mwandalie dinner nyumbani c lazima mtoke kwenda hotelini mtengenezee chakula anachokipenda na zawadi nzuri kama perfum au nguo try n do smthing different
  4. T

    job vacancies

    Thanx a lot twaomba uzidi kutujuza nafasi zinapotokea ubarikiwe sana
  5. T

    hodihodi waungwana humu jamvini

    Karibu mungwana mwenzetu
Back
Top Bottom