Nai Akumbuka Bata la Sabaya
Bado kifungo cha miaka 30 jela kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni gumzo Bongo.
Naye mrembo ambae ni video vixen na mjasiriamali, Nai ameibuka na kumuonea huruma mkuu huyo wa wilaya.
Nai ametumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha masikitiko...
Na Deodatus Balile
Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa Sh 600,000. Anashitakiwa pia kwa tuhuma za kupanga njama za kulipua vituo vya mafuta katika miji ya...
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amewaomba wakuu wa idara na watendaji wa Serikali mkoani humo kumuazima busara akidai za kwake pekee hazitotosha.
Chalamila ametoa ombi hilo leo Jumatatu Mei 24, 2021 wakati akizungumza na watendaji, wafanyabiashara, wakuu wa idara, viongozi wa dini na...
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.
Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NJE, USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, KIKANDA NA KIMATAIFA, MHESHIMIWA ESTHER NICHOLAS MATIKO (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA HIYO, KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
A. UTANGULIZI
1...
May 30, 2019 by Global Editor
Mbwana Samatta amefunguka kumpiga mabao mengi ali kiba katika mechi yao ya Team Samatta na Team Kiba itakayopigwa june 02, 2019. Kampeni ya Nifuate hivi sasa ni msimu wake wa pili ikiwa na lengo wa kusaidia watoto waliopo katika maisha magumu.
Mfanyabiashara maarufu wa madini nchini Tanzania, Thomas Mollel maarufu kwa jina la Askofu amefariki dunia jana usiku Jumatatu Mei 20, 2019 jijini Dodoma.
Alikwenda Dodoma kushuhudia kuapishwa kwa mbunge mteule wa Arumeru Mashariki (CCM), Dk John Pallangyo.
Mollel ambaye mwaka 1995 alipata...
Kwa ufupi
Licha ya Polisi wilaya ya Ilala Kanda Maalum ya Dar es Salaam kutoa zuio la kufanyika kwa mkutano mkuu wa CUF upande wa Profesa Ibrahim Lipumba, mkutano huo unaendelea huku ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ukiubariki mkutano huo
----
Dar es Salaam. Licha ya Jeshi la Polisi kuzuia...
MADAI YA KUMKWAMISHA JPM: Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernald Membe kufika ofisini kwake kukanusha madai yanayomkabili.
Bashiru Ally ametema cheche hizi kwa waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe ambaye pia ni mwanachama wa CCM...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema akifa anatamani azikwe na Ilani ya uchaguzi wa CCM itakayokuwepo wakati huo.
Lugola ametoa kauli hiyo leo Jumapili Julai 8, 2018 katika mahojiano maalum na MCL Digital baada ya kutembelea ofisi za kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL)...
JOPO la Wataalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Maofisa Ustawi wa Jamii, Wanasheria pamoja na askari Polisi kutoka Dawati la Jinsia wamemuhakikishia Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, kuwa wamejidhatiti vyema kuwasikiliza akinamama waliotelekezwa na hawapatiwi pesa ya...
Mgombea Ubunge wa jimbo la Siha kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Godwin Mollel amefarijika kuona bendera ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye mkutano wake wa Makiwalu wakati akifanya kampeni za kugombea Ubunge wa jimbo.
"Niwaambie makamanda bado nina wapenda na...
Jeshi la polisi Mkoa wa Ilala, limewakamata watu saba akiwemo msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro maarufu kama ‘Chid Benz’ kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Salum Hamduni amesema watuhumiwa hao walikamatwa Agosti 12 mwaka...
By Kelvin Matandiko, Mwananchi kmatandiko@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Benki ya Dunia (WB) imesema kuna manufaa ya kijamii na kiuchumi ya kumuelimisha mtoto wa kike.
Bella Bird, mkurugenzi Mkazi wa WB kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, alisema mimba za utotoni si tu...
Miswada mitatu ya Sheria ya Serikali imesomwa Bungeni na imepelekwa kwenye Kamati za kudumu za Bunge ili ikafanyiwe kazi ipasavyo
1. Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa 2017, utafanyiwa kazi na Kamati ya Katiba na Sheria inayoongozwa na Mh. Mohammed Omary Luchengerwa
2. Kwa mujibu...
Rais John Pombe Magufuli amemteua Dk Jones A. Kilimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania na Slyvester Mabumba kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuanzia tarehe 17 Novemba, 2016
Kwa ufupi
Pia, yapo majina ya watu ambao hawajawahi kuomba mkopo na wengine walisoma nje ya nchi.
By Kalunde Jamal, Mwananchi kjamal@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Orodha ya wadaiwa sugu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), imedaiwa kuwataja wanufaika ambao baadhi walishamaliza kulipa...
Polisi wanaoshtakiwa kwa jaribio la kubaka wapata dhamana
kwa ufupi
Washtakiwa hao, aliyekuwa Konstebo wa Polisi Petro Magana wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na Konstebo Lucas Ng’weina wa Wilaya ya Kipolisi Mbalizi mkoani Mbeya wanakabiliwa na mashtaka ya kutaka kufanya mapenzi kwa nguvu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.