Serikali na ccm wanajitahidi Kuja na slogan za kila aina, ila wanakwepa slogan moja tu ambayo ndiyo suluhisho la kila kitu. Slogani yenyewe ni simple tu "HAKI KWA WOTE"
Aliyekupa hii habari mwambie akupe habari sahihi. Arusha school ninayoifahamu ni shule inayoendehswa Kwa mfumo wa kimataifa ambayo inaanzia darasa la chekechea Hadi sekondary, labda kama alilenga Arusha day secondary
Tungeanza kwanza kuondoa kadhia ya misafara mikubwa ya viongozi wa ccm/serikali pamoja na kuzuia kufunga ofisi za umma na shule za serikali kwa lazima ili tkwenda kuwapokea viongozi wa serikali/ccm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.