Search results

  1. GIPAMA

    Nahitaji msaada wa kazi ya wakala wa Tigo pesa

    Wewe ni mhuni wewe.
  2. GIPAMA

    CoverLetter/Motivational Letter

    Unipanic, usitumie akili kufuga nywele tu. Et mtu udese barua, hv una akili kweli wewe!? Hv ww kwa akili yako hujui kuwa haa barua ya aina yyte, format zake ulifundishwa darasan, je huwa unaandika kama ulivofundshwa darasan? Ama huwa unatumia format ya darasan alafu unaandika kwa maneno yako...
  3. GIPAMA

    Nahitaji msaada wa kazi ya wakala wa Tigo pesa

    Bila shaka aliambiwa ulikuwa na TILL yako ya TIGO pesa, ulikuwa ukiitumia kuhudumia wateja kwa kutumia mtaji wake ili uje upate commision ww, TILL yake ikabaki tu haifanyi kazi na hvo asingepata kitu. Nadhan iko hvo, kama sio hvo tupatie sababu za yeye kukuondoa wakati hakukuwa na loss
  4. GIPAMA

    Wasabato (SDA) US ndio jamii ya watu wanaoishi Muda mrefu kuliko mmarekani yoyote.

    Nawewe jibu swali ili twende sawa, kwa uelewa wako, karenda ya gregory imeanza kutumika mwaka gan!? Jibu hili ili nikueleweshe vzr. Acha kupanic.
  5. GIPAMA

    Nahitaji msaada wa kazi ya wakala wa Tigo pesa

    Jibu kwanza comment no 4
  6. GIPAMA

    Wasabato (SDA) US ndio jamii ya watu wanaoishi Muda mrefu kuliko mmarekani yoyote.

    Kwani yesu alisulubiwa na kufufuka kipindi cha Gregory Calender?
  7. GIPAMA

    Wasabato (SDA) US ndio jamii ya watu wanaoishi Muda mrefu kuliko mmarekani yoyote.

    Soma luka23:40-56, na usome luka 24:1-20. Ukisoma kwa kutumia ufahamu bila kuweka ushabiki, utaelewa na utaiona cku
  8. GIPAMA

    CoverLetter/Motivational Letter

    Hujaelewa ungekaa kimya, unawezaje kutumia barua ya mtu kuomba kazi!? Hujui nn maana ya sample!? Acha ujinga.
  9. GIPAMA

    Wasabato (SDA) US ndio jamii ya watu wanaoishi Muda mrefu kuliko mmarekani yoyote.

    Alitaja siku ya saba tupumzike, na siku ya saba utaitambua kulingana na maelezo ya kifo na ufufuo wake.
  10. GIPAMA

    Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

    Atakuwa na escort yyte kutoka huko aliko!? Maana nina wasiwasi na usalama wake siku atakapotua maana haijulikani ni kina nan walimshambulia.
  11. GIPAMA

    Wasabato (SDA) US ndio jamii ya watu wanaoishi Muda mrefu kuliko mmarekani yoyote.

    Tubu dhambi zako na umrudie Mungu leo nae atakusamehe, soma Luka 23 : 54 - 56, Pia soma luka 24:1-10 utaona siku ambayo yesu alisurubiwa, ambayo wa dini nyingine huiita ijumaa kuu, ilikuwa ni siku ya ijumaa, na kwetu wasabato tunaiita siku ya maandalio kama ambavyo maandiko yanasema katika...
  12. GIPAMA

    Wasabato (SDA) US ndio jamii ya watu wanaoishi Muda mrefu kuliko mmarekani yoyote.

    Sabato ni moja tu, siku ya saba ya juma ambayo ni jumamosi.
  13. GIPAMA

    Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

    Seriously anarudi? Ama watu wanatania?
  14. GIPAMA

    Wasabato (SDA) US ndio jamii ya watu wanaoishi Muda mrefu kuliko mmarekani yoyote.

    Pumziko liko moja tu, nalo ni siku ya saba, ambayo ni Jumamosi, ukiangalia historia ya uumbaji, MUNGU alimaliza uumbaji wake siku ya sita na akapumzka siku ya saba ambayo n jumamosi.
  15. GIPAMA

    Wasabato (SDA) US ndio jamii ya watu wanaoishi Muda mrefu kuliko mmarekani yoyote.

    Akaribia tumfundishe neno, maana saa ya wokovu ni sasa.
  16. GIPAMA

    Wasabato (SDA) US ndio jamii ya watu wanaoishi Muda mrefu kuliko mmarekani yoyote.

    Mkuu fungu hili linapatikana kitabu gan kweli, nikumbushe. Tuko pamoja katika sabato takatifu na siku sahihi kabisa ya kumwabudu MUNGU
  17. GIPAMA

    CoverLetter/Motivational Letter

    Kuna tofauti gan kati ya application letter na coverletter?
Back
Top Bottom